Ukituliza kichwa sawasawa, mke bora anapatikana Baa huko kwingine ni unafiki tu

Samico Tanzania

JF-Expert Member
Feb 6, 2022
276
792
Ujue ukitaka kupata kilicho bora ebu waza kinyumenyume na walimwengu baadae utanishukuru!

Leo fundi SAMICO Baada ya kumaliza project kwa amani na mteja wangu niliamua kwenda bar kutafakari napataje kazi nyingine.

Lakini nikiwa bar nimegundua ukituliza kichwa sawasawa huku ndiko waliko wake wa kuoa kwa mtu ambaye yupo serious.

Bar hakai kisirani, Bar hakai mwanmke mzembe, bar hakai mwanamke legelege n.k

Wengi walioko bar Mungu kawapa kipawa flani kila mtu na chake! Nzuri kuliko yote wanajua mwanaume anapenda nini na hapendi nini.

Ubamedi ni kazi tu kama kazi nyingine, Kwa maoni yangu ukifanikiwa kuchagua huku furaha ni kubwa sana kuliko majuto.

Huko kwingine mnakozani wametulia ni feki feki nyingi.

Ukweli ni kwamba badilisheni mtizamo kidogo, Bar ukichagua na kupata umepata kwelikweli.

Mwanamke anaevumilia matusi ya mlevi rohoni mwake amejaa amani nyingi kuliko mlokole asiye na adabu kwa mmewe.

Wakati wengi wakipanga mjini wewe nenda kajenge shamba, hivyo ndivyo ukitaka mke bora kamtafte bar!

Natoa ofa kwa kazi za ufundi bei yangu ni Tsh 95000/= tu kwa chumba cha kuishi, yaani ukitaka kujenga kila chumba 95000/=, ukitaka wiring kila chumba 95000/=, ukitaka tailz kila chumba 95000/= chochote unachokitaka nipigie bei ni 95000/ tu.

Napatikana kwa 0711756341 au instagram @samico_tanzania
KUANZIA LEO UKISIKIA MTU ANASEMA ANATAFTA MKE mwambie Fundi SAMICO kasema ukamtafte BAR
 
Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
mke mwema aah

Majukumu yananizidi jamani nachoka
Kazi za ndani haziishi mke sina
Nimeshapiga deki
Maharagwe yaniungulia maji nimeishiwa
Nimeamini mwanaume bila mke hajakamilika
Baado

Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
mke mwema aah
 
Mke mweema anatoka kwa bwana
Nimemwomba Mungu nangojea
Mifumo ya kidunia inatabia ya kuwa swich watu, wapotee kwa kuacha vitu vya maana kabisa! Chipis zinapendwa na kila mtu lakini ukitaka upate nguvu zote baada ya kuishiwa ndipo unaikumbuka mihogo mibichi na karanga ambazo ungejua ubora wake hicho ndicho kingekuwa chakula pendwa.
 
Wazo zuri

Mawazo mbadala. Kwanza hata ukiachana na hao baamedi mwanamke anayetumia bar anaweza faa vizuri tu.

Hawa huwa na uwezo wa kueleza hisia zao wazi (hata kama ni kwa msaada wa pombe) na ndio maana wanaishi vizuri maana wanawasiliana kikamilifu. Na palipo na mawasiliano amani na mshikamano vipo.
 
Ni kweli tupu kwa asilimia 80% tena wawazi sana,hata tunavyopigwa bili bar wanajua hata ukichepuka na ukatumia condom anakushika hadi ufundi maiko wako unakutoka !Anakupeleka kukuogesha na neno honey kwa karibu anakutoa nguo zote.

Anakumwagia maji kwenye moja yako ya mbele!kwa jinsi condom ilivyo na mafuta ,maji yanateleza hapo sasa fundi maiko unajulikana ulichepuka.kaoge haraka baada ya tendo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom