Fundi umeme wa nyumba na mashine za umeme (electrical techinician) naomba kazi

wirewizard

Member
Feb 14, 2014
75
56
Habari ndg zangu wana JF,

NAMSHUKURU MUNGU kwa kunipa wazo hili la kuleta ombi la kazi hapa jukwaani,,,mimi ni fundi wa umeme mwenye uzoefu mkubwa. Nimejiajiri mimi mwenyewe, kutokana na hali ilivyo kwa kwa sasa, kwa kifupi sina kazi! Au by the way kazi ni chache kulinganisha na kipindi cha nyuma, hivyo yoyote atakaye hitaji huduma yangu ani PM, kwa message, aache namba za simu nitampigia mara moja. Tafadhali naomba tuwe serious.

Nakaa DARESALAAM, BUNJU. Kazi nafanya popote TANZANIA. Kwani nina Team work yangu ya vijana wangu wasaidizi.

ASANTENI.
 
Unaweza kuwa na nia nzuri lakini mfumo waawasiliano ukakukwamisha. Mtafutaji hatafutwi bali hutafuta. Weka mawasiliano yako peupe ili uwatafute wanakutafuta.

Mfano halisi ni mimi. Nimejaribu kuingia PM imeleta madudu tu sijaelewa hata.
 
thankx for ure approval,,,,tafadhali,,,,ni,,,,,,PM,,,Tutaongea zaidi ndg
 
Unaweza kuwa na nia nzuri lakini mfumo waawasiliano ukakukwamisha. Mtafutaji hatafutwi bali hutafuta. Weka mawasiliano yako peupe ili uwatafute wanakutafuta.

Mfano halisi ni mimi. Nimejaribu kuingia PM imeleta madudu tu sijaelewa hata.
namba yangu ni hii ....0685694589,,,,,NINAFANYA KAZI ZA UMEME KWA UFANISI NA KWA BEI NAFUU,,,
 
Kazi utapata weka namba yako isomeke vizuri mwenye kazi hawezi kuja PM kujihangaisha
 
Back
Top Bottom