ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya wine

    Nahitaji kuanzisha biashara ya wine inayotengenezwa kwa kutumia asali.Naombeni ushauri maoni au taarifa yoyote inayoweza kunisaidia katika hii biashara ninayotarajia kuanza
  2. JamiiForums Tanzania Azam FC wangeufuata ushauri wa Kikwete yasingewakuta haya.

    Wakuu, nakumbuka mheshimiwa Jakaya Kikwete aliwaasa Azam FC kutoendekeza Usimba na Uyanga kama wanataka kufika mbali zaidi kisoka pale alipoalikwa kama mgeni rasmi miaka zaidi ya saba hivi sasa iliyopita. Inavoonekana ushauri (wosia) huo wameuweka pembeni ndo maana tunaona sasa ni kama 'academy'...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri - mtaji wa laki moja

    Wakuu habari za wakati huu, i hope mko wazima wa afya na mlio dhaifu basi Mungu awatie nguvu. Niende direct kwenye hoja yangu. Nimekua very broke kwa kipindi cha miezi michache tangu kibarua changu kipeperushwe na issue ya Corona, sasa nimepata kamtaji ka laki moja ninako hapa. Nahitajo...
  4. JamiiForums Tanzania Nikasome nini kwa matokeo haya?

    Nimehitimu kidato cha nne 2018, Nilipata Division 4 ya 27, Kiswahili c, Gepgraphy F, English C, Biology D, commerce F, Book- keeping D, civics C, Maths F, History F. Naomba ushauri nikasome nini.
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali zote mbili - Uchimbaji Mafuta

    Najua kuna harakati au mchakato wa kuchimba mafuta. Dunia inaelekea kwenye chanzo cha umeme hususani nchi nyingi zishatoa matamko ya kupiga marufuku magari ya mafuta. Hii ina maana madini haya mafuta hayana future na bei yake itapungua kwa kasi miaka ijayo. Nchi zilotoa misimamo ya kusimamisha...
  6. JamiiForums Tanzania USHAURI: Mnaotaka kufunga ndoa kwa sherehe kubwa zingatieni haya kuepuka lawama za watu

    Wachumba, Marafiki nawapa salaam kwenu. Kwa wakristo nashauri tusome Luk 14:28 ili twende sawa. Kwa dini nyingine na wasiokuwa na dini twendeni na msamiati huu. "Ukitaka cha uvunguni sharti uiname" Nimehudhiria baadhi ya harusi nyingi sana hasa mwaka huu lakini mambo siyo ya kuridhisha kabisa...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wizara ya Fedha ili kufikia lengo la kuwa na mapato mengi ya ndani

    Nimeona Video ambayo Waziri wa fedha anawaambia watu wa idara zote zinazohusika na ukusanyaji wa mapato ya kodi na yasiyo ya kodi ya serikali kukusanya mapato mengi ili malengo ya serikali ya awamu ya tano yatimizwe na fedha za ndani Mbali na haya yote mimi nasema fedha nyingi zinaweza...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wabunge chini ya Spika Ndugai na Naibu wake Tulia Ackson

    Kwa heshima kubwa naleta ushauri huu kwenu, nikiwa kama BUNGE ni chombo au ni sauti ya watanzania walio zaidi ya milioni 50. Bunge ni chombo kinachojitegemea ambacho kinatakiwa kuisimamia Serikali, hivyo Bunge lina nguvu yakikatiba kutetea wananchi wake ambao ni wakulima na wafanyakazi. Mwaka...
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya mradi huu wa Elimu

    Mimi ni kijana nimehitimu shahada yangu ya Bachelor of science with Education Geography and Biology mwaka 2018 nimeona nifungue fursa hii ili kuweza kupata kianzio ili badae nijenge kituo bora kabisa kinachohusu huduma ya Elimu! Project hii niko na mwalimu mwenzangu hivyo tunaomba support na...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wadau Wote Wa JF, Naomba Ushauri Kuhusu Hayo Maembe Niliyonunua Kama Nimepatia au la!

    Amemuomba nimletee sasa kwa kuwa sipendi nimuudhi nawauliza wadau mnisaidie kujua kama nimepatia kwenye manunuzi au la! Mazingira yanaashiria Itakuwa ni desturi kwa miezi kadhaa hivyo najipanga mapema Aksanteni sana kwa ushirikiano mtakaonipa Nawatakia Jumamosi Njema
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri Unahitajika: NACTE March 2021 Intake. Je UCC (University Computer Center Dares salaam) inatosha?

