Ushauri: Nahitaji ulinzi binafsi

isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
4,125
6,250
Habari 👋🏾

Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies?

Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili.

Asante.
 
Kama ni nyumbani tu. Tumia kampuni za ulinzi.

Kwa kampuni kubwa andaa angalau Tsh 900,000 kwa mlinzi.
 
Habari 👋🏾

Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies?

Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili.

Asante.
Mimi naiweza hiyo kazi mkuu..uje chemba tuone tunafanyaje..jinsia ni ke!
 
Habari 👋🏾

Wakuu nahitaji kuwa na ulinzi masaa 24/7 kwangu mimi na vitu vilivyo chini yangu. Ningelipenda kufahamu aina bora ya ulinzi, nitumie ulinzi wa jeshi au security agencies?

Wenye mnaulinzi binafsi ni aina gani ya ulinzi mlionao, makadrio ya gharama na ushauri katika hili.

Asante.
Mcheki mwarabu Fighter
 
Back
Top Bottom