Mtaalamu wa mambo
Member
- Nov 23, 2020
- 58
- 96
Habari.
Leo nimekuja na Nada tofauti kabisa.
Nina mtaji wa 1M nahitaji kuomba leseni ya ufundi umeme wa majumbani na viwandani.
Sijafahamu taratibu za kusajili kampuni, kuwa na Tin number na kuorodheshwa kwa wakandarasi wa umeme.
Nani anaweza kunisaidia kukamilisha michakato yote.
Tuwasiliane.