Ameninunia baada ya dada yake kukubali ombi langu

Darucha

Senior Member
Dec 28, 2020
111
206
Huyu ni jamaa yangu ambaye tumejuana hata mwaka haujaisha. Kiufupi jamaa anajiona janja Sana wakati hela Hana nakumbuka siku moja alinikaribisha kwao basi nikatimba maskani mwao ile kuingia nikakutana na mtoto mmoja hatari kumuuliza ni Nani aniambia ni sister wangu

Daaah mtoto mzuri mpaka mwenyewe naliogopa kwa sababu Hali ya udomo zege ilikuwa bado haijaisha vizuri nikasema nafanyaje mimi darucha Sasa si unajua sisi vijana tukikaa vijiweni nikamgusia mshikaji kwamba nataka ni mtongoze dada yake jamaa alinishusha vyeo kwa masela balaa

Mara dada yangu hawezi kutoka na mbopyomo Kama ww dada angu ni classic kusema kweli nilidhalilishwa balaa nikaondoka kwa hasira huku machozi yananilenga nikarudi home nikaanza kupanga mbinu za kivita nikachukua msaafu nikasali alafu nikasema iwe ni kwa mtutu au kwa ngumi lazima ikulu tuingie kesho yake nikaaenda kwa kina mshikaji sikumkuta mshikaji ila dada nilimkuta kwa sababu nilikuwa nimeshaanza kuzoeleka Pao nikabaki nikapiga story naye

Nikaomba namba akanipa usiku nikaanza kumchatisha nikatupa ndoano binti akazugazuga anakataa baadaye akakubali kumbe naye alikuwa ananielewa kitambo Sana Kama unavyojua za mwizi arobaini bro akafumania message zetu kwa sababu anamtindo wa kuazimishana simu na dada yake alinitumia message moja hatari akaniambia haijalishi mm ni Nani kwake nikiendelea kutoka na dada yake ataninyonya makamasi

Mimi nikamwambia anapoteza bahati maana Mimi miaka mitano ijayo najiona mtu mkubwa kwenye hii nchi ni Bora aniache nitoke na dada yake ili aje kufaidi na yeye baadaye matokeo yake kaniblock kila sehemu sijui kosa langu lipi hapo
 
Darucha una umri gani? Umeshachukua form pale nini nini Centre za kujiunga na masomo?
 
Vijana waleo. Mibangi mnaovuta inamsababisheni ubovu wa kichwa. Na kutokua na maadili. Iweje umtongoze dada wa rafiki yako? Hii ni kweli laana. Ndio maana siku hizi jua na nvua zinachindana
 
Vijana waleo. Mibangi mnaovuta inamsababisheni ubovu wa kichwa. Na kutokua na maadili. Iweje umtongoze dada wa rafiki yako? Hii ni kweli laana. Ndio maana siku hizi jua na nvua zinachindana
 
Tusamehe kiongozi
Vijana waleo. Mibangi mnaovuta inamsababisheni ubovu wa kichwa. Na kutokua na maadili. Iweje umtongoze dada wa rafiki yako? Hii ni kweli laana. Ndio maana siku hizi jua na nvua zinachindana
 
Back
Top Bottom