upinzani

  1. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Vyama tisa vya upinzani vyatoa tamko kuhusu Uchaguzi Mkuu 2020

    Vyama tisa vya upinzani vimetoa tamko la kukubali matokeo ya uchaguzi mkuu wa Tanzania uliofanyika Oktoba 28, 2020 na mgombea wa CCM, Dkt. John Magufuli kuibuka mshindi baada ya kupata 84.4% ya kura zote. Katika tamko lao, vyama hivyo vimempongeza mgombea huyo kwa kushinda na kusema kwamba...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani (CHADEMA& ACT-Wazalendo) kwenye mgomo wao na maandamano

    Kwanini Watanzania hawatawaunga mkono wapinzani kwenye mgomo wao na maandamano. Kwanza vyama vya upinzani vimegoma kukubali mapungufu yao makubwa kabisa ya kimuundo na kisera katika vyama vyao. Kwanza kabisa wananchi wanataka kujua kama kweli wana nia ya dhati? Kwanini kuna ACT Wazalendo...
  3. Mwansembo elly

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani wakisusia Ubunge/Udiwani, nini kitatokea? Hasara au faida?

    Habari wana JF, Ni swali la kujiuliza. Endapo ikatokea wapinzani wote nchini wakashauriana katika kikao chao kinachosadikikia kuwepo leo kuwa, wabunge na madiwani wao wote waliopata nafasi katika uchaguzi huu kususia na kutoingia sehemu zao za kazi Je, nini kiatokea? Nini faida na Hasara za...
  4. Dogo Lao

    JamiiForums Tanzania Umuhimu au faida ya kutokuwepo upinzani kutaonekana miaka 5 ijayo

    Na ashukuriwe Mungu muumba mbingu na nchi, Ndg. zangu wana JF, Asalamualeykhum. Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu, kwa rehema zake na wema wake hata tumeweza kuiona siku ya leo. Ndugu zangu, sote tunajua jinsi mchakato wa uchaguzi unavyokuwa mgumu. Siyo kwa wagombea tu, bali hata kwa...
  5. Mbunifu Mwaminifu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hii inaonesha ni jinsi gani hata Watanzania wameshapoteza imani na demokrasia ya vyama vingi jinsi inavyopelekwa hapa kwetu

    Waliojiandikisha jimbo la Geita ni watu 148,360 Waliojitokeza kupiga kura ni watu 49,700 Watu zaidi ya 98,000 hawajapiga kura Uthibitisho ya kwamba, Watanzania walio wengi wamechoshwa na haya mambo ya kuhangaishwa kisha maamuzi yao kupingwa na walio wachache. Waliojiandikisha wengi wamefanya...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vimeanguka vibaya sana katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani

    Kwanini upinzani umeanguka vibaya: 1) Hakuna Mtanzania yeyote anayeweza kuchagua mbunge ambaye anashauri mashirika ya fedha na wadau wa maendeleo wasiipe fedha Tanzania kwa ajili ya ujenzi wa nchi yetu, hili liwe funzo watu wabishane kwa hoja lakini si kuchoma nyumba tunayoishi sote. 2) Hakuna...
  7. 2019

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa upinzani ni muda wa kufanya kazi nyingine, siasa hailipi tena

    Namwamgalia Tundu Lissu namuona kama hana shida ya kuhangaika tena, apumzike ajilie mafao yake mdogo mdogo. Mbowe akifanya biashara itamtoa tu au hata kilimo. Zito Kabwe wewe sijajua una fani gani ila siasa sio dili tena, achana nayo kabisa. Godbless Lema wewe bora uendelee kutrade tu forex...
  8. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani huko Tanzania mjilaumu wenyewe, mliingia kichinjioni mkiona

    Upinzani wa Tanzania mjilaumu wenyewe tu, maana chaguzi za serikali za mitaa mligomea na kuona kilichotendeka, CCM walizoa kila kitu bila kupepesa macho, maana kwamba walikua tayari kuwafuta kwenye historia ya nchi, walikua tayari kufanya chochote na lolote bila aibu. Sasa mmekuwa mkilaumu...
  9. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri. Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo. Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe. Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure...
  10. Richard

    JamiiForums Tanzania Upinzani mkubali ukweli, Wananchi wamewachapa bakora kwa kutokukaa bungeni na kupinga kila kitu

