Unafiki wa Wabunge kufoka, kukemea na kujifanya wako siriasi kuisimamia Serikali

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,413
11,065
Wabunge wetu wanatuona sisi wajinga. Juzi tu wamepitisha mafao ya wasiostahili kulipwa na kimsingi hao waajiriwa na hawana mkataba na wananchi kikatiba.

Wiki hii wanajifanya wanaropokwa kwa uchungu, hawa wanafiki wanaotaka kuuza sura huku mwishoni kuwasahaulisha Raia na uzuzu wao wa kushindwa kuisimamia na kuishauri na kukemea pale inapobidi.

Sakata la report ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali inatumika nyakati hizi kujikosha.

Awamu hii Raia hawadanganyiki hao wabunge uchwara ambao ni zao la uhuni wa kipumbavu wa utawala na malengo ovu ya Magufuli 2025 ni hukumu takatifu.

Nyakati hizi amsha amsha za kishamba huko bungeni tunazipuuza mwanzo mwisho.

Joto lao baridi yetu.

Wadiz.
 
HILO BUNGE LA MAKELELE TU

HAKUNA HATUA YOYOTE WANAYOCHUKUA

BLAH BLAH ......ZUCHU INABIDI AKATUMBUIZE HUKO WAMPIGIE VIGELEGELE

OVA
 
Kinachofanyika ni unafiki. Wanajifanya kuizodoa serikali ili tu mkubwa fulani aoneshwe mlango wa kutokea. Wabunge wanadhani wakiwa wanajadili mambo fulani wananchi wao hawaelewi nini kitatokea na kwa nini wanashupaa wanapojadili jambo fulani hawajui wananchi wao tayari wanajua A - Z kuwa wanafanya siasa za kinafiki
 
Wabunge wetu ni mandondocha, wanatuona sio mafala
Sie au wewe na mabest zako ndio mafala?
Awamu hii Raia hawadanganyiki hao wabunge uchwara ambao ni zao la uhuni wa kipumbavu wa utawala na malengo ovu ya Magufuli 2025 ni hukumu takatifu.
Na unapomtaja Magufuli unajionesha wewe ni zuzu fala na kabwela wahed.

Ikiwa Magufuli ndiye kaleta hili bunge basi serikali iliyopo madarakani ni ya Magufuli.

Jamaa amekufa bado unakaza Magufuli 2025 huku wapigaji wakipiga kwa raha zao, wewe unakaza Magufuli 2025, wewe sio fala?
 
Wabunge wetu ni mandondocha, wanatuona sio mafala, Juzi tu wamepitisha mafao ya wasiostahili kulipwa na kimsingi hao waajiriwa na hawana mkataba na wananchi kikatiba.

Wiki hii wanajifanya wanaropokwa kwa uchungu, hawa wanafiki wanaotaka kuuza sura huku mwishoni kuwasahaulisha Raia na uzuzu wao wa kushindwa kuisimamia na kuishauri na kukemea pale inapobidi.

Sakata la report ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali inatumika nyakati hizi kujikosha.

Awamu hii Raia hawadanganyiki hao wabunge uchwara ambao ni zao la uhuni wa kipumbavu wa utawala na malengo ovu ya Magufuli 2025 ni hukumu takatifu.

Nyakati hizi amsha amsha za kishamba huko bungeni tunazipuuza mwanzo mwisho.

Joto lao baridi yetu

Wadiz
Uzi mzuri ila umeharibu kwa jinsi ulivyo mchomeka Magufuli kwenye upuuzi wa wabunge na serikali yao
 
Magufuli anahusika Kwa wizi wa kura alifanya ubabe ili akina Zitto , mbowe, mnyika, Lema na wengine wasipate ubunge kwenye hilo Magufuli aendelee kuungua moto wa ahera
 
Sie au wewe na mabest zako ndio mafala?
Na unapomtaja Magufuli unajionesha wewe ni zuzu fala na kabwela wahed.

Ikiwa Magufuli ndiye kaleta hili bunge basi serikali iliyopo madarakani ni ya Magufuli.

Jamaa amekufa bado unakaza Magufuli 2025 huku wapigaji wakipiga kwa raha zao, wewe unakaza Magufuli 2025, wewe sio fala?
Magufuli alifanya wizi na ubabe kwenye uchaguzi acha ufala wewe hili bunge la hovyo lawama anabeba Magufuli acha undezi wa kishamba
 
Magufuli ndio zimwi lililoharibu uchaguzi
 
Muda wa uchaguzi unakaribia hivyo Kila mmoja anatafuta kiki ya kurudisha Imani kwa wapiga kura. Hapa wahanga watakuwa wafanyakazi
 
Magufuli alifanya wizi na ubabe kwenye uchaguzi acha ufala wewe hili bunge la hovyo lawama anabeba Magufuli acha undezi wa kishamba
Ndezi na mshamba ni wewe mwenyewe. Kabla Magufuli hajakuwepo wapigaji walikuwepo, kaja Magufuli wapigaji wapo, Magufuli akaondoka wapigaji wapo.

