Naombeni ushauri nisome course gani ya afya kwa matokeo haya

Mgiriki MTz

JF-Expert Member
Dec 27, 2019
330
270
Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo.
Phy-C
Chem-C
Bios-C
Bam-D

Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni course zip nzuri za afya ambazo naweza kupata kwa round 2.

Nawasilisha.
 
Uliomba kozi ipi na chuo/vyuo vipi.?
 
Habari wana jf,husika na kichwa cha Uzi nimesoma PCB na matokeo ni kama ifuatavyo.
Phy-C
Chem-C
Bios-C
Bam-D

Sasa baada ya kuomba round ya kwanza sijabahatika kupata chuo,Naombeni ushauri ni course zip nzuri za afya ambazo naweza kupata kwa round 2.

Nawasilisha.
MD ulikosa vyuo vyote? Pharmacy? Choice zako zilikuwa zipi?
 
St.francis,kcmc na cuhas huwez kukosa ila kama umeapply hvyo vyuo ukakosa omba education
Huyu huenda First Round alikomaa na MD tu mwanzo mwisho tena unakuta Public universities only, ila angeanza kama ulivyopanga hapa sizani kote huko kama angekosa
 
huyu kuna kosa alilifanya, haiwezekani kwa pass hizo ukakosa chuo...
Unaweza kuwa nazo hizo na ukakosa vizur. Ukishindwa kupangilia machaguo yako tatizo huanzia hapo. Angeliingiza kcmc au bugando fani ya Lab au Pharmacy asingelikosa moja wapo. Yeye ana 1 ya 9 kuna watu wana 1 nene nene wote wanakimbilia Muhas, Udom na Udsm
 
Back
Top Bottom