    Ni kama nilivyowahi kusema na ntaendelea kusema kwamba upinzani nchini Tanzania ni kiinimacho na upo kwa ajili ya kula ruzuku. Mimi ni mmoja wa watu ambao bila kutetereka nimemuunga mkono raisi John Magufuli na serikali yake kwa miaka mitano ilopita na ntaendelea kumuunga mkono kwa yale yote...
  11. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mbunge wa upinzani atakayeingia bungeni nitamshangaa sana

    Kwa hali inavyoenda sijui kama upinzani utapata wabunge hata 5. Lakini kuna mantiki gani wao kuwa wabunge katika mazingira haya? Bora waachie wajivue tu wabaki CCM 100% maana kinachofanyika ni kuhadaa dunia.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtwara: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mtwara. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mwara una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 10 ambayo ni: 1. Mtwara Mjini Hassan Seleman (CCM) -...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ni bora Bunge likawa na Wabunge wa CCM 100% kuliko kuwa na Wabunge wachache wa Upinzani. Faida na hasara zake kwa CCM na Upinzani ni hizi

    Kwa namna fulani matokeo tunayoambiwa ya uchaguzi kuwa CCM wamechukua viti vya Bunge kwa 100% mimi binafsi nimeyapokea kwa furaha sana, sio kwa kuwa naipenda CCM, la bali kwa kuwa CCM na wananchi kwa ujumla bado hawajatambua umuhimu wa kuwa na wabunge wa upinzani. Binafsi ningependa idadi ya...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    MATOKEO - LIVE: Wakuu, Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa. Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura) 1...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahsanteni Watanzania kwa kutuchagua ila tusisahau CCM bila Upinzani ni sawa na Dini bila Shetani, hakuna visingizio!

    Kwa upande wa udiwani matokeo yaliyokwishatoka yanaonyesha CCM ikiwa mbele kwa kuzoa kata nyingi. Hata ubunge hakuna Mgombea wa Upinzani aliyetangazwa kushinda hadi sasa na tayari kiongozi mkuu wa CHADEMA ameshapoteza kiti chake cha ubunge kule Machame. CCM tunawashukuru sana Watanzania kwa...
  16. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Si sahihi wakurugenzi kusimamia chaguzi kwa niaba ya Tume ya Uchaguzi (NEC)

    Wasalaam, mwenyekiti wa iliokuwa tume ya mabadiliko ya katiba jaji Joseph Sinde Warioba amesema wazi mgogoro wa kikatiba unaotokea sasa hapa nchini dawa yake ni Tume huru ya Uchaguzi ambayo imeweka wazi utaratibu wa kupata wajumbe wake. Jaji Warioba amesema, kwa mujibu wa sura ya pili ya rasimu...
  17. Rebeca 83

    JamiiForums Tanzania Upinzani penetration...

    Hello wanajamvi, Tuko hapa tena tukiongelea uchaguzi. Kama ambavyo tutakua tunajadili uchaguzi 2025. Nothing is going to change, CCM itaendelea kuongoza tena na tena I just think we need us makamanda to have a big debate on how to fight this Enemy... (which is a focus of this thread) Kwangu...
  18. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Kwa niliyoyashuhudia katika Uchaguzi huu, Poleni viongozi wa Upinzani

    Kwenye uchaguzi huu, niliyoyashuhudia ni makubwa. Nasema tena poleni sana viongozi wa upinzani mnawapigania Watanzania wasiojielewa hii inatokana na mifumo aliyoiweka Mwl. Nyerere. Kuna madudu mengi kwenye uchaguzi huu lakini kete pekee ambayo upinzani mlietegemea ni nguvu ya Wananchi-tatizo...
  19. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    Wanabodi, Kutokana na majukumu yangu kama Mshauri wa Siasa wa Ubalozi fulani hapa nchini Tanzania , moja ya kazi zangu ni kufanya kitu kinachoitwa "stakeholders mapping", kuwatambua watu muhimu na hii hufanyika kwa kitu kinachoitwa "interactions" hivyo from time to time, huwa nawajibika kuwapo...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi John Heche alivyoshambuliwa Twitter, ni wazi wafuasi wa upinzani sasa wanataka action na si kusikia viongozi wao wanalalamika

    Leo hii John Heche ameandika Twitter kulalamika mawakala wake kuvamiwa majumbani mwao na kupelekwa Polisi. Kilichonishangaza ni jinsi Heche alivyoshambuliwa huku wahusika wakionenekana kuchukizwa na hali ya kuendelea kulalamika bila kuchukua hatua na zaidi kwa kutozingatia onyo alilotoa kigogo...
Back
Top Bottom