    Wakuu naomba ushauri: KIjana anafikiria kuanza masomo ya Diploma IT jijini Dar mwezi march/april 2021 lakini vyuo vyenye March intake ni vichache. Najua UCC wana dahili intake hiyo. Swali je ajitupe UCC au afikirie kusubiri September intake ambayo ina vyuo vingi? Kwa lugha nyingine je UCC ya...
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kwenye mahusiano yangu

    Habari za muda huu GUYS... Niende moja kwa moja kwenye mada,nipo kwenye uhusiano miaka minne sasa...Nina miaka 23 na mtu wangu ana miaka 20..nampenda &ananipenda sana(tunapendana). Kwa mara ya kwanza nlikutana nae kimwili mwaka 2018 akiwa bdo virgin kipindi hivyo nasoma advance mkoa...
  13. JamiiForums Tanzania Naumia sana Mtu wangu wa karibu akifanikiwa, inanidhoofisha mwili

    Habari za asubuhi hii wakuu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Nina shida kidogo inanikabili ndugu zangu, tangu nilipokuwa na umri wa miaka 15 kuna hali ndani yangu ambayo sio ya kawaida, iliyonipelekea kuwa na kama ugonjwa wa kudhoofika mwili wangu na akili. Nina umri wa miaka 38, nina...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nimeshindwa namna ya kumshauri...

    Kuna msg imeingia kwenye simu ya mke wangu ikitoka kwa wifi yake (mke wa mdogo wake) . Clearly ni ya mapenzi akisema wataonana na bla bla zingine; na leo kweli ameamka anasafiri kwenda mjini? Msg ilikuja kwa bahati mbaya maana alikuwa anaongea na mke wangu muda huo huo, hivyo alituma kwa namba...
  15. 5

    JamiiForums Tanzania Video: Peter Msigwa amkosoa Vikali Spika Ndugai, Ampa Ushauri huu - Sakata la Halima Mdee na Wenzake

  16. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais: Ili kukuza uchumi wa nchi na kupata fedha za ujenzi wa miundombinu, Mishahara ya watumishi wa umma na viongozi wa kisiasa ipunguzwe

    Wapo watumishi wa Serikali pamoja na viongozi wa kisiasa wanalipwa mishahara mikubwa Sana. Wapo wanaolipwa mpaka Laki nane, Tisa, milioni 2, 3, 4, 5, 10, 20 n.k kwa mwezi kiasi kwamba Hata ikikatwa na kuwa nusu yake bado kitakuwa Ni kiwango stahiki kitakachokidhi mahitaji Yao ya msingi na...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Nissan Dualis

    Wakuu tukienda moja kwa moja kwenye mada, nipo kwenye mchakato wa kubadili kababy walker kangu hivyo basi katika pita pita zangu huku na kule mtandaoni nikakutana na huyu mnyama anaitwa Nissan Dualis na akanivutia sana. Kwa hiyo nilikuwa naomba ushauri wenu kuhusu hiyo gari. Kuanzia kwenye...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzako endelea na ubunge mmeshaahidiwa kulindwa

    Ndugu wana COVID-19, nawasilimu Kwa sisi tuliowatangulia huku kitaa, Tunajuwa maisha yalivyo magumu kwa Sasa, na tunafahamu Ni kwa kiasi gani mmepata ugumu pale mlipohakikishiwa kuwa mnarudi bungeni kwenye maisha ya mshahara na posho, maisha ambayo wengi wenu mlikuwa mmeyazoea na yalikuwa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake wakapate ushauri nasaha kwa Mama Sophia Simba, kuna maisha bila Ubunge wasiogope

    Nawashauri tu wale Wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA kwamba badala ya kulialia kupitia media ni vema wakajifunza " subra" kwa mh Sophia Simba Mbunge wa Viti Maalum CCM. Subira ni jambo jema kuliko kupagawa na kukurupuka. Mama Sophia Simba alivuliwa uanachama na kupoteza Ubunge " halali" lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Mpeni ushauri huyu jamaa

    Habari wadau.... yupo jamaa yangu mmoja kwa sasa kachanganyikiwa kabisa haelewi kitu kwa sasa anahitaji msaada wa kimawazo maana tunaweza mpoteza anataka kurisiti form six BAM (Basic Applied Mathematics) eti kuna huwezekano wa hilo jambo maana anahisi BAM imemwangusha katika kupata chuo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…