unafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Makonda usipitilize unafiki, omboleza kivyako halafu nenda zako

    Nimeikuta hii makala mahali, nikajisemea, wanafiki wote hata geti la mbinguni hawataliona, Makonda akiwemo. Paulo Makonda akiwa Mkuu wa Mkoa DSM, alimtafuta mwanamke anaitwa Fatma Chikawe, akampa jina la ‘Fatma Lowassa’. Edward Lowassa alikuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA. Paulo Makonda...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Yaani mtu kajiuzuru mwenyewe kutokana na Ufisadi wake ambao Umeigharimu nchi pakubwa (hasa kwa kuitia hasara) halafu leo kafariki tunasema/tunamuita ni Waziri Mkuu Mstaafu! Lowassa alistaafu Uwaziri Mkuu wake kama wengine au alijiuzuru kutokana na Kashfa zake za Ufisadi alizojaribu kuzizima kwa...
  3. comte

    JamiiForums Tanzania Tumuomboleze Lowassa bila unafiki. Shule za kata ulikuwa uamuzi wa CCM

    Kunatofauti ya kuamua na kusimamia maamzi. Ujenzi wa shule za kata nchi nzima ulikuwa uamuzi wa CCM na ulikuwa kwenye ilani ya uchaguzi 2005-2010 USHAHIDI HUU HAPA Elimu ya Sekondari 61. CCM itazielekeza Serikali kuchukua hatua za kuendeleza elimu ya sekondari katika kipindi cha 2005 - 2010...
  4. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mwasisi wa unafiki na uchawa nchi hii ni mchonga meno( baba john,baba maria na baba rosemary)

    Yule jamaa mwandishi wa habari wa kwanza wa BBC swahili na hakika ndiyo alistahili kuwa rais wa nchi hii sio huyu mnaomsema ninyi kwanza mnaomsema ninyi ni mwasisi wa haya yote kwanza waTanzania kuanzia udini,uoga, unafiki na uongo uongo wa ninyi wajinga wajinga Kitendo cha yeye kumsema Amini...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unafiki: Aliyemdhalilisha Chongolo Kinondoni leo kawa Mtetezi wake!

    Humu JF uko ushahidi wa video ya Makonda akimkoromea Chongolo , wakati huo Chongolo akiwa na cheo cha chini na Makonda akiwa RC au DC. Sasa angalia sarakasi zake za sasa , Hivi huyu jamaa anadhani Watanzania ni wajinga kiasi gani?
  6. conductor

    JamiiForums Tanzania Mzumbe University, Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku-assess wanafunzi field lakini halipwi

    Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka? Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe University. Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku assess wanafunzi field, ratiba ikimtaka kuwa eneo la tukio...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Dunia ina unafiki sana, Poshqueen anampost Harmonize karibia kila mara, kama vile anampenda kweli

    Yaani mdada kama Poshqueen ni mtu wa ku fall in love na mwanaume, hahaaaaa tena mwanaume mwenyewe Harmonize.😂 Baadhi ya wanawake (wengi wenu) mmetisha, mkiona mwanaume ana hela, mnajua kuigiza mmempenda kuliko waigiza filamu wa Hollywood, nje mnaonesha mnampenda kumbe moyoni mko tofauti...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Michezo Tanzania acheni Unafiki na Upuuzi

    kabla ya Taifa Stars kucheza na morocco leo katika michuano ya AFCON huko nchini ivory coast waandishi wa habari za michezo wa Tanzania walituaminisha kuwa morocco atafungwa tu huku wakiwapa sifa kem kem za uwongo na kweli wachezaji wa Taifa Stars na kuna wapuuzi na majuha waliwaamini Cha...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Lile lishangazi lilinifanya nijiingize kwenye umarioo, sitasahau

    LILE LISHANGAZI LILINIFANYA NIJIINGIZE KWENYE UMARIOO, SITASAHAU Na, Robert Heriel Mtibeli Hivi ndivyo ilivyokuwa, kama ilivyosemwa na watu wa kale yakuwa shida haina adabu. Ndivyo ilivyotokea kwangu. Haya sasa tulieni niwasimulie, tena mtege masikio yenu msikie habari hii ya aibu...
  10. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

    Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu! Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida! Mimi Binafsi siwezi...
  11. Kijana LOGICS

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kuongea mazuri ya Watu tuache unafiki, chuki na roho mbaya

    Nimeona post za member mmoja akisakama ma binti wa kijita waziwazi kwa kujiamini kabisa anawaambia vijana usioe mjita tena anakazia kama yéyé na dada zake ni wema sana. Wewe kama unamchukia MTU/jamii ya watu fulani wachukie tu wewe inatosha kwanini utugawie chuki zako tuwachukie watu bila...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Watanzania na serikali tuache unafiki

    Tunaona reaction ya watu kuhusu mauaji ya yule ndugu anayesemwa ameuawa na Hamas. Kile sio kitendo cha kibinadamu na cha kukemewa sana. Japo sasa kemeo linaweza kuwa halina impacts kwa sababu Hamas na Israel hawasikii chochote. Lakini kama kinachouma ni mauaji ya mwenzetu? Tulichukua hatua...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Marekani wanapeleka misaada ya kibaadamu Palestina Gaza huu ni ‘UNAFIKI’

    Wanaukumbi. Serikali ya Marekani wameweka kwenye ukurasa wao wa Ikulu ya taifa hilo, misaada ya kibinadamu ambayo wanaipeleka nchini Palestina kwenye ukanda wa Gaza. Hivi mnawaelewa kweli hawa jamaa? Yaani wapeleke silaha nchini Israeli kwa ajili ya kuwaua watu wa Palestina watoto, wanawake...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

    Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu. Ushahidi uko wazi kabisa: Lissu kamtaja hadharani, mwandishi wa magazeti ya Mwanahalisi kafungua...
  15. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Malcolm X speech democracy is hypocrisy/Demokrasia ni unafiki

    Malcolm X anasema kuwa demokrasia ni "unafiki". Ni tofauti kabisa na inavyoandikwa na kuhubiriwa duniani. Kwa kiasi kikubwa sasa dunia inashuhudia huu unafiki uitwao demokrasia. Tumsikilize kwa makini hapa
  16. D

    JamiiForums Tanzania Zijue taasisi zinazoongoza kwa unafiki duniani!

    Taasisi ya kwanza ni Zionists ama Wayahudi. Hawa ni nambari Wani. Tunakumbuka walivyompokea Yesu akiingia Yerusalemi. Walidiriki hata kumtandikia kanga apite juu asikanyage ardhi tena akiwa juu ya punda. Walimshangilia sana. Lakini siku Yesu alipokuwa akisulubiwa ni hao hao walishangilia hadi...
  17. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Unafiki SIO TUSI, ni tabia. Mtu akikuita mnafiki hajakutukana ameeleza tabia.

    Alauakibaru
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kusema muislamu ndugu yake ni muislamu huo ni unafiki

    Nimeona kauli hiyo ya "Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake" inatolewa huko Instagram kutoka kwa Bi Dada mmoja juu ya polisi kupiga marufuku ya maandamano Tanzania. Kiukweli uwezi kusema Kwamba Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake. Mimi naona hii sentesi ilitungwa kutetea watu wajamii...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Wabunge kufoka, kukemea na kujifanya wako siriasi kuisimamia Serikali

    Wabunge wetu wanatuona sisi wajinga. Juzi tu wamepitisha mafao ya wasiostahili kulipwa na kimsingi hao waajiriwa na hawana mkataba na wananchi kikatiba. Wiki hii wanajifanya wanaropokwa kwa uchungu, hawa wanafiki wanaotaka kuuza sura huku mwishoni kuwasahaulisha Raia na uzuzu wao wa kushindwa...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa nchi za kiarabu ndio uliowezesha kuzingirwa kwa Gaza

    Vita vinavyoendelea mpaka kufikia leo vimepitia hatua nyingi na za wazi.Kila mwenye kuelewa alielewa kilichopangwa kutokea.Hii ni kwa vile vita hivi kati ya Israel na wapalestina vimepiganwa katika namna za kisasa tofauti na vita vilivyotangulia vya mwaka 148 na vile vya Yom Kipur vya mwaka...
Back
Top Bottom