BAWACHA hawatanii, waomba ulinzi wa Polisi, RPC Muroto maji yamfika shingoni, aonywa aache siasa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,581
2,000
Habari kamili hii hapa

======
Bawacha wamesema kuwa, hao ni wabunge wasiokuwa na chama, wanamwambia kamanda Muroto kuwa pamoja na kusema utatupiga mabomu sisi tunaandama mpaka Dodoma. Wewe sio mwanasiasa achana na mambo ya siasa kazi yako ni kutulinda sisi na mali zetu, tunakata tujibiwe na Ndugai na sio wewe kamanda Muroto.

Wamesema tunataka Ndugai atueleze wako chama gani maana mtu akivuliwa uanachama anatakiwa kutoka bungeni sasa Ndugai anawataka hao kama wakina nai na wako wanawakilisha chama gani maana chama chetu hakiwataki, CHADEMA tumewafukuza sasa wako chama gani. Tunaenda kuliamsha dude.
 
Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
681
1,000
Wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,

Je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku.

HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,581
2,000
wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,

je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku

HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Sheria za nchi si za Ndugai
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,107
2,000
Muroto alianza kupona ukichaa kipindi fulani, akakaa kimya tukajua ameishapona, ila sasa naona ukichaa unaanza kurudi kwa kasi ya 4G.

Mwache ajisahau na kuhisi huu bado ni utawala wa mpenda sifa, Mama hapakaliwi mafuta kwa mgongo wa chupa wala hatanii. Mama kaisha anza na Biswalo kuvuliwa DPP na kupelekwa mahakamani ili akajionee raha ya kusikiliza kesi zisizoisha kwa kuahirishwa kila kukicha mpaka miaka 7 inakata.
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
117,933
2,000
Wapuuzi kama wewe ni tatizo kubwa sana nchini. Hao COVID-19 wako Bungeni kinyume na Katiba ya nchi na wanalipwa kiharamu mabilioni ya pesa za walipa kodi halafu wewe unadai eti ni politics zisizo na tija!!!! 😳
Watu badala ya kufanya kazi ili kukuza uchumi wa nchi wamekalia poor politics zisizo na tija katika uchumi na maendeleo ya nchi, poor you!
 
tathmini

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
302
250
wivu tu, ndugai alishatoa muongozo wa kufata, leteni kikao kilichokaa , ambatisheni kaatiba yenu inasemaje, je baraza kuu lilikaa lini, je walisikilizwa,

je kama mlizidiana maarifa kwenye ulaji, au kuwekana ubunge viti maalumu , mmeamua kuwaaharibia, basi ndugai awafukuze tu ....kama ikiwa hivo ,itakuwa mbunge akigombana na wenye chama hata bila sababu ya msingi, anavuliwa uanachama then anakomolewa asiwe mbunge , Na spika akikubali huo ujinga ,.... basi Hakuna demokrasia mnayoiimba kila siku

HAPA NI WIVU TU KWA KINA MDEE , KISA WALIWAWAHI KINA MBOWE WASIPELEKE MAJINA YA KINA JOYCE MUKYA
Kumwahi mwingine ni halali kisheria? Hakuna utaratibu wa kikao cha maamuzi au ofisa anayethibitisha kuwa hawa sasa ndio wabunge?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom