umeme

  1. JamiiForums Tanzania Gharama za umeme zimepanda lini? Tsh.10,000 kwa unit 72 badala ya 82 imekuwaje?

    TANESCO kuna shida kabisa kwanza umeme unakatika katika hovyo sawa hiyo moja lakin nyingine naona ghafla gharama za umeme zimepanda kimya kimya maana kwa Tsh.10000/ tulipata unit 82 lakini sasa mwez huu Tsh.10000 unit unapata unit 72. Hii ni hujuma au kuna nini huko TANESCO? Maana TANESCO ndiko...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme wa magari natafuta ajira. Nimehitimu Veta, nina uzoefu wa kazi kutoka Gereji mbalimbali

    Mimi ni mhitimu wa veta pia Nina ozoefu wa kufanya kazi kwenye garage mbalimbali. natafta kaz kwenye garage, kiwanda au sekta yeyote hle Napatkana kw no za simu 0626645648 & 0714624097 Email: sylivesterstephano66@gmail.com
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kupunguza gharama za kuingiza umeme kuwa 27000, wangefanya huduma hiyo kuwa ya haraka kwa bei ya zamani

    Natamani inchi yangu ijifunze kuangalia kipaumbele cha kero! Ni kweli kabisa gharama za kuingiza umeme hazitakiwi kuwa kubwa namna ile kutokana na mazingira kwamba Luku na miundo mbinu si Mali ya mteja Bali ni Mali ya mtoa huduma! Lakini kutokana na mipangilio mibovu, pamoja na kuwepo ile...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Vijiji vyote kuwa na umeme Desemba 2022 0

    Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani, amewataka Watumishi wa Shirika la umeme Tanzania ( TANESCO) pamoja na REA, kufanya kazi kwa kasi, kwa ubunifu na kwa usahihi ili kuhakikisha vijiji vyote nchini vimeunganishwa na umeme ifikapo mwezi Desemba mwaka 2022. ” Ni kauli mbiu ya Wizara...
  5. JamiiForums Tanzania Je, na umekuwa ukiipuzia taa ya tahadhali kwenye gari yako?

    JE? WEWE NI MIONGONI MWA WANAOZIPUUZA TAA YOYOTE YA TAHADHALI KWENYE GARI YAKO. ✓Taa ya tahadhali Ni aina ya taa inayowaka katika gari yako inayotumika kukupa taarifa ufanyaji kazi usiokiwa wa kawaida(mbaya) katika gari yako mapema ili uweze kuchukua hatua. Mfano wa taa hizo Ni Kama taa ya check...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Je, nyumba zisizo na umeme zimesamehewa kodi ya jengo?

    Serikali inapendekeza Kukusanya kodi za majengo kwa kutumia LUKU, najiuliza tuu, vipi nyumba zisizo na umeme. Je, zimesamehewa kodi ya majengo?
  7. JamiiForums Tanzania Baada ya serikali kupunguza bei ya kuunganishiwa umeme kuwa Tsh 27,000 Mkoa wa Kilimanjaro ofisi ya Tanesco mkoa yakabiliwa na upungufu " Surveyor"

    Baada ya Serikali kupunguza kulipia umeme Hadi 27,000 tanesco kwenye baadhi ya mikoa ,limeibuka tatizo la kukoseka kwa watumishi wanaojulikana kama ' surveyor, mfano kule Kilimanjaro ofisi ya tanesco mkoa ,kuna surveyor wawili, anaohudumia ofisi ya mkoa . Hii imechangia kuongezeka kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Pugu Kajiungeni eneo la mpakani hatuna umeme tangu jana

    Pugu Kajiungeni maeneo ya Mpakani jirani na Shule ya Sekondari hatuna umeme tangu jana tarehe 5/6/2021 hatuna umeme. Kila nikipiga simu ya emergence ya Kisarawe kutoa taarifa wanakata wanakata! Tufanye nini?
  9. JamiiForums Tanzania Esther Matiko: Umeme Tanzania ni Ghali sana, Kagera elfu 10 unapata unit 80 kutoka Uganda badala ya 28

    Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha CHADEMA, Esther Matiko amelalamikia gharama kubwa za umeme Tanzania huku akitolea mfano wakazi wanaoishi Kagera na kutumia umeme kutoka Uganda wanalipia 10,000 na kupata unit 80 ilihali kwa fedha hiyo Tanzania inanunua unit 28 pekee.
  10. JamiiForums Tanzania Shigongo: Baada tu Hayati Kupumzika Wamepandisha Bei ya Umeme, Unit 2400

