Mwenye uelewa jinsi system ya mita za umeme za wireless zinavyofanya kazi anijuze

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
5,170
2,000
Kama kuna mtaalamu yeyote anaelewa jinsi system za mita za umeme zinavyofanya kazi anipe ujuzi.Mita hizo ni hizi za sasa hivi tunazozitumia majumbani kuingiza LUKU kama wenyewe mnavyoiita.Maana nilisikia zinakuwa controlled somewhere kwa kutumia Network.Pia nataka kujua asili ya hilo neno LUKU.
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
5,170
2,000
Inawezekana ile system ya zamani ilikuwa inaitwa Lipa Bili Kubwa Usiyotumia,maana walikuwa wanaleta bill za ajabu
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,932
2,000
Ni kawaida sana boss wala usiumize kichwa. Kwenye electronics hasa kwenye Mawasialiano kuna Nyenzo zinaitwa Receiver (Rx) nq kuna Transmeter (Tx)

Hizo ni njia, Moja inatuma taarifa (Tx) na nyingine inapoke (Rx)

Kwa upande wa meter za Luku mfano hizi EDMI hizi zinatumia Radio waves. Mawimbi ya radio Kuwasiliana kati ya meter na Remote contoller yake ambapo hufanya kazi hadi 100 metres obstacle free

Mfano hizi Remote za TV au redio Zinatumia Infrared na Kuna baadhi zinatumia Wife na nyingune bluetooth

So transmission pritocal zipo kibao

Itategemea na faida na hasara za njia husika, ila mtengenezaji atachagua inayomfaa
 
Paul S.S

Verified Member
Aug 27, 2009
6,098
2,000
Je! mita za LUKU zinawasilianaje na server za TANESCO?

Pata madini kwenye hiyo thread
Enzi hizo watu walikua makini sana
 
Mfano hiyo server inayovalidate token mteja anapoingiza inakuwa kwenye level ya taifa au mkoa ambapo mita fulani ipo?,mfano kuna sehemu wanaona information za mita yako,matumizi yako ya umeme,na hata kiwango cha umeme kinachoingia Kwenye mita nataka kujua hizi information wanaziona makao makuu au mkoa mita ilipo
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
19,258
2,000
Kama kuna mtaalamu yeyote anaelewa jinsi system za mita za umeme zinavyofanya kazi anipe ujuzi.Mita hizo ni hizi za sasa hivi tunazozitumia majumbani kuingiza LUKU kama wenyewe mnavyoiita.Maana nilisikia zinakuwa controlled somewhere kwa kutumia Network.Pia nataka kujua asili ya hilo neno LUKU.
Tujifunze wote, hivi kwanini tusihamie pia kwa mfumo huo wa maji yani ziwe za luku, kuna baadhi ya mkoa nilitembelea kama Iringa iruwasa wanatumia luku kwenye maji
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
5,170
2,000
Naam hapa naamini patategua kitendawili hiki
Je! mita za LUKU zinawasilianaje na server za TANESCO?

Pata madini kwenye hiyo thread
Enzi hizo watu walikua makini sana
 
EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
5,170
2,000
Tujifunze wote, hivi kwanini tusihamie pia kwa mfumo huo wa maji yani ziwe za luku, kuna baadhi ya mkoa nilitembelea kama Iringa iruwasa wanatumia luku kwenye maji
Hao wanaenda kisasa,bila shaka hata mapato yameongezeka
 
ISO M.CodD

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
5,223
2,000
Je! mita za LUKU zinawasilianaje na server za TANESCO?

Pata madini kwenye hiyo thread
Enzi hizo watu walikua makini sana
Nilipoona mada nikaukumbuka huu uzi....

Those were the days
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,932
2,000
Mfano hiyo server inayovalidate token mteja anapoingiza inakuwa kwenye level ya taifa au mkoa ambapo mita fulani ipo?,mfano kuna sehemu wanaona information za mita yako,matumizi yako ya umeme,na hata kiwango cha umeme kinachoingia Kwenye mita nataka kujua hizi information wanaziona makao makuu au mkoa mita ilipo

hakuna cha server. Mita yenyewe ina engine ya Kung'amua token
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
9,932
2,000
Tujifunze wote, hivi kwanini tusihamie pia kwa mfumo huo wa maji yani ziwe za luku, kuna baadhi ya mkoa nilitembelea kama Iringa iruwasa wanatumia luku kwenye maji

hata kwa maji inawezekana na project hizo zipo nchini. Ila kumbuka mifumo hiyo inahitaji umeme. Je umeme utakuwepo kila eneo lenye mita?? na kama upo una uhakika wa kuwepo muda wote
 
sele255

JF-Expert Member
Sep 25, 2016
241
250
Mita haziwasiliani ila unapoingiza token Kuna mchakato wa kimahesabu hufanyika ndani ya mita yenyewe kubadilisha token kuwa units
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom