Mkuu wa Mkoa Chalamila: Wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuta yake

Mocumentary

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
769
1,959
Mkuu wa mkoa wa dar es salaam ataka wezi wa mafuta ya transfoma wanyeshwe mafuga yake hadi wafe.
---
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema kuwa wizi wa transfoma' za umeme unafanywa na vijana ambao wanafahamu kazi zake, kwani hakuna anayeweza kuziiba akiwa hajui namna ya kuzitumia, hivyo Tanesco waangalie miongoni mwao nani anafanya hivyo.

Chalamila ameyasema hayo leo Februari 19, 2024 alipoanza ziara ya kimkoa eneo la Charambe wilayani Temeke ambapo kuna kituo cha kusambazia umeme kwa maeneo yote ya Mbagala.

 
Hakuna sababu ya kupingana kwenye "KAULI " Ya kusimamia rasilimali za taifa.

Kauli hii isiishie kwa Tanesco pekee , iwafikie wote wanaojijua kuwa WANASIMAMIA maendeleo ya wananchi.

Jua kabisa UTAKUNYWA unachokiiba kama kinanyweka, lengo KIKUUE ili jamii ISALIMIKE fikiria ww mwenyewe UNACHOKIIBA kitakuuaje?, fikiria ww mwenyewe MAGENDO yataniuaje? Fikiria ww mwenyewe RUSHWA itaniuaje?

Yooote maovu kwa jamii iliyonipa , au ninayowajibika kwayo NIKIFANYA UBADHIRIFU ntanyweshwa NIFE.

UONGOZI siyo kufafanua hotuba kwa ureeeeeeefu ni sisi jukumu letu kutambua NIA NJEMA ya viongozi .
 
Huyu Jamaa ni Mjinga sana, kama unaweza kulitumia Jeshi kufagia Barabara siku ya Maandamano kwanini usiwape kazi ya kulinda Transfoma?

Na kama tujuavyo Wanajeshi wanaogopwa sana huku Mitaani.

Hizi Pelepete mwisho wake unakuja ✌️
 
Anahasisha mauaji kabisa bila hata kuona woga wala aibu 🤔 anataka watu wajichukulie Sheria mikononi 🤔yeye amekua hakimu hadi atoe hukumu 🤔huyu jamaa hua nina wasi wasi na utimamu wa akili yake, alie mteua amdhibiti kabla hajafanya balaa kubwa
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema atakayekamatwa kwa wizi wa mashine umba (transformer) atanyweshwa mafuta ya mashine hiyo ili kama yana madhara kiafya, mwizi huyo awe mfano.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema atakayekamatwa kwa wizi wa mashine umba (transformer) atanyweshwa mafuta ya mashine hiyo ili kama yana madhara kiafya, mwizi huyo awe mfano.
mzee CHALAMILA unajidanganya bure man!!! huku uswazi CHIPS zinakaangwa kwa kutumia mafuta ya TRANSFOMA na vitambi vinaota,,,njoo mitaa ya wailess{temeke],yombo dovya,vi2ka,,,tandale n.k......alaf mafuta yenyewe yanabaki kuwa meupeeeeeeeeeeeeee pe!! ata kama ukikaangia miezi sita!!! na chips zake tamu na nyeupe kuliko zile unazikula wewe pale samaki samaki{mlimani city}''''lakini ukila wewe utapelekwa emergeny room!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom