ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwenu Makamanda na wanamageuzi watukuka

    "Njia ya kwenda Ikulu ni nyeupe, pee!" Hayo si maneno yangu bali ya kachero mbobezi katika ubora wake. Alikwenda mbele zaidi kachero yule kwa kusema: "Lakini itabidi kukaa chini na wenzetu, kujipanga na kusimika kisiki haswaa," akamalizia, "cha mpingo" Mmpende, mmchukie: Kachero mbobezi yuko...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri na hatua nilizowapa wasichana singles na ghafla wakawapata waume na maisha yakasimama

    Nina maswali mengi najiuliza bado sijapata jibu sawa sawa, nilikutana na wasichana 3 tofauti kwa muda, miezi na siku tofauti, wasichana hao umri umeenda, walikuwa wakilalama kuhusu yanayo wasibu na kupoteza matumaini, maisha magumu hawana kazi na wanaume wamekuwa kama wamewapa kisogo pamoja na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wapambe wa Lissu

    Ni kweli mapokezi ya Tundu Lissu ya tarehe 27/7 tayari yameharibika na Kuna zuio la mikusanyiko kwa barua inayo zunguka mitandaoni. Nashauri wapambe wa Lissu waandae utaratibu utakao mfanya Lissu ashiriki kwenye hatua zote za kuaga na kumzika rais wetu mstaafu kuanzia Dar hadi mtwara,waandae...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Ninatoa ushauri wa bure wa mambo ya Tehama

    Je, una swali kuhusu mambo ya computer? ama Tehama kwa ujumla yani (Information Technology?). Basi naomba nikukaribishe iwe maswali kuhusu printer, computer gani nzuri?, Naweza kufanyaje kwa ajili ya suala fulani? . Mambo ya website mambo ya mitandao ya jamii. Nitafurahi sana kuona maswali yako!.
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Nashauri Serikali iwanyang'anye passport za kusafiria wale wote waliotukana, kudhihaki na kumsema vibaya Rais wetu

    Kwako serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mimi ni kijana mzalendo, niliyepata mafunzo ya kijeshi nikafundishwa kupenda taifa letu, nikafundishwa kulinda upendo na amani ya nchi yetu. Ninao uchungu mkubwa juu taifa langu. Nimekuwa nikikerwa sana juu ya ndugu zetu wengine ni viongozi...
  6. msafinia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa jinsi ya kumfikishia ujumbe Mke Wangu bila kuumiza moyo wake

    Nina ndoa changa inayokaribia mwaka, nampenda sana mke wangu kiasi cha kutowaza kuachana ila tatizo ni suala la usafi wake ndio linalonikosesha amani na nimeshajitahidi kumrekebisha ila habadiliki. Tangu nimemuoa yupo vizuri sana kwenye suala zima la usafi wa mazingira ya nyumba. Akiamka...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa vyombo vya usalama kuhusu Tundu Lissu

    Ndugu wa heshimiwa wana usalama najuwa mpo katika mtihani mzito sana jinsi ya mapokez ya Lissu na kuepusha lawama kwa serikali juu ya huyu jamaa. Mimi nataka kuwaambia Lissu anajuwa kile anakifanya naana akili sana haji kwa aman anakuja kwa shari ila nilazima kwa mara ya kwanza katika historia...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Vyama vya Siasa na rushwa iliyopo kwenye chaguzi zao

    Kutokana na ukweli usiofichika ndani ya nchi ya Tanzania kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa Chama Kikubwa cha Siasa na pia ndio Chama kilichoshika madaraka mpaka sasa na ambacho kinatabiriwa kwa asilimia kubwa kuendelea kushika madaraka na kuunda Serikali kwa mara nyingine tena...
  9. ubnt

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wenu ndugu zangu, kwenye mkasa huu ulio mbele yangu

    Kwanza kabisa naombeni mnikaribishe mimi kijana wenu kwenye jukwaa hili. Mimi ni mgeni kabisa hapa JF Naomba niwashirikishe mkasa wangu huu ili mnishauri jinsi gani ya kuninusuru. Nina mpenzi wangu wa kike niliyedumu nae kwenye mahusino huu ni mwaka wa 7 (nilidumu nae tangu nikiwa kidato cha...
  10. Relief Mirzska

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa chama cha ACT- Wazalendo na Maalim Seif Shariff Hamad

    Salaam kwenu wakuu, Mimi sijihusishi na siasa za Tanzania kidhati ya moyo, nimekuwa ni mfuatiliaji tu wa namna mambo yanavyokwenda/yanavyoendeshwa ndani ya nchi yetu. Niliwahi kuwa mwanachama wa CUF Habari mwanzoni mwa miaka ya 2010 na kadi yangu nilipewa na Julius Mtatiro, hata hivyo nilihamia...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara na mafunzo ya ujasiriamali kwa gharama nafuu

    Mshauri wa biashara, Mjasiriamali na Mkurugenzi wa Kampuni ya ushauri Wa biashara ya CPM Business consultants, anatoa Ushauri Wa biashara kwa Mkampuni, vikundi na watu binafsi kwa gharama nafuu ya sh. 20,000 tu. Pia ukitaka kupata huduma zetu tutakupa mafunzo ya ujasiriamali kwa mwaka mzima...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa msajili wa Vyama vya Siasa Nchini

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za zitto na chama chake cha ACT tangia mwaka 2018. Nimejiridhisha pasina shaka yoyote yakuwa, siasa za zzk siyo zile siasa alizokuwa akizifanya akiwa chadema na baada ya kuanzisha chama. Zzk alipoanzisha chama cha ACT alipata wakati mgumu kupata...
  13. Saoka

    JamiiForums Tanzania Nimepata kazi hapa Jijini Dar, wenyeji naombeni ushauri kwa hili

    Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka jana (2019) baada ya kukaa nyumbani kwa muda mrefu niliamua kuja kutafuta maisha hapa Dar, kwakweli niliteseka mno kwa muda zaidi ya miezi 8 nipo tu nakula na kulala kwa aunt, sina hili wala lile,, kiukweli nilikuwa naumia sana...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mamlaka ya uteuzi kuhusu atakayepeperusha bendera ya CCM jimbo la Rorya

    Zaidi ya wana CCM 40 wametia nia na kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kupeperusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi wa Oktoba, 2020. Mmojawapo wa watia nia na aliyechukua fomu leo ni Ndugu Lameck Okambo Airo ambaye mwaka jana alielezea umma kuwa hatagombea tena katika uchaguzi unaokuja mwaka huu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara ya kusafirisha abiria kwa kutumia Noah (Dar au Pwani)

    Wasalaam ndugu zangu. Kijana mwenzenu nimejichanga nina kiasi kama cha mil. 16, nimefikiria nimeona ninunue Noah ili nifanye biashara ya kubeba abiria walau nami nijiajiri maana nimechoka purukushani za kuajiriwa. Hivyo basi nilikua naomba mwongozo kuhusu maeneo ambayo biashara hii inafanya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri tafadhali kwa matokeo haya akasome kozi gani?

    Habari za muda ndugu Wana jamvi, Kama tunavozidi kushauriana kuhusiana na maswala mbalimbali ya kielimu kijana uyu anahitaji ushauri wa hali na mali ukizingatia ndo tunaelekea kwa kufunguliwa kwa dirisha la kuomba mikopo na vyuo vikuu kijana alihitimu kidato cha sita mwaka 2019/2020 katika...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iitazame vizuri taasisi ya Brela haiko karibu na Wananchi

    Members natumaini hamjambo. Kuhusu ushauri wangu taasisi hii kwa siku za karibuni ni kweli wanajitahidi kuboresha huduma zao, kama vile kuhamishia huduma zote mtandaoni na kadhalika. Lakini kutokana na mapungufu yaliokuwepo, na mahitaji halisi ya wadau/wateja/wananchi kwa sasa bado sana...
  18. Ivan Breaker

    JamiiForums Tanzania Course gani nzuri katika Utumishi wa Umma upande wa ajira?

    ...
  19. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Nashauriwa niitoe 14B niweke 1hz engine Coaster. Ushauri wenu

    Samahani sio mtalaam sana wa engine za magari, lakini nina Coaster boksi ilikua imepata hitlafu kidogo kwenye engine, wakati nafanya mchakato wa matengenezo kuna watu wanasema engine hizo ni za muda mrefu sana inabidi nitafute 1hz. Lakini wakati huo huo kuna fundi ana nimabia hakuna engine...
Back
Top Bottom