    Akiwa Bungeni, mbunge Shigongo amelalamikia wananchi kutoka jimbo lake la Buchosa, visiwa vya Zilagula na Maisonga kununua unit moja kwa Tshs 2,400 kutoka kwa kampuni binafsi za Power Gen Amesema kampuni hizo zilipewa maagizo na waziri kuuza umeme kwa Tshs 100 lakini baada ya Rais Magufuli...
  11. JamiiForums Tanzania Umeme wa TANESCO umekuwa kero katika wilaya ya Masasi

    Sisi wananchi wa wilaya ya Masasi, mkoani Mtwara kuanzia jana umeme umekuwa unakatika kila baada ya dakika 10 na kuleta madhara makubwa kwa sisi wananchi ambao tunautumia kwani tunaunguliwa na vifaa ambavyo vinatumia umeme. Pia majokofu yanashindwa kufanya kazi kwa ufanisi kutokana na kero ya...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeme na Nishati - Kenya

    Nimeamua kuanzisha uzi huu wa umeme na nishati kwa sababu huwa nina habari nyingi kuhusu sekta hii ila huwa nakosa mahali pa kupost habari hizo.
  13. JamiiForums Tanzania Tanesco ukataji umeme wa ovyo

    ..
  14. JamiiForums Tanzania Tanesco Dodoma bado hawataki tulipe 27,000 kuunganisha umeme

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Licha ya waziri wa nishati kuelekeza kuwa wananchi waunganishiwe umeme kwa 27,000 tanesco Dodoma bado wamekaidi agizo hili. Wameamua kuwaunganisha wateja wenye nguzo karibu na nyumba zao huku wengine wakiambiwa walipie gharama za kuwasogezea nguzo karibu...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi nyingi zimeanza kulalamika kuhusu mining Bitcoin kwenye matumizi umeme

    Leo bbc imetoa ripoti huko nchini wingereza kukamata mtu ambaye alikuwa mwizi wa umeme kwa ajili ya kuvuna bitcoin. Bitcoin inakadiliwa kuwa inatumia vifaa vya graphic card kubwa ambazo zinafanya utendaji mkubwa wenye nguvu kubwa ya umeme ikiwa na GPU kubwa. Kuna nchi zina lalamika kuwa...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yakopa Dola Milioni 140 kujenga mradi wa kufua umeme wa Mto Malagarasi

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa mkopo wa dola za Marekani Milioni 140 (Tshs Bilioni 323) kutoka Benki ya maendeleo ya Afrika (AFDB) kwa ajili ya kugharamia Mradi wa ujenzi wa kufua umeme wa Mto Malagalasi Mkoani Kigoma. Mkataba huo wa mkopo umesainiwa na Katibu...
  17. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiko la Gasi na umeme linauzwa

    Jiko la gasi na umeme pamoja na oven. (Gas 3 na Umeme Moja) Limetumika kidogo sana. Ni VICTRA Japan. Njoo ulione ujiridhishe. Bei inapungua kidogo. Lipo Segerea - Dar es salaam Bei: 450,000/ Kwa uhitaji tafadhali piga namba hiyo 0689 217 050
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA Jiko la umeme na gesi linauzwa bei nafuu

    Jiko la gas na umeme pamoja na oven. (Gas 3 na Umeme Moja) Limetumika kidogo sana. Ni VICTRA Japan. Njoo ulione ujiridhishe. Bei inapungua kidogo. Lipo Segerea - Dar es salaam Bei: 450,000/ Kwa uhitaji tafadhali piga namba hiyo 0689 217 050
  19. JamiiForums Tanzania Nisaidieni mbinu za kupambana na huyu jirani 'mwizi wa umeme'

    Hii nyumba ninayoishi tupo wapangaji watatu kwenye compound moja. Nimehamia hapo huu ni mwezi wa pili unaenda kuisha. Ndani ya hizi wiki chache, nimeona mabadiliko makubwa ya matumizi ya umeme. Mwanzoni ilikuwa natumia wastani wa unit 2.4 kwa siku, ila kwa sasa imepanda mpaka 3.6 kwa siku...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Tendo la ndoa haliwezi kufanyika mpaka umeme uwake?

    Jana nilitoka out bwana nikiwa out basi wakaja akina mama wamejitoa out wana vikoba (nadhani pesa ilikuwa imepatikana wakaamua kujirusha) katika kuongea ongea kwao mara umeme ukazima Mama mmoja wa kwenye hicho kikundi bwana acha alalamike; Mama mmoja: Yaani huu umeme wa TANESCO umeniboa sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…