FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
Kama ilivyo desturi na kawaida ya shughuli zetu zote Watanzania, iwe za Kiserikali au hata za majumbani mwetu, huwa tunaanza kwa dua.
Jana 22/10/2023 kama kawaida, ya shughuli ya Kitaifa ya kusaini mikataba mikubwa ya uendeshwaji bandari yetu ya Dar, dua zilisomwa na askofu wa Liberatus wa TEC na Sheikh Zuberi wa Bakwata.
Cha kushngaza, Sheikh Zuberi moja kwa moja alianza dua na kuombea kilichowakutanisha pale, utiaji saini mikataba ya bandari.
Kwa upande wa Askofu Liberatus, ingawa yeye ndiye alipewa jukumu la kufunguwa dua hizo, lakini hakuombea kabisa kilichowakutanisha jana na wala hakuitaja kabisa hata bandari kwenye "Dua" zake.
Huo siyo unafiki wa hali ya juu jamani? Kama azma yao ya kuupinga mkataba haijafanikiwa chuki za nini mpaka kufikia kutokuombea dua Bandari yetu?
Ushahidi huu hapa, dua zinaanza dakika ya 9:
View: https://www.youtube.com/live/MZRDcSJb16g?si=TGeB65IGaoxJ7t4D