unafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania UTV Acheni Unafiki. Habari zenu hazina mizania

    UTV haijawahi kuripoti chochote kuhusiana na mikutano ya CHADEMA inayoendeshwa na Tundu Lissu. Leo wameripoti kuhusiana na kukamatwa kwake. Hawa hawa UTV hawajawahi kuripoti kuhusiana na waraka pendwa wa TEC badala yake wakawa wanatafuta watu wenye maoni ya kupinga waraka ambao hawajawahi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Suala la Mafuta Spika acha unafiki ulishauriwa uunde tume mwaka mmoja umepita ukapuuza

    Suala la Mafuta Spika acha unafiki hili suala ulishauri tangu Juni 2022 kwamba unda Tume kuchunguza ukakaaa kwa sababu ulitaka kumlinda Waziri Januari Makamba kwa manufaa binafsi unayoyajua wewe. Leo umeona Makamba hayupo ndio unajifanya kuunda tume ukamchunguze Dotto Biteko huku ukijua...
  3. S

    JamiiForums Tanzania TCRA kuufungia wimbo "Amkeni" wa Ney wa Mitego na kuacha nyimbo za matusi ni uchawa, kujipendekeza na unafiki

    TCRA acheni kutumika vibaya. Mmeufungia wimbo wa Ney Wamitego "Amkeni" kwasababu tu umemparura aliyewateua lkn mmeacha nyimbo kibao za matusi zkiendelee kwenda hewani. .....sijui kutongoza.... .....ikiiingia inateleza.. ....paka mate niteleze.. .....nampatia sukari ananambia ongeza.. n.k, n.k...
  4. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Neno pole ni maficho ya unafiki

    Hili neno linatumika kama maficho ya ubaya na unafiki wa wanadamu. Binafsi sipendi kupewa hili neno hata kama nimepatwa na matatizo makubwa kiasi gani kwa sababu yeyote anaweza kulitamka na huwa linanirudisha kwenye hisia za matatizo yaliyonipata. Ni Bora kutumia mbinu mbadala ya kuonesha...
  5. Ejolisi

    JamiiForums Tanzania Akijifanya anakupenda we jifanye unamwamini unafiki ubaki pale pale 😂

    Uungwana ni kwenda na flow mtu anakudanganya we mtazame tabasamu ooh babe unajua siwezi kukucheat itikia sawa, anakusaliti kusanya data zako kaa kimya siku unalipua bomu "CAN WE TALK" hakuna haja ya kuwa na stress. Aya mapenzi ni maradhoni sijuw watu wanatk nn ukionesha kumpenda mtu unaanza...
  6. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Weka mkasa wako: Mnakutana na kuishi kwa furaha kumbe ni unafiki mwingi, kesho mkizidiana ama kupishana mnaanza kuchomeana

    Baada ya kumaliza chuo nilibahatika kupata kazi ya mkataba wa mwaka kampuni flani binafsi, Niliweza kujuana na kuishi vizuri na wenzangu wa hio kampuni, sasa niliwakaribisha gheto wakakuta nna Tv nchi 55 (nilipewaga na bro wangu) wakaenda mwambia boss nna Tv kubwa kama nyumba hata yeye agusi...
  7. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kamwe Kanisa Katoliki haliwezi badilisha msimamo kwa unafiki wa Imani kwa yeyote yule iwe jana, leo na hata milele

    Hello JF Ifahamike ya kwamba kanisa la Mungu aliye wa kweli Kanisa Katoliki kamwe halina tamaduni ya unafiki na kumuogopa awaye yeyote yule katika kusimamia ukweli na Imani ya Mungu wetu wa mbinguni na asitokee chawa ama ngedere awaye yeyote yule ama tumbili ama kambale ama kajoka kokote kale...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Tuache unafiki, katika mazingira haya tulitegemea Dkt. Slaa afanyaje?

    Habari wana jf, habari za siku nlihamia kidogo jukwaa la michezo maana mambo ya siasa yamekuwa ya moto kweli . Nimekutana na comments nyingi kuhusu Slaa kwamba haaminiki upande wa upinzani hivi katika mazingira haya wa kumwamini ni nani ? Upinzani au Dkt. Slaa? Na tulitegemea afanyaje...
  9. Mzanzibari Huru

    JamiiForums Tanzania Bandari na unafiki wa Watanganyika

    Wana Jukwaa Ama kweli akili ni mali na ujinga ni adui! Watanganyika, watu wenye rasilimali asilia za kila aina, kuaniza ardhi kubwa ilimikayo, 60% ya ardhi hiyo binadamu hajawahi kuweka mguu wake, maadini mbali mbali yenye thamani kubwa sana dhahabu, almasi, shaba, chuma, tin, lithium...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mzee Wassira unatuaibisha Mkoa wa Mara kwa Unafiki, Kutumika na Propaganda za Kipuuzi

    Mzee pumzika sasa, hili la DP World linakuabisha na kukuvua kabisa nguo kwa unavyolitetea hovyo.
  11. MlekwaKik

    JamiiForums Tanzania SoC03 Unafiki, uoga, ubinafsi, uongo na malezi yetu

    Kikwazo kikubwa cha uwajibikaji na utawala bora katika nchi yetu ni malezi anayopitia mtanzania wa kawaida, kuna namna ambavyo malezi yetu kuanzia shuleni hadi nyumbani yanatengeneza vijana waongo, wanafiki, wabinafsi na waoga. Maisha yetu kuanzia tukiwa watoto mpaka tunakuwa watu wazima ili uwe...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

    Wasalaam JF, Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe. Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
  13. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Ni unafiki kuhudhuria Misibani

    Binadamu kwa kiwango kikubwa hatueleweki nini tunatoka! Katika suala la kuhudhuria kwenye misiba wengi huwa tuna Ile ngoja nikaonekane na mimi nimefika. Maana yake hatuendi kwa Sababu ya kuguswa ila ni kuonesha tumeguswa. Kama mtu hautaki kwenda piga chini uwe huru.
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unafiki unaoletwa kwenye Mambo ya Mila na Desturi

    UNAFIKI UNAOLETWA KWENYE MAMBO YA MILA NA DESTURI. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Kwa kweli wengine unafiki ulitupita pembeni. Leo nitauelezea unafiki uliopo katika jamii yetu unaosemwa Kwa Wakubwa na wadogo. Sitamung'unya maneno. Hivyo kama unajiona una Roho nyepesi ingefaa upuuzie andiko...
  15. let the caged bird sings

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa nchi za Magharibi na nchi nyingine dhidi ya watu wa Belgorod

    Dunia ipo kimya kwa watu wa Belgorod wanaopigania Uhuru wao dhidi ya serikali inayodhulumu haki zao. Ila haikukaa kimya wakati watu Cremia, Donesk etc walipotaka uhuru wao toka kwa Ukrein, walipewa kila misaada na ammunition ili wapate uhuru wao dhidi ya dhuluma waliyokuwa wanafanyiwa na...
  16. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu. Yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu, nasema hii tabia inakera. Ndio maana mie huwa napenda kujitenga na wabongo, aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu...
  17. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Tuacheni unafiki, Le Mutuz alikuwa ni mtu wa ovyo na mfano mbovu kwa vijana

    Kwanza, ninapenda kutoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, washikaji na wanaJF walioguswa na kifo cha William Malecella. Mungu awape faraja katika kipindi hichi kigumu cha majonzi. Sasa, twende moja kwa moia kwenye mada, kupitia mada hii, bila kuficha wala kumumunya maneno, William...
  18. comte

    JamiiForums Tanzania Zitto Watanzania hatujasau mlivyomtosa Membe kwenye Urais 2020

    Zitto akosoa wasifu wa Membe kuacha uanachama wake ACT-Wazalendo Kauli yake inakuja baada ya Mwenyekiti wa ACT – Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad kumuidhinisha Tundu Lissu (Chadema) kuwa mgombea wao wa urais wa Tanzania...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, tatizo sugu la Watanzania ni Uoga, siyo Unafiki. Hayati Membe hakuwa muoga

    Hello JF crew! 👇👇👇 Kipekee naomba niweke bayana tatizo mojawapo kuu na sugu la watanzania ni UOGA sio Unafiki-, ifahamike ya kwamba kichuguu cha UOGA ndicho hubeba unafiki, uongo, kutojiamini na matakataka yote. Ndugu Hayati Membe alikuwa jasiri, mzalendo, na mfia nchi na mpigania taifa, kuna...
  20. Poa 2

    JamiiForums Tanzania Kardinali Pengo na Askofu Malasusa ni kielelezo cha unafiki wa viongozi wa dini

    Hivi wakati huyu Msiba anatukana, kukashfu na kutishia watu, wao walikuwa wapi? Maaskofu wa Kanisa Katoliki waliwahi kuandika Waraka kukemea maovu wakati wa Magufuli lakini Pengo aliukana waraka ule. Leo yeye wa kumwombea Msiba msamaha kweli? Viongozi wa dini walikaa kimya hawakuonya chochote...
Back
Top Bottom