Tushare experience, Ulinzi na Usalama

ErlangB

Member
Feb 25, 2021
82
79
Wadau kama title inavyoonesha, naomba kila mmoja mwenye taarifa afanye kutupa experience alipataje nafasi ya kujiunga na vyombo vya ulinzi na usalama ndani ya nchi yetu Tanzania.

NB: Mimi nimelitumikia jeshi la kujenga taifa miaka mitatu lakini sikubahatika hata kupata nafasi ya kufanya usaili (Interview) ili kujaribu bahati yangu.

Share your experience JF members nasi tupate kuelewa kidogo njia za kupitia.
 
Saivi upo unalinda nini?
 
Hayo machozi yalisababisha jeshi la nyuki 2000 lililokuwa likitembea 12000 miles/second liniache salama katika mji wa Frankuva karibu na Jiji la Rondriseba mwaka 1983
 
Nilimfuata mtu nisiemjua katikati ya kale kambuga Nyamhomgolo Mwanza Kama unaenda Nanenane usiku saa sita, hapo ndipo nikapata kazi kwenye vyombo vya kukorogea uji😲😲😲🤐🤐🤐
 
Back
Top Bottom