Arusha: Kijana wa CHADEMA mbaroni kwa kutaka kuvuruga mkutano wa Dkt. Magufuli kwa kupigisha shoti vyombo vya umeme

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
8,952
2,000
Sasa alitaka kutengeneza shot ili nini kitokee? Yaani CHADEMA, ACT na hao waumini wao wangeshika dola hii nchi ingegeuka uwanja wa vita. Sijui wanakuaga na akili gani hawa watu. Kuna wengine wanajinasibu hapa jf kwamba tayari wameandaa vidumu vya petrol. Ila ndio hivyo tena Mungu kutuletea mkombozi mzalendo John Pombe Magufuli

Mungu tunusuru watanzania na vyama vya wasaliti, wahujumu na vibaraka. Mungu ibariki Tanzania

Cc YEHODAYA
 
G bznes

JF-Expert Member
Jul 19, 2014
834
1,000

Kwa taarifa yako tu ni kwamba Tarehe 28 waTanzania wenye Akili Timamu wote wataenda Kuchagua kiongozi atakayetupatia UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU.

Na Si mwingine ni TUNDU A. LISSU
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
8,952
2,000
Watz tuondokane na hizi siasa za maji taka. Hiyo ni short ya umeme kama zinavyotokea kwingine. Hiyo ni msg (ujumbe) kuwa shorti za umeme zipo na ni za kila siku. Kusingizia kwamba ni kijana wa CDM bila uchunguzi ni ujinga na siasa za maji taka.
Na wale wanaojigamba kuwa wameshaanda vidumu vya petrol kwaajili ya kuanzisha fujo kwenye uchaguzi wenzao wakawapongeza sana naoò wamesingiziwa??? Hizo ndio akili ZA CHADEMA na ACT ila mjue tuu kwamba mnaenda kuaibika
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
8,952
2,000
Mjinga mmoja ww.... Akili zako zilipo zikae hukohuko siyo lazima uwaambukize na wengine !

Kwa taarifa yako tuu ni kwamba Tarehe 28 waTanzania wenye Akili Timamu wote wataenda Kuchagua kiongozi atakayetupatia UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU.

Na Si mwingine ni TUNDU A. LISSU
Wewe na wale wajinga wenzio mnaojidai kujiandaa na vidumu vya petrol badala ya kujiandaa na kadi ya kupiga kura mnatakiwa kupelekwa shule ya mafunzo ya kuniambia. CHADEMA ya mbowe inafia mkononi mwa vibaraka wa Amstadam
 
frenk julius

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
316
250
Mjinga mmoja ww.... Akili zako zilipo zikae hukohuko siyo lazima uwaambukize na wengine !

Kwa taarifa yako tuu ni kwamba Tarehe 28 waTanzania wenye Akili Timamu wote wataenda Kuchagua kiongozi atakayetupatia UHURU HAKI NA MAENDELEO YA WATU.

Na Si mwingine ni TUNDU A. LISSU
Matusi yann kiongoz chagia hoja
 
G bznes

JF-Expert Member
Jul 19, 2014
834
1,000
Wewe na wale wajinga wenzio mnaojidai kujiandaa na vidumu vya petrol badala ya kujiandaa na kadi ya kupiga kura mnatakiwa kupelekwa shule ya mafunzo ya kuniambia. CHADEMA ya mbowe inafia mkononi mwa vibaraka wa Amstadam
Furaha yangu ni kwamba kwa hiyo akili ndogo uliyonayo ni kwamba utaweza kwenda kuweka alama ya Tiki kweny kumpa Kura Lissu. Amka Mtanzania usiendlee kuwa Mbumbumbu kwa Miaka 60 toka Uhuru.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom