Kigoma hatuna umeme kwa saa 20 zilizopita TANESCO wanatafuta sukari

Nasibu Zaburi

New Member
Dec 24, 2023
3
1
Toka tarehe 20/02/2024 saa 9 alasiri Hadi Leo Tarehe 21 saa 5 asubui haujarudi. Masaa 20 yamekatika hamna umeme huku sio kukata huku ni kuzima. Mtaani kwako ikoje huko?

TANESCO

tanesco.jpg
 
Hongera Wana kigomA
Mwaka huu lazm kila mtu awe na backup system , mlisahau ata kumilk tochi🪑
 
Safi kabisa,siku nyingine mkisikia kuna maandamano mtatoka kuandamana.Lazima mjifunze kwa nchi za wenzenu,watu mikate tu ilipanda bei watu wakaingia barabarani.nyie kila kitu umeme hakuna, Sukari hakuna bado mnaleta ngonjera za anaupiga mwingi
 
Huyu Waziri kwanini asijiuzuru?!! Anahisi anafaa kuendelea kushikiria madaraka yaliyomshinda!
 
Makamba bila shaka anashukuru kuepuka kikombe hiki.
Hapana.
Anajipongeza kwa kazi aliyoifanya. Si mlimsifia mwendazake? sasa yeye akaja akaharibu mfumo wote na ameondoka ameacha marehemu TANESCO akisomewa wasifu wake wa mwisho kabla hajazikwa rasmi
 
Tanzania ya viwanda Never haiwezekani , Kwa staili hii .kama ice cream tu zimebaki uji ,itakuwa kiwanda . Eti mwenyekiti wa bunge anasema tunawaongezea Hadi mwezi wa 6 umeme uwe tayari kwakuwa ana solar 1000 kwake jaman
 
Back
Top Bottom