Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Moderator

Content Quality Controller
Staff member
Joined
Nov 29, 2006
Messages
627
Points
500

Moderator

Content Quality Controller
Staff member
Joined Nov 29, 2006
627 500
Habari wakuu,

Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao.

Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na kupunguza idadi ya mada zilizo sticky kwenye ukurasa wa kwanza.

Pia kama una mada uliipenda na ungependa wengine wawe wanakutana nayo kirahisi waweza comment kwenye thread hii nami nitaiweka.

Shukrani.

========

MAWAZO YA BIASHARA(BUSINESS IDEAS)

Business ideas (Bure)

Baadhi ya Njia unazoweza kutumia kupata Wazo Bora la Biashara (Business Idea)

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Mtaji wa milioni 1-5: Naweza kufanya Biashara gani?

Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya...?

Kwa mtaji wa 25/-m nifanye biashara gani?

List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

MAJADILIANO: Fursa za kibiashara

MICHANGANUO YA BIASHARA

Mchanganuo wa Biashara (Business Plan) - REQUESTS

Biashara ya Bakery: Mbinu, ushauri na changamoto zake

Biashara ya Hostel: Mbinu, Faida na changamoto zake

Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

Msaada: Jinsi ya kuwa Wakala wa Tigo pesa, Mpesa na mitandao mingine

Biashara ya kuuza genge

Biashara ya chips na changamoto zake

Biashara ya nguo, viatu, mikoba na cosmetics kutoka Uganda

Kwa uzalishaji, masoko ya biashara za madini njoo hapa uliza chochote

Biashara ya Samaki Wabichi

Biashara ya kununua na kuuza mazao (nafaka)

Kuanzisha Radio Station: Gharama halisi za Kuanzisha Radio kwa TZ.

China: Fursa za biashara, usafiri na masoko

Msaada: Mtaji wa kiasi cha chini kuanzisha biashara ya mbao

Step 10: Nilivyowekeza laki moja hadi kuanza kutengeneza milioni moja kila siku 3 (step by step)

Faida za Biashara za Dagaa

https://www.jamiiforums.com/threads/biashara-ya-uchawi-tanzania.106954/

https://www.jamiiforums.com/threads/ukitaka-kuanza-biashara-ya-daladala-ni-vema-ukayajua-haya.691330/

https://www.jamiiforums.com/threads/kupaua-nyumba-makadirio-ya-gharama.524560/

UCHUMI

https://www.jamiiforums.com/threads/lijue-soko-la-hisa.939156/

https://www.jamiiforums.com/threads/utajiri-uliopo-kwenye-dhamana-za-serikali-sehemu-ya-ii-bonds.905987/

https://www.jamiiforums.com/threads/nifanye-nini-nikiwa-chuo-ili-nikimaliza-nisitegemee-ajira.1315634/

https://www.jamiiforums.com/threads/jinsi-ya-kuweza-kusave-pesa-katika-mshahara.741139/

https://www.jamiiforums.com/threads/hivi-ndivyo-unavyoweza-kutajirika-kwa-kuanza-na-shilingi-elfu-moja.738921/

https://www.jamiiforums.com/threads/fixed-account-za-benk-na-utajiri-wa-haraka-haraka-welcome.138118/

https://www.jamiiforums.com/threads/taarifa-za-mikopo-midogo-midogo-ya-kibiashara.217213/

https://www.jamiiforums.com/threads/project-funding-sources.39210/
 

njoo kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2016
Messages
398
Points
1,000

njoo kwetu

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2016
398 1,000
Habari za mchana wana ndugu mimi nikijana nimemaliza degree mwaka huu ila kutokana na ugumu wa maisha pamoja na hajira.. nataka kuanzisha biashara..
Nina kiasi cha laki 5 nataka kuanza biashara .. sina tamaa sana ya kupata faida nyingi kwa mda mfupi
kwa hyo naomben ushauri wenu plz plz
Natumain mtanipa ushauri mzuri..
 

Makacha Fikirini

Senior Member
Joined
May 16, 2017
Messages
129
Points
225

Makacha Fikirini

Senior Member
Joined May 16, 2017
129 225
Habari za mchana wana ndugu mimi nikijana nimemaliza degree mwaka huu ila kutokana na ugumu wa maisha pamoja na hajira.. nataka kuanzisha biashara..
Nina kiasi cha laki 5 nataka kuanza biashara .. sina tamaa sana ya kupata faida nyingi kwa mda mfupi
kwa hyo naomben ushauri wenu plz plz
Natumain mtanipa ushauri mzuri..
jmn wenye utaalamu na mambo ya busness plan atoe ushaur hapo
 

ashy me

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Messages
461
Points
500

ashy me

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2017
461 500
Naomba waungwana mnisaidie mawazo ya biashara kwa mtaji wa shilingi milioni moja na nusu(1500,000).
Njoo nkuletee kuni ....kenta kwa milion moja kuni 1600 ukiuza moja buku milion lak sita faida lak sita ....au nikuletee fuso kubwa kuni 3000 ukiuza moja buku milion tatu na bei ya kuletewa milion lak 8 faida milion lak 2 ........Vibal na kila kitu kipo ukitaka eneo la kifanyia zur lenye biashara ntakusaidia kutafta in shaAllah ....nichek 0685580057 tuongee
 

Kyawanjubu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2017
Messages
2,220
Points
2,000

Kyawanjubu

JF-Expert Member
Joined May 13, 2017
2,220 2,000
Nakushauri ufanye biashara ya mtandao(Multilevel markerting/network marketing) kwa hiyo hela ulio Nayo inatosha kabisa. Kuanza biashara
Karibuni sana kwenye kampuni yetu ya Alliance in motion global ambayo kiingilio kwa akaunti moja ni 560000 . baada ya miezi michache utakuwa na uwezo wa kuingiza zaidi ya milioni kwa wiki

Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane kwa whatsapp namba 0757409103
Nitakupa detail pia Maelezo kuhusu mahali semina zinapofanyikia. Zinazohusiana mfumo wa ulipaji katika kampuni
Unatapeliwa jomba
 

KABALEGA

Senior Member
Joined
Jul 18, 2017
Messages
166
Points
225

KABALEGA

Senior Member
Joined Jul 18, 2017
166 225
Nenda zambia kufanya biashara mi nipo tayari kukusidia kupata pasiport kwa ģharama zangu hapa Tz utaishia kulia
Mkuu hebu toa ufafanuzi kidogo hapa ,maana nilikuwa nahitaji pia kujua ABC za huko ,kuna siku sijajua kama ni wewe ulisema una mdogo wako huko unafanya biashara plz hebu fafanua kidogo aina ya biashara pamoja na changamoto zake huko zambia
 

Forum statistics

Threads 1,380,777
Members 525,872
Posts 33,779,353
Top