Ushauri: Nifanye nini katika hili

Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
13,759
20,153
Habari Jf,

Mimi ni kijana wa kiume, miaka ishirini na sita [26], Nimetoka mkoani na kuja kuishi huku dalisalama kikazi. Kama mjuavyo huaba wa nyumba🏡🏡🏡🏡 za kupanga nikajikuta nimepanga katika nyumba ya watu wengi.

Kwa kusamalaizi tu maana wengine ni wavivu wa kusoma ;) ;) ;) Kwenye ile nyumba kuna wapangaji singo mama kama watatu👩‍👩‍👦👩‍👩‍👦👩‍👩‍👦 kati ya wapangaji saba. Wawili ni wadada ambao ni jobless na waliobaki ni majamaa👬👬 kama mimi ambao nao hawajaoa Ila wanakujaga home mara chache.

MSALA SASA. Hapa nimetembea na hawa wadada wote na single mama wawili pia nimepita nao, kasheshe inakuja wiki ijayo mpenzi wangu💕💕 anakuja kutoka kule jirani na makao makuu [CHATTLE]😃😃😃 yeye anatokea ROCK CITY. Kuna wadada hapa wamenambia kama nikimleta mpenzi wangu watamwambia kila kitu.Hapa nimeshindwa nifanyaje na kumzuia asije siwezi maana atajua nina mcheat.

Naombeni msada wa mawazo nifanyeje?
 
Kabla hujafanya maamz ya kumwambia aje, je umepima mkuu, yule mdudu wa zaman bado yupo kimya kmya🤫, Ila acha ngono kijana ww tunalingana kiumri kabisa ila kwa hayo matendo hatulingani mkuu
 
IMG_4023.jpg
 
Pambana na hali yako
Kila mtu atabeba furushi lake mwenyewe
Achana na sisi
 
Nireteeni Gwajima
Nireteeni Tulia, Nitatulia
Huyu Daniel Hajui Kujiereza Ni Darasa ra Saba
Ila Kwenye Matatizo Yenu Atawatetea Kule Bungeni

😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom