unafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya amani vita vya Ukraine yanaonyesha jinsi gani dunia imejaa unafiki sana

    Kituko cha kwanza mazungumzo yanafanyika pasipo wahusika wakuu Ukraine kuwepo katika hayo mazungumzo! Yani ni sawa na umemkamata mgoni anamtafuna mke wako ukazua ugomvi halafu wapatanishi wanakuja wanamchukua mgoni wako wanaenda kukaa naye kikao peke yao wanamuuliza anataka nini kumaliza kesi...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kally Ongala tunaokujua tulijua tu kuwa Leo iwe isiwe utawapa Zawadi kutokana na Unazi wako Kwao na Unafiki wako uliopitiliza

    Sasa kwanini usiombe tu Kazi huko Kwao ili tujue moja? Mechi yetu nawe najua utatukazia mno na hata Kushirikiana nao Kuroga / Kuturoga.
  3. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Mgogoro wa DRC: Viongozi wa Africa hawawezi kufanya maamuzi, waache unafiki

    Iko wazi kuwa kweli banyamulenge wana haki ya kuwa raia wa Congo na kupata haki zao zote za msingi kama raia wa nchi hiyo. Lakini je, inapofikia raia hawana uzalendo tena na nchi ambayo kimsingi ni yao na wanaonesha mapenzi na utii kwa kiongozi wa Taifa hasimu tena mwenye asili yao hao bado ni...
  4. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayahitaji unafiki kama mtu humpendi ni humpendi tu

    Kuna bidada next door kutokana na wenge la upwiru nikaweka kumbe mtoto wa watu kanogewa akaja kwenda kwao huko mji kasoro Sasa communication zikaendelea full kujibebisha mi namchora tu. Sasa mwaka jana akaleta pigo za kumtumia nauli aje kula sikukuu Dar Es Salaam Sasa nikafanya tathmini kutuma...
  5. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ujue unafiki wa waafrika, viongozi wa dini, basi tazama ukimya wao kwenye sakata la DRC

    Wakati vita na mauaji yanashika kasi kule Gaza, viongozi wa dini, viongozi wa kisiasa na waafrika walichukua upande, kutoa neno na kuomba. Vivyo hivyo hivyo wakati mambo yakishika kasi zaidi kule Ukraine. Sasa ngoma ipo hapo DRC, vita inapigwa haswaa, lakini watu wale wale hawataki kujigusa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Lissu, Leo Dkt. Slaa ni rafiki yako, unakuwa mwepesi wa kusahau au ni unafiki kwa vile alikuunga mkono dhidi ya Mbowe? Jikumbushe kidogo

    Unakumbuka kauli hii ya Slaa alipokuwa mpambe wa Magufuli? - Dkt. Slaa: Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi na watu ‘wasiojulikana’ ni jambo la kawaida https://www.youtube.com/watch?v=ajFGQ0wQdOk
  7. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Unafiki mkubwa wa baadhi ya watanzania

    1. Kuwadanganya watu wa mwanza kuwa dagaa zao ni tamu kushinda dagaa Mchele wa pwani na dar na WA majichumvi huu unafiki nmeuvumilia mda MREFU sana kiukweli dagaa watamu ni wa 1. DAR, 2.MWANZA ,3KIGOMA WALE WA KIGOMA HAWANA RADHA YEYOTE 2.Unafiki wa pili ni Kwa watumishi wengi wa UMMA na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Marafiki Mbowe na Samia kudanganyana ni sawa au unafiki?

    Sasa wanasema ni marafiki lakini rafiki mmoja kamdanganya mwingine kwenye maridhiano na kumletea shida. Je huyo rafiki ni rafiki kweli au mnafiki . Chadema wamekosa imani na Mbowe kwasababu ya kumuamini rafiki yake
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi Unafiki ndio huuita Busara. Watanzania wengi wakikuambia una busara sana tambua una kiwango kikubwa cha unafiki

    Mpo salama! Watanzania wengi wakikuambia unabusara nenda kajitafakari Sana. Kwani wao wanachanganya Unafiki na Busara. Wengi wao wakikuambia unabusara Sana tambua wanamaanisha wewe ni Mnafiki Sana. Hii ni Kwa sababu Watanzania wengi hawaupendi UKWELI. Hawapendi watu wa Moja kwa Moja. Na mtu...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unawakutaga na mabango ya "DEATH TO AMERICA", alafu tabu inapowafikia nchi ya kwanza kuanza asylum ni America. Unafiki mkubwa

    Mara ooh "mashoga", mara mashetani, mara illuminati ila wanapoeletewa shari na watu wa itikadi yao wenyewe tena wanakimbilia kule kwa mashoga kupata hifadhi zidi ya majanga na vifo wanavyoletewa na watu wao wa itikadi sawa wanaoikubali. . Mna vituko sanaa🚮🚮
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Watu waliokataa Magufuli asiongezewe Miaka ndio haohao wanashadadia Mbowe aendelee kuongoza. Ndio haohao wanakapinga CCM isiendelee! Unafiki mtupu!

    Mpo salama! Watu wenye ndimi mbili. Watu wenye mawe mawili ya kupimia ni watu Hatari Sana popote walipo. Ni watu wanafiki na muda wowote wanaweza kukuuza. Alipokuwepo Magufuli, Chawa wake walitoa maoni Yao kuwa Magufuli aongezewe Muda, Magufuli atawale milele, na kama Magufuli angekataa wapo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Ufaransa waonekana waziwazi, haijali demokrasia Afrika bali masilahi

    Katika kudhihirisha unafiki wake nchi ya Ufaransa ilitumia neno "Rais" wakati wa kuripoti habari iliyomuhusu Rais wa Gabon aliyeingia madarakani baada ya mapinduzi ilihali nchi hiyo hutumia neno " Junta"pale taarifa inapowahusu marais wa nchi za Mali, Niger na Burkina Faso ambao pia waliingia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Manara tangu akiwa Simba nilikuwa ninauona unafiki wake

    Hata alipokosana na Simba na kuondoka sikushangaa hata kidogo. Nikajisemea tu kuwa hata huko Yanga anapokwenda hataweza kudumu. Manara anapenda sifa na umaarufu. Lakini kibaya zaidi ni Mnafiki sana. Hata Saikolojia inatuelekeza kuwa mtu mwenye maneno mengi mdomoni mara nyingi NI MNAFIKI...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania TBC kipindi cha Duru za Siasa, ni unafiki mtupu. Mbona siasa za Tanzania mnazikwepa?

    TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania TBC KIPINDI CHA DURU ZA SIASA NI UNAFIKI MTUPU. MBONA SIASA ZA TANZANIA MNAZIKWEPA?

    TBC SIASA ZA TANZANIA hamzijadili kama mnavyochambua SIASA ZA nje. Mambo ya kina mdee bungeni na utekaji watu mmekaa kimya ila siasa za Kenya mnazichambua vema
  16. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Ukitaka Rafiki wa kweli fuga mbwa! Hawa viumbe hawanaga unafiki

    Wakuu hii nimejionea mbwa wana urafiki wa kindaki ndaki
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Mbwana Samatta karejeshwa Taifa Stars kwa Shinikizo, Uwoga, Unafiki au kwa sasa Kiwango chake Kimeimarika huko aliko?

    Manake nakumbuka pia Baba yake Mwanae alipoachwa alifura kweli kweli utadhani Tanzania Mchezaji ni Mwanae tu.
  18. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Doto Biteko acha unafiki wewe unaacha lini siasa?

    Tanzania na Afrika kwa ujumla tumekuwa na tabia na tatizo sugu la viongozi wetu kuwa na tabia ya unafiki, ubinafsi, uroho wa madaraka," what they preach is contrary what they are doing" Watanzania tuamka sasa tabia za namna hii tuwe tunazikemea hadhalani, hawezekani kiongozi yeye kaacha taaluma...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya leo ya CHADEMA yamedhihirisha unafiki wa Watanzania hasa vijana tofauti na Wakenya

    Vijana wa Kitanzania tofauti na wa Nchini Kenya mahodari sana kuandana na kulalamika kwenye mitandao ya kijamii kuliko kuingia barabarani (Road) Baada ya Chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) leo kuwataka wananchi wa Tanzania hasa vijana kujitokeza kwa wingi kuamndana jijini Dar mwitikio...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Marekani na unafiki katika mataifa mengine

    Marekani ni taifa ambalo mara nyingi linaonekana kama mfano wa demokrasia kwa mataifa mengine duniani. Hata hivyo, kuna muktadha wa kipekee ambao unahitaji kuangaliwa kwa karibu: wakati nchi hii inapojisifu kwa kuimarisha demokrasia na haki za binadamu, hali ya ndani ya nchi hiyo siyo kila...
Back
Top Bottom