Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!

Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida!

Mimi Binafsi siwezi kuwaacha DSTV kwasababu wana kila kitu ninachokihitaji!.DSTV siyo kwa ajili ya Masikini ( Hoehae) bali ni kwa ajili ya watu wenye Vipato vya kati na wenye uwezo (Matajiri),hawa jamaa bahati nzuri wamejenga standards zao ambazo haziwezi kufutika leo wala kesho!

Tatizo la AZAM wamekaa ki-Local sana na kwenye King'amuzi Chao hakuna cha maana zaidi ya Uswahili na Udini!.

Mimi binafsi sijawahi kusumbuliwa na DSTV kwasababu pia natumia king'amuzi cha PREMIUM ambacho kina kila kitu ninachohitaji!.

King'amuzi cha AZAM ukipitia nyuzi kadhaa humu members wanalalamika kuhusu remote zake na huduma mbovu wanazopata kutoka kwa huduma kwa wateja!.

DSTV atabaki the Best KING'AMUZI Kutoka kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko hao AZAM wenye Uswahili na Udini kila Uchwao ambao members kadhaa wameendelea kuwalalamikia hapa!.

Tangu ninunue DSTV leo no mwaka wa 7 na sijawahi kuona remote yao ikisumbua,hayo mambo ya kusumbua kwa remote ni mambo ya uswahili wa AZAM,Acheni wa Ushuani tuenjoy Good Life kutoka DSTV
 
DSTV na AZAM wote ni wapuuzi tu
Mkuu acha kufananisha DSTV na Azam asee. Hawa Azam sasa hivi nina mwezi wa tatu DSTV nina mwaka wa 4 huu kiukweli nje ya NBC premier league hakuna kingine nachofurahia Azam. Huwana wanakera sana sijui wana tatizo gani mpangilio wa vipindi vyao. Unaweza kuta kipindi kinaonyeshwa ghafla wanakata matangazo wanaingiza kipindi kingine. Au kero nyingine unakuta wanaonyesha mechi ya zamani hakuna information yoyote kusema hiyo mechi ilikua ya msimu gani au hata round ya ngapi? Yan kuna vitu vingi sana Azam wanaweza kujifunza kwa DSTV wasikaze mafuvu
 
Tatizo la dstv wanaondoa channel nzuri na muhimu sometimes wanakera
 
Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!

Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida!

Mimi Binafsi siwezi kuwaacha DSTV kwasababu wana kila kitu ninachokihitaji!.DSTV siyo kwa ajili ya Masikini ( Hoehae) bali ni kwa ajili ya watu wenye Vipato vya kati na wenye uwezo (Matajiri),hawa jamaa bahati nzuri wamejenga standards zao ambazo haziwezi kufutika leo wala kesho!

Tatizo la AZAM wamekaa ki-Local sana na kwenye King'amuzi Chao hakuna cha maana zaidi ya Uswahili na Udini!.

Mimi binafsi sijawahi kusumbuliwa na DSTV kwasababu pia natumia king'amuzi cha PREMIUM ambacho kina kila kitu ninachohitaji!.

King'amuzi cha AZAM ukipitia nyuzi kadhaa humu members wanalalamika kuhusu remote zake na huduma mbovu wanazopata kutoka kwa huduma kwa wateja!.

DSTV atabaki the Best KING'AMUZI Kutoka kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko hao AZAM wenye Uswahili na Udini kila Uchwao ambao members kadhaa wameendelea kuwalalamikia hapa!.

Tangu ninunue DSTV leo no mwaka wa 7 na sijawahi kuona remote yao ikisumbua,hayo mambo ya kusumbua kwa remote ni mambo ya uswahili wa AZAM,Acheni wa Ushuani tuenjoy Good Life kutoka DSTV
Malalamiko ya Azam ni udini, wengi wanalaumu kugemea udini wakati hawajasajiliwa kama kituo cha dini.
 
Kujua wateja wako ni kitu kikubwa katika biashara. Azam amelenga raia wa kawaida hao unaowaita waswahili na ndio maana kaweka ligi kuu na tamthlia za kisw kibao.
Azam mara zote wao huduma huwa zinalenga kukusanya fedha kidogo kidogo kutoka kwa watu wengi. Na biashara ya namna hii ndio ina faida zaidi.
Leo azam ana wateja zaidi ya laki 8 wakato dstv anao lak moja na elfu themanini.
Mind you mimi azam tv nliitumia miaka kama 4 iliyopita nikarudi zangi dstv
 
Back
Top Bottom