Burkina Faso: Rais abeba jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatlia ongezeko la mashambulizi nchini humo

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais Roch Marc Christian Kaboré amechukua jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yenye lengo la kudhibiti mashambulizi ambayo yamelikumba Taifa hilo.

Makundi ambayo awali yalikuwepo Nchi jirani ya Mali yameingia Kaskazini na Mashariki mwa Burkina Faso na kufanya mashambulizi ya mara kwa mara likiwemo la hivi karibuni ambapo zaidi ya watu 130 walipoteza maisha.

=====

Burkina Faso's president Roch Kabore has taken over the role of defence minister in a cabinet reshuffle aimed at stopping a wave of jihadist attacks that has plagued the West Africa country in recent years, according to a presidential decree on Wednesday.

Groups linked to al Qaeda and Islamic State originally based in neighbouring Mali have embedded themselves across north and eastern Burkina Faso, launching regular attacks on civilians, including one this month that killed more than 130 people, the worst in years. read more

Pressure has increased on Kabore to win back control and end a humanitarian crisis in which more than 1 million people have been displaced by violence.

Leading opposition politicians have demanded the resignation of the government and called for a demonstration this weekend against what they say is the government's inability to deal with the crisis.

Kabore will oversee the defence ministry with help from Colonel Major Aimé Simpore, replacing Cheriff Sy who was in the post since January 2019, according to the decree read on national television. Simpore had previously helped run national security policy.

Maxime Koné will replace Ousseni Compaore as security minister.

Despite the presence of thousands of U.N. peacekeepers, attacks by jihadists in West Africa's Sahel region have risen sharply since the start of the year, particularly in Burkina Faso, Mali and Niger, with civilians bearing the brunt.

The attack this month pushes the number killed by armed Islamists in the Sahel region to more than 500 since January, according to Human Rights Watch.

Source: Reuters
 
Si wale mashehi wa uamusho walioachiw juzi walisema hakuna ugaidi bali ni propaganga za magharibi? Usipoziba ufa, utajenga ukuta.
Mwerevu hujifunza kwa makosa ya wengine bali mjinga huangamia akitazama.
Infact wale masheikh ni magaiD sema uamuzi wa kuwapa Uhuru umefanywa kisiasa. Subiri miaka kadhaa mbele!

Am sorry for this bitter comment!
 
Hao magaidi wanapaswa kutambua kwamba dini haimuingizi mtu mbinguni bali matendo yake. Kama ktk imani yao wanafundisha kwamba dini yao ndio itawaingiza watu peponi basi hiyo mbingu wataisikia tu.

Halafu kwa nini ulazimishe mtu afuate imani yako? Wewe huyo mtu asipoingia mbinguni inakupa tabu gani si hilo ni juu yake.

Shetani anapokutumia huwezi kutambua unakuwa sawa kabisa na kichaa anayetembea uchi huku akijiona yuko poa kabisa. Kuna imani zingine ni mzigo mkubwa.
 
debe tupu ww na mahakama nani anajua zaidi kama unaushahidi naugaidi wao peleka mahakamani mbna mahkama zipo wazi tu

Sent from my SM-J5108 using JamiiForums mobile app
Hata jina lako linaonyesha wewe ni mmoja wa hayo magaidi. Mgeukie Mungu ndugu yangu akuondolee hizo chuki na uchungu. Utakuua wewe mwenyewe. shetani si rafiki yako bali ni mtego wako.
 
Hao magaidi wanapaswa kutambua kwamba dini haimuingizi mtu mbinguni bali matendo yake. Kama ktk imani yao wanafundisha kwamba dini yao ndio itawaingiza watu peponi basi hiyo mbingu wataisikia tu.

Halafu kwa nini ulazimishe mtu afuate imani yako? Wewe huyo mtu asipoingia mbinguni inakupa tabu gani si hilo ni juu yake.

Shetani anapokutumia huwezi kutambua unakuwa sawa kabisa na kichaa anayetembea uchi huku akijiona yuko poa kabisa. Kuna imani zingine ni mzigo mkubwa.
 
Ibilisi yuko kazini hamna kitu hapo. Huyo Allah ni mungu gani ambaye eti yeye anapiganiwa tu kwa kuchinja watu..!!!

Kuna historia moja katika agano la kale. Mtu mmoja aitwaye Joash, aliwaambia watu wenye viherehere vya kutaka kuua watu kwa kumtetea mungu wao eti wamuue mtu aliyebomaoa madhabahu ya yule mungu, kama hawa jamaa . Kumbe waabudu miungu wote wanatabia sawa. Jamaa akawaambia "kama baali ni mungu, ajitetee mwenyew emaana mtu mmoja amevunja madhabahu yake".

Waamuzi 6: 25 - 32​

25 Ikawa usiku uo huo Bwana akamwambia, Mtwae ng'ombe wa baba yako, yaani ng'ombe wa pili, wa miaka saba, ukaiangushe madhabahu ya Baali, aliyo nayo baba yako, ukaikate Ashera ile iliyo karibu nayo;
26 ukamjengee Bwana, Mungu wako, madhabahu juu ya ngome hii, kwa taratibu zake; ukamtwae yule ng'ombe wa pili na kumtoa awe sadaka ya kuteketezwa, kwa kuni za ile Ashera uliyoikata.
27 Ndipo Gideoni akatwaa watu kumi miongoni mwa watumishi wake, akafanya kama Bwana alivyomwambia; lakini ikawa kwa sababu aliwaogopa watu wa nyumba ya baba yake, na watu wa mji, hakuweza kuyatenda hayo wakati wa mchana, basi aliyatenda usiku.
28 Hata watu wa mji walipoondoka asubuhi na mapema, tazama, madhabahu ya Baali imebomolewa, na ile Ashera iliyokuwa karibu nayo imekatwa, na yule ng'ombe wa pili ametolewa sadaka juu ya ile madhabahu iliyojengwa.
29 Wakaambiana, Ni nani aliyetenda jambo hili? Hata walipotafuta habari na kuuliza, wakasema, Gideoni, mwana wa Yoashi, ndiye aliyetenda jambo hili.
30 Ndipo watu wa mji wakamwambia Yoashi Mlete mwanao, afe; kwa sababu ameibomoa madhabahu ya Baali na kwa sababu ameikata ile Ashera iliyokuwa karibu nayo.
31 Yoashi akawaambia watu wote waliokuwa wakishindana naye, Je! Mtamtetea Baali? Au mtamwokoa ninyi? Yeye atakayemtetea na auawe hivi asubuhi; kama yeye ni Mungu, na ajitetee nafsi yake, kwa sababu mtu mmoja ameibomoa madhabahu yake.
32 Basi akamwita Yerubaali siku hiyo, akisema, Baali na atete naye kwa ajili ya nafsi yake, kwa sababu ameibomoa madhabahu yake.

Kitu chohote kinachoabudiwa, ambacho hakiwezi kujitetea, badala yake watu ndio wanakitetea na kukilinda kwa kumwaga damu, hicho si Mungu. ila kinaweza kuwa mungu yakiwa mengi miiungu.
 
Back
Top Bottom