Anaomba ushauri, yuko njipanda.

Foxhunters

Senior Member
Nov 25, 2019
123
67
Salamu, wakuu kuna ndugu yangu kapata GPA ya 1.3 first year. Kwa matokeo haya kuna namna ya kuingia mwaka wa pili??? Kweli
Au imeshatoka akafanye maisha mengine mtaani
 
Binafsi namshauri akomae na chuo, ikiwa atakuwa ni Mtu wa kukata tamaa kila anaposhimdwa kufanikisha Jambo fulani hata kwenye hayo maisha mengine hawezi kutoboa. Hakuna kukata tamaa ajifunze anapoanguka ajikung'ute vumbi asonge mbele na sio kuahirisha safari.
 
Kwahiyo hapo anaweza kuendelea maana kwenye ARIS wamemwandikia discontinue
 
Salamu, wakuu kuna ndugu yangu kapata GPA ya 1.3 first year. Kwa matokeo haya kuna namna ya kuingia mwaka wa pili??? Kweli
Au imeshatoka akafanye maisha mengine mtaani
Lakini si aja disco mchawi kudisco tu
 
Kama ni private kuna namna ata endelea ila kama ni govern. aangalie tu utaratibu mwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom