Ushauri wa haraka kuhusu tafsiri ya ndoto hizi...

Ushauri wa haraka kuhusu tafsiri ya ndoto hizi...

Ngunya1

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2017
Posts
788
Reaction score
1,372
Ninawasalimu kwa upendo wa Mungu baba.

Ndugu zangu juzi mke wangu aliota ndoto yupo msibani analia sana ila ni msiba wa mtu ambae amefariki zamani sanaa leo mimi nimeota nipo sehemu kama hospital au kituo cha kulea watu kuna maiti nyingi sana zina bebwa kwenye machela moyo wangu umefadhaika sana.

Ushauri please.
 
Pole mkuu, ngoja niwe mpambe wako tusubr majib kwa pa1🤭🤭
 
Nina wasalimu kwa upendo wa Mungu baba ndugu zangu juzi mke wangu aliota ndoto yupo msibani analia sana ila ni msiba wa mtu ambae amefariki zamani sanaa leo mimi nimeota npo sehemu kama hospital au kituo kina cha kulea watu kuna maiti nyingi sana zina bebwa kwenye machela kwenye machela moyo wangu umefadhaika sana ushauri please
Umesoma sana Tanzia hapa JF kwahiyo ukalala na mawazo hayo.

So, Relax
 
Ndoto nyingi zinasababishwa na overthinking ya matukio yanayoelekeana na ndoto hyo ....... Kama ilivyo kawaida Kwa Sisi waafrika tunatamani tusikie ooh kuna wachawi wanafatilia nyota yako , ooh ni nguvu za Giza ,na udambwi dambwi wa Aina hyo ..... Basi Tu ili twende Kwa sangoma ndo furaha yetu
 
Kama huwa unaota ndoto zinatimia sawa lakini Kama huwa unaota na unakumbuka ulichoota na hakitimii Basi hakuna kitachotokea ni ndoto tu maana wengi funguo zao za mamlaka hazifanyi kazi tena ndo maana inakuwa ngumu kuishi kwa kujulishwa kwa ndoto.
 
Ukweli: Hakuna chochote, ndoto haina effect katika maisha yako na ikitokea ukaona kitu kwenye ndoto na kikatokea in real life, hiyo ni coincidence tu. Relax.

Uongo: Kuna jirani anaiwinda familia yako. Kuna mkosi mkubwa sana uko mnioni kutokea kama usipochukua tahafhari. Wahi sana kwa mganga unayemuamini akupe kinga kabla mambo hayajaharibika.

Chagua mwenyewe cha kuamini.
 
Uenda ni utabiri wa Nimonia Kali itaingia katika familia yenu na watu kazaa inawezekana wakapoteza maisha.Ni mtazamo tu usije ukajinyonga
 
Back
Top Bottom