Wewe unakaza Magufuli Magufuli huko waarabu wanamilikishwa mali zako, wewe unakaza Magufuli Magufuli, huko mzee wa Msoga na mkewe + kijana wake wanapiga kiulaini hazina yako, wewe unakaza Magufuli Magufuli huko kwako kuna mgao wa umeme kutwa mara 3.

Wewe unakaza Magufuli Magufuli huku mafisadi wanajimilikisha viwanja na kuporomosha mabangaluu ilihali weye umepanga kijichumba huna mbele wala nyuma.....

Wewe ni nani kama sio zuzu fala wahed!!
 
HILO BUNGE LA MAKELELE TU

HAKUNA HATUA YOYOTE WANAYOCHUKUA

BLAH BLAH ......ZUCHU INABIDI AKATUMBUIZE HUKO WAMPIGIE VIGELEGELE

OVA
Majinga tu yanawazuga wasioelewa, siku ya kupitisha sheria ya kuwalipa wake wa viongozi yalikuwa yamelegea kama malaya wa kimboka eti leo wanajifanya wanakemea sa wanakemea nini kama sio ungese ?
 
Bunge La Ccm Wenye Akili Tunajua Hakuna Jipya Zaidi Mipasho, Ngonjera, Nahau
Pwelepwete Nyingi
 
Ndezi na mshamba ni wewe mwenyewe. Kabla Magufuli hajakuwepo wapigaji walikuwepo, kaja Magufuli wapigaji wapo, Magufuli akaondoka wapigaji wapo.

Wewe unakaza Magufuli Magufuli huko waarabu wanamilikishwa mali zako, wewe unakaza Magufuli Magufuli, huko mzee wa Msoga na mkewe + kijana wake wanapiga kiulaini hazina yako, wewe unakaza Magufuli Magufuli huko kwako kuna mgao wa umeme kutwa mara 3.

Wewe unakaza Magufuli Magufuli huku mafisadi wanajimilikisha viwanja na kuporomosha mabangaluu ilihali weye umepanga kijichumba huna mbele wala nyuma.....

Wewe ni nani kama sio zuzu fala wahed!!
Tulia kibwengo Mdundiko nenda taratibu Magufuli ndio mharibifu na mwizi wa uchaguzi wa 2020, acha ufala wewe nguchiro pori
 
Lingekuwa zimwi wala lisingekufa, Mazimwi upo nayo ndiyo hayo hayo yanayogawana mali za nchi, na ndiyo hayo hayo yanayopeana madaraka kama kupeana njugu tu

Niamini Mazimwi unaishi nayo na utayapata kura uchaguzi ujao kwa sababu wewe ni zuzu wahed
Magufuli ndio zimwi lililoharibu uchaguzi
 
Wabunge wetu wanatuona sisi wajinga. Juzi tu wamepitisha mafao ya wasiostahili kulipwa na kimsingi hao waajiriwa na hawana mkataba na wananchi kikatiba.

Wiki hii wanajifanya wanaropokwa kwa uchungu, hawa wanafiki wanaotaka kuuza sura huku mwishoni kuwasahaulisha Raia na uzuzu wao wa kushindwa kuisimamia na kuishauri na kukemea pale inapobidi.

Sakata la report ya Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali inatumika nyakati hizi kujikosha.

Awamu hii Raia hawadanganyiki hao wabunge uchwara ambao ni zao la uhuni wa kipumbavu wa utawala na malengo ovu ya Magufuli 2025 ni hukumu takatifu.

Nyakati hizi amsha amsha za kishamba huko bungeni tunazipuuza mwanzo mwisho.

Joto lao baridi yetu.

Wadiz.
kutamani mambo yafanyike upendavyo na isifanyike inasababisha kutokuridhika, kujawa na makasiriko na mihemko kubwa sana moyoni. Inaongeza msongo na sumu ya afya ya akili unajikuta tu hakuna jema lifanywalo kwa mtazamo wako, matokeo yake ni hasira za kulipuka tu yaani unaweza mpiga mtu shoka .....

kutoridhika ni kitu mbaya sana....
relax bana uko wewe na wenzio wachache sana you can't change anything in any way
 
Kuna clip nimeisikia msukuma anaikosoa serekale, kwamba serekale imeshindwa kufanya biashara...mwendokasi ina mabus 300 ila barabarani yapo manne tu halafu bado mnajenga barabara za mwendo kasi, kakosoa sana nikabaki 🙄🙄🙄 kumbe mtu unaweza kukaa mbele ya kioo halafu ukawa serious kabisa unajifokea.
Akamlizia kwa kusema "serekali biashara hamuiwezi mtuachie sisi watoto wa kitaa"🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom