ulinzi

  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni muda muafaka wa kuachana na sifa za ujenzi wa madarasa na badala yake tujikite kwenye teknolojia za ulinzi wa Taifa

    Kwa maoni yangu Tanzania ya leo inapaswa kuondoka katika fikra za kushabikia ujenzi wa madarasa, vituo vya afya na barabara na badala yake tuwekeze kwenye tafiti na interventions za kistratejia ikiwemo ulinzi na uchumi. Tuache kuimba mapambio bali tujikite kwenye kuandaa mipango ya muda mrefu...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Serikali kuwaruhusu CHADEMA kuwa na vikundi vya ulinzi ni kuhatarisha usalama wa nchi yetu na kinyume cha sheria.

    Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama. Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu...
  3. MoseKing

    JamiiForums Tanzania Kutana na Ulinzi hatari wa Grand P huko Guinea

    👇👇👇
  4. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi upo katika hatua za mwisho

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.” Nape ametoa...
  5. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Jipatie Secret Army Sword kwa ULINZI wako

    Hii silaha hakuna mtu ataigundua kirahisi mpaka utakapoichomoa mwenyewe kutoka kwenye Podo yake. ni rahisi kutumia. rahisi kutoa kwenye pocket. rhisi kubeba. Ipo Jijini Mwanza. Hio ndefu inauzwa 85,000 Fupi hio inauzwa 60,000
  6. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi awasamehe waliofukuzwa JKT, watakiwa kurudi jeshini

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Venance Mabeyo ametoa msamaha kwa vijana 853 kati ya 854 (mmoja alifariki) waliofukuzwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Aprili 2021 kwa makosa ya kinidhamu. Jenerali Mabeyo ameagiza vijana hao warejeshwe katika kambi za JKT tayari kuanza mafunzo. "Vijana wa...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Bulgaria: Waziri wa Ulinzi hatarini kufutwa kazi kwa kusita kusema kinachoendelea Ukraine ni vita

    Waziri Mkuu, Kiril Petkov amesema atamfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Stefan Yanev baada ya Kiongozi huyo kusita kuelezea uvamizi wa Urusi dhidi ya #Ukraine kama vita akisisitiza "Waziri wangu wa Ulinzi hawezi kutumia neno operesheni badala ya vita". Imeelezwa, Serikali ya Mseto itafanya mkutano...
  8. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Rais: Ndani ya nchi vs Nje ya nchi

    Hangaya leo karudi toka huko Ulaya alikokuwa. ‘Wenyewe’ wamefurahi sana. Wanadai anaupiga mwingi. Sasa hebu tuliangalie tena suala la ulinzi wake, kwa kiasi na kiwango ambacho tunaweza kukijadili kutokana na kile tunachokiona. Akiwa huko nje ya nchi, ulinzi wake huwa ni wa kawaida sana. Hawa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mageti ya Hospitali yana ulazima gani kulindwa na makampuni ya ulinzi?

    Nimepita katika hospitali kadhaa katika pilika zangu za utafutaji rizki. Nimeona katika mageti mengi ya hospitali za wilaya, mikoa, hasa zile za rufaa za mikoa, vituo vya afya pia, kunakuwa na maaskari ama wawili ama mmoja magetini ambaye yeye kazi yake ni kuuliza unayo barakoa? Wengi wao...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Data: Sheria zinalenga kuwapa watu binafsi uwezo wa kujua jinsi Taarifa zao zinavyotumiwa

    Faragha ya Data/Taarifa limekuwa suala muhimu siku zote, lakini kadri Taarifa zetu zinavyozidi kuwekwa kidigitali na kutolewa zaidi Mitandaoni, umuhimu wake umezidi kuongezeka Kampuni moja inaweza kuwa na Mamilioni ya taarifa za wateja ambazo inapaswa kuzilinda. Sheria za Kulinda Taarifa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mtwara kwa nafasi ya Mwenyekiti Kamati ya Ulinzi na Usalama anaweza akaathirika na kauli ya Mhe. Rais kuhusu mauaji ya Polisi Mtwara?

    Taarifa ya kutoonekana kwa mfanyabishara aliyekuja kubainika kuwa ameuawa ilichukua muda mrefu Sana. Ndugu kwa maelezo Yao walifuatilia suala la ndugu yao ngazi tofauti. Zipo kamati mbili ambazo ni muhimu sana kuwa na updates za matukio yanayotokea. Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Mtwara...
  12. mavya

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Wizara ya Ulinzi kuundwa upya iwe Wizara ya Ulinzi na Mambo ya Ndani

    Kwa muda mrefu sana tumeona Wizara ya mambo ndani ikikumbwa na changamoto nyingi sana. Hasa kwa vyombo vya ulinzi vilivyoko wizarani hapa. Police, magereza, uhamiaji, na fire. Binafsi nilikuwa naona ili kuweka mambo sawa vyombo hivi vipelekwe Wizara ya Ulinzi ili kuvipa nguvu na kuweka Nidhamu...
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Huu ulinzi wa VIP protection wa Freeman Mbowe unafikirisha walinzi walikuwa pale ambapo Mbowe hakuwepo?

    Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo. VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Data: Wakusanya taarifa wengi hawana namna nzuri ya kuzitunza

    Wakati mwingine Taarifa hukusanywa kwa nia njema, lakini Changamoto ni kwamba wengi hawana namna ya kuzitunza Kwa mfano, mara nyingi unatakiwa kusaini kabla ya kuingia Ofisi mbalimbali. Je, taarifa zako zinahifadhiwa wapi? Kuwepo Sheria ya Ulinzi Wa Data kutasaidia kufahamu taarifa...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu - Januari 19, 2022

    Salaam Wakuu, Leo tarehe 19/01/2022 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea. Ungana nami katika uzi huu ili kujua kila kinachojiri Mahakamani. ======= Kufahamu ilipoishia, soma hapa:Yaliyojiri mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi imeahirishwa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali namwombea Ulinzi Yule Mama aliyesema Mchoma Moto Soko la Karume ni 'Joseph na Wenzake' kwani huenda hata Mengineyo aliunguza Yeye

    Kila nikikumbuka Yule aliyekuwa Kiongozi wa Malori kama si Mabasi ya Mikoani alipotoa Kauli fulani ya 'Kibabe' na Siku Mbili baadae akaugua ghafla na Kufa ndiyo napatwa pia na Hofu juu ya huyu Mama aliyesikika katika Taarifa ya Magic FM na Kipindi chao cha Morning Magic kwa Kujiamini kabisa kuwa...
  17. Faana

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ulinzi na Usalama Morogoro, simamieni viwango vya makanisa yanayojengwa kwa nguzo za miti na mbao bila kuta za matofali

    Napenda kuishauri Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Morogoro, kuchukua tahadhari na kusimamia viwango vya makanisa yanayojengwa kwa nguzo za miti na mbao bila kuta za matofari. Jana 16.01.2022 majira ya asubuhi karibia na ibada kuanza Kanisa la Nabii Joshua Lililopo Kihonda Yespa...
  18. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi, Dkt. Hussein Mwinyi atajwa kumtumia pesa Mtuhumiwa

    Hii kesi itavua Watu nguo saana, nakiri nilikua sahihi kusali usiku na mchana isifutwe. Muda huu kwenye cross examination, Mtobesya anamtaja Aliyewahi kuwa Waziri wa Ulinzi Ndugu Mwinyi kuwa alimtumia pesa Mtuhumiwa ndugu Bwire. Judge kaona isiwe tabu, kauliza kama wako tayari Waziri huyo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji sasa kuwa Jeshi kamili na litawajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

    Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani haiwezi, soon atapambana kuwabadilisha wakuu wa vyombo vya ulinzi waliopo aweke anaoweza kuwadhibiti

    Masauni akiwa Naibu waziri aligombana na karibia viongozi wengi wa vyombo vya ulinzi vilivyopo Wizara ya Mambo ya Ndani. Tulimwona kwenye TV akigombeza askari bila kujali vyeo Wala umri wao. Leo amepewa full minister, hatuwezi kutegemea jipya zaidi ya kwenda kupambana Mhe. RAIS awafute kazi...
Back
Top Bottom