Habari wakuu.
Baada ya kupokea meseji zenu zisizo na idadi na pia simu nyingi za kunisihi niseme neno kuhusu hii hali iliyojitokeza ya viongozi wa upinzani kuondoka nchini kwa madai ya kuepuka hatari zinazowakabili dhidi ya maisha yao.
Ninachoweza kwa ufupi ni kwamba nimesikitishwa na hizo...
Sasa ni dhahiri kwamba kuna mpango umesukwa wa mauaji ya wanasiasa wa upinzani nchini Tanzania, wahanga wakuu ni kutoka CHADEMA na ACT-WAZALENDO, ushahidi uko wazi kabisa, lakini je mpango huu wa kinyama umepangwa ili iweje, mbona walioshinda uchaguzi wameshinda kwa kishindo, mauaji haya...
Ili uchaguzi uaminike unahitaji vitu vikuu vitatu: uhuru, uwazi na haki.
Uchaguzi wa mwaka huu haukua na chochote kati ya hayo. Haukua uchaguzi wa kidemokrasia.
Moja ya njia ya kupinga dhuluma yoyote ile ni kugoma.
Mgomo wa kwanza uliotishwa nchi nzima na wanasiasa wa upinzani haukufanikiwa...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na...
Neno "Mwelekeo" ndio sababu kuu ya Vyama vya upinzani kutokubalika na kuaminiwa kupatiwa Nchi na watanzania.
Uchaguzi wa mwaka 1995 upinzani chini ya NCCR Mageuzi ilibaki kidogo kuchukua nchi chini ya Augostino Lyatonga Mrema, kabla ya watanzania kushtuka dakika za mwishoni baada ya Baba wa...
Napenda kuwaleza mapema juu ya utabiri wangu huu ili yakianza kutokea msishangae na pengine kufadhaika bali mjipange kuyapokea yatayotokea.
Katika kutekeleza makakati/mpango huo,wanaoweza kuwa wanasiasa wa mwanzo kushawishiwa kukubali teuzi hizo ni watu/wanasiasa kama Prof.Jay, Sugu, Msigwa na...
Wakati kura zikiendelea kuhesabiwa kufuatia Uchaguzi Mkuu nchini Marekani, mtandao wa Twitter umetoa tahadhari kuhusu chapisho la Rais wa Marekani, Donald Trump alilochapisha katika mtandao wake wa kijamii wa Twitter akiwashutumu wapinzani wake (Joe Biden) kuiba kura.
Trump aliandika...
Matokeo yameonyesha kuwa ACT Wazalendo imepata wabunge 3, CUF imepata wabunge 3 na CHADEMA imepata mbunge 1.
Hata hivyo kuna uwezekano wabunge wa CHADEMA kuongezeka baada ya uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, halikadhalika kwa ACT Wazalendo na CUF.
Je, CHADEMA itaendelea kuwa ni chama kikuu...
Kiongozi wa Chama, cha ACT Wazalendo ndugu Zitto Kabwe amekamatwa na kushikiliwa na Jeshi La Polisi baada ya kufika Kituo cha Polisi Oysterbay kuwaona Viongozi wa Vyama vya Upinzani waliokamatwa tangu Juzi kwa ajili ya kuandaa maandamano ya amani ya kudai Uchaguzi mpya na Tume Huru ya Uchaguzi...
1. Vyama vingi kama sio vyote vya upinzani havina mizizi ngazi za chini badala yake vina majina makubwa ya viongozi pale juu wanaofanya propaganda kubwa.
2. Hakuna tafiti za kina zinazofanyika tokea chaguzi moja mpaka chaguzi nyingine nini hasa sababu ya kushindwa jambo linalopelekea kubakia na...
Uchaguzi huu umekwisha na Upinzani unapaswa kucheza karata zake vizuri ili kuepusha majanga mengine mwaka 2025. Kelele za kutaka uchaguzi urudiwe hazitozaa matunda sasa ambapo hata maandamano tu ya kupinga Mbowe kupewa kesi nzito yamefail.
Nini kifanyike
1. Wale Wapinzani wawili walioachiwa...
Wana Jamvi,
Nina furaha kubwa kuona kwamba kama watanzania, tumeweza kupokea matokeo yote kwa utulivu na ku kubaliana na hali tuliyo nayo sasa hivi.
Kipindi ambacho mengine yana endelea, yakiwemo kuapishwa kwa viongozi, ni vyema ku angalia upande wa pili na ku sikiliza hoja za ambao hawa...
Karata mlioicheza sasa itazaa matunda, ilikuwa ni ngumu kuiaminisha jumuiya ya kimataifa kuwa uchaguzi uliofanyika Tanzania mwaka huu uligubikwa na kasoro nyingi, ukizingatia waafrika wote waliokuja kuangalia na kuripoti ulivo kuwa walisema uko huru na haki.
Lakin sasa kwa hali inavoendelea...
Wasalaam wajumbe!
Ninawaomba sana upinzani katika nchi hii utambue kua mabadiliko ya mifumo ya kiutawala iliyojaa uonevu na ukoloni hayatafanywa na CCM. Hiki chama kilichobakisha sasa ni kugawana vyeo na kurithishana. Bila ya upinzani madhubuti CCM hakiwezi kutoka madarakani leo.
Bila ya...
Balozi huyo ameandika:
Reports of arrests of opposition leaders are extremely concerning. I urge the Government to ensure the safety and security of all opposition leaders, cease these targeted arrests, release detainees, restore telecommunications, and afford due process under the law to all...
Japo nimearifiwa kwamba matokeo ya uchaguzi wa Rais hayapingwi mahakamani, ila napendekeza wanasheria wa upinzani wafungue hiyo kesi ya kupinga hayo matokeo, tena kwa ngazi zote kuanzia udiwani.
Tunataka, kesi zipelekwe mahakamani, ili majaji na mahakimu watapozikataa, tuendelee kukusanya...
Ukifatilia kwa ukaribu vyama karibu tisa au kumi kati ya 15 vilivyotoa uwakilishi katika uchaguzi huu utagundua havikuwa na itikadi na muelekeo na nia thabiti ya kuongoza nchi, matokeo yake uchaguzi unaisha wote wanakuwa hawana tofauti na kina Waziri Jenister na kina waziri Kabudi wamekua wadogo...
Amani iwe kwenu wajumbe!
Nadondosha andiko langu hapa kuushauri upinzani katika nchi hii usikubali kabisa upuuzi wa watu wachache kuamua kujipa mamlaka kwa kutumia nguvu ili kujiamulia kuifanyia nchi watakavyo. Wanataka wapange bajeti ya nchi watakavyo.
Serikali ya CCM imekua na rekodi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.