Kusema muislamu ndugu yake ni muislamu huo ni unafiki

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
Nimeona kauli hiyo ya "Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake" inatolewa huko Instagram kutoka kwa Bi Dada mmoja juu ya polisi kupiga marufuku ya maandamano Tanzania.

Kiukweli uwezi kusema Kwamba Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake. Mimi naona hii sentesi ilitungwa kutetea watu wajamii fulani, kwamba wakionewa basi iwe rahisi nyie wengine kwenda kuwasaidia. Mfano huko palestina hili wapate msaada watatumia neno muislamu ndugu yake ni muislamu ili kuchochea waislamu wengine ulimwenguni kwenda kuwasaidia.

Je, waislamu wa Sudan, Niger, Burkinafaso, Mali, nchi ambazo kwa asilimia kubwa zimejaa waislamu kwa zaidi ya asilima 90, huko kuna vita daily, nchi zimejaa umasikini wa kufa mtu, ukame, maji, umeme hakuna alafu Wewe muislamu wa buza unasema Muislamu ndugu yako ni muislamu, mbona ndugu zako wa Niger na Mali uendi kuwasaidia.

Ila muarabu akipata shida kidogo tu, Waislamu wote wa Buza watataka kujilipua kisa tu kumsaidia na kumtetea muarabu.

Waislamu wa Kiafrika ndugu zenu wa dhati ni waafrika wenzenu ambao leo au kesho ukipata shida basi muafrika mwenzako ndio anakuwa mtu wa kwanza kukupa hifadhi, leo hii nchi yetu ikipata vita wewe mtanzania mweusi uwezi kwenda kuwa mkimbizi Yemen, Oman, Saudi Arabia, UAE, watakukataa... Ila Kenya, Uganda, Congo, Zambia, Msumbiji watakuchukua kama mkimbizi... Sasa hapo nani ni ndugu yako.

Wazungu na waarabu wenyewe hawawezi kukupa kipaumbele wewe Black Mamba wa Bonyokwa hata upate shida gani hata awe wa Dini yako. Ila shida hiyo hiyo ukiipata hapo Bonyokwa mtu wa kwanza kuja kukujulia hali sio muarabu au mtu wa Dini yako, bali majirani wanaokuzunguka bila kujali ni watu wa Dini gani.

Dini zimewateka mpaka mnasahau kufanya maendeleo yenu, je ni vyuo vingapi vya kiislamu vimejengwa nchini, vyuo vingi ni vya Makanisa, Serikali na Watu binafsi. Nyie mmekomalia Muislamu ndugu yake ni muislamu hata hao waislamu wenzenu wa huko uarabuni wenye mafuta chungu nzima wameshindwa kuja kuwajengea vyuo vikuu. Sisi wakristo ndugu zetu ni watu wote wanaotuzunguka bila kujali itikadi zake, na ndio maana kwetu kwenye kutoa msaada hatuangalii wewe ni Dini gani, utakuta waislamu kibao wanasoma shule za makanisa au vyuo vikuu vya makanisa kama KCMC au Bugando bila shida au kushawishiwa kubadilisha dini.

Dini haikupeleki Peponi hata uamue kuishi msikitini, kitakacho kupeleka Peponi ni matendo yako mema na namna unavyoishi na binadamu wenzako hapa Duniani.

Ukiendekeza Dini sana, lazima utajaa Chuki na Ubinafsi. Na utajiona wewe ni bora mbele ya haki ya muumba.
 
Ila Bwana Yesu kristo yeye hana ubaguzi na mtu ,maneno yake ni pendaneni,mpende adui yako,mpende jirani yako, waombeeni wale wanaowauzi,akikupiga shavu LA kulia mgeuzie na kushoto.

Adui yako akiwa na kiu mpe maji,msishindane na mtu neno lolote isipokuwa kupendana. Itoshe kusema yeye ameondoa matabaka na ndio maana nchi za ulaya ni makimbilio ya waarabu na waafrika wa dini zote sababu ya mafundisho ya Yesu
 
Naona povu 😅😅sasa nyie ndani ya madhehebu hata kusali kanisa moja hampatani.

Kingine kama ni shekhe Ponda hayuko sahihi kweny maandamano halafu usifuate waislamu wa mitandaoni kama Mwijaku ,kitu kidogo Mwijaku anaingiza neno uislamu ila yeye binafsi hafuati uislamu ...

Shekhe ponda kufanya maandamano si sahihi kwa vile kaenda kinyume cha taratibu ...Kauli itabaki labda useme kutumika kwake kama hapo kutetea mtu aliyefanya kosa ni kupotosha.

Kingine usihangaike na waislamu ambao hata uislamu hawafuati ni kucomment tu udini ambao hauna maana .
 
Eti Black Mamba wa Bonyokwa 😆😆🙌🙌
 
Comment yako ni nzuri lkn huo ndio ukweli wa waislamu waliowengi ni ngumu sana waislamu kukubali kuwa waislamu wenzao wana makosa na akiliona hilo kosa yuko radhi kukaa kimya kuliko kutoka adharani na kusema hapa kuna kosa labda tu hilo jambo liwe linahusu wenyewe kwa wenyewe.
 
Ila Bwana Yesu kristo yeye hana ubaguzi na mtu ,maneno yake ni pendaneni,mpende adui yako,mpende jirani yako, waombeeni wale wanaowauzi,akikupiga shavu LA kulia mgeuzie na kushoto.

Adui yako akiwa na kiu mpe maji,msishindane na mtu neno lolote isipokuwa kupendana. Itoshe kusema yeye ameondoa matabaka na ndio maana nchi za ulaya ni makimbilio ya waarabu na waafrika wa dini zote sababu ya mafundisho ya Yesu
Nakuhakikishia hayo maneno ya Yesu hapo ndio yaliyonifanya nikamuamini. Na kuuamin ukristo. Pendaneni. Mpende adui yako. Msimlipize mtu ubaya kwa ubaya. Msishindane na mtu muovu. Mpende jiran yako. Mpende Mungu wako kwa kila kitu. Hii kwangu inanitosha sana.
 
Nimeona kauli hiyo ya "Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake" inatolewa huko Instagram kutoka kwa Bi Dada mmoja juu ya polisi kupiga marufuku ya maandamano Tanzania.

Kiukweli uwezi kusema Kwamba Muislamu ndugu yake ni muislamu mwenzake. Mimi naona hii sentesi ilitungwa kutetea watu wajamii fulani, kwamba wakionewa basi iwe rahisi nyie wengine kwenda kuwasaidia. Mfano huko palestina hili wapate msaada watatumia neno muislamu ndugu yake ni muislamu ili kuchochea waislamu wengine ulimwenguni kwenda kuwasaidia.

Je, waislamu wa Sudan, Niger, Burkinafaso, Mali, nchi ambazo kwa asilimia kubwa zimejaa waislamu kwa zaidi ya asilima 90, huko kuna vita daily, nchi zimejaa umasikini wa kufa mtu, ukame, maji, umeme hakuna alafu Wewe muislamu wa buza unasema Muislamu ndugu yako ni muislamu, mbona ndugu zako wa Niger na Mali uendi kuwasaidia.

Ila muarabu akipata shida kidogo tu, Waislamu wote wa Buza watataka kujilipua kisa tu kumsaidia na kumtetea muarabu.

Waislamu wa Kiafrika ndugu zenu wa dhati ni waafrika wenzenu ambao leo au kesho ukipata shida basi muafrika mwenzako ndio anakuwa mtu wa kwanza kukupa hifadhi, leo hii nchi yetu ikipata vita wewe mtanzania mweusi uwezi kwenda kuwa mkimbizi Yemen, Oman, Saudi Arabia, UAE, watakukataa... Ila Kenya, Uganda, Congo, Zambia, Msumbiji watakuchukua kama mkimbizi... Sasa hapo nani ni ndugu yako.

Wazungu na waarabu wenyewe hawawezi kukupa kipaumbele wewe Black Mamba wa Bonyokwa hata upate shida gani hata awe wa Dini yako. Ila shida hiyo hiyo ukiipata hapo Bonyokwa mtu wa kwanza kuja kukujulia hali sio muarabu au mtu wa Dini yako, bali majirani wanaokuzunguka bila kujali ni watu wa Dini gani.

Dini zimewateka mpaka mnasahau kufanya maendeleo yenu, je ni vyuo vingapi vya kiislamu vimejengwa nchini, vyuo vingi ni vya Makanisa, Serikali na Watu binafsi. Nyie mmekomalia Muislamu ndugu yake ni muislamu hata hao waislamu wenzenu wa huko uarabuni wenye mafuta chungu nzima wameshindwa kuja kuwajengea vyuo vikuu. Sisi wakristo ndugu zetu ni watu wote wanaotuzunguka bila kujali itikadi zake, na ndio maana kwetu kwenye kutoa msaada hatuangalii wewe ni Dini gani, utakuta waislamu kibao wanasoma shule za makanisa au vyuo vikuu vya makanisa kama KCMC au Bugando bila shida au kushawishiwa kubadilisha dini.

Dini haikupeleki Peponi hata uamue kuishi msikitini, kitakacho kupeleka Peponi ni matendo yako mema na namna unavyoishi na binadamu wenzako hapa Duniani.

Ukiendekeza Dini sana, lazima utajaa Chuki na Ubinafsi. Na utajiona wewe ni bora mbele ya haki ya muumba.
Dini ni shambulio la akili.
 
Imani za kidini ni shambulio la akili.
 
Mimi naona hii sentesi ilitungwa kutetea watu wajamii fulani, kwamba wakionewa basi iwe rahisi nyie wengine kwenda kuwasaidia.
Hio maana yake ukipatwa na masaibu yoyote ukiwa sehemu mgeni wa eneo husika nenda Msikitini jieleze utasaidiwa, sijawahi kusikia tangazo kutoka kanisani mtoto amepotea Ila Msikitini nimesikia mara kibao hata mtoto akipotea wanaompeleka wanamuuliza amepotelea eneo gan akijibu wanaompeleka Msikitini wa karibu pale linapigwa tangazo
 
Back
Top Bottom