Wakuu nimegundua Ulaya na Marekani kuna upagani mwingi sana.
Wala hakuna ukristo kule ni zuga tu.
Sina wasiwasi na uarabuni na china, Maana huko kwa utafiti wangu kuna wakristo kificho wengi sana ila wanaingia misikitini na kuswali kwa ajili tu ya usalama wao.
Nimefikilia hawa wazungu kabla...
BWANA YESU ASIFIWE
Nimekuwa nikifanya utafiti wangu wa mara kwa mara na kuleta taarifa sahii zenye uchunguzi wa kina kuhusu nchi mbalimbali na kisha watu waweze kuelewa undani wake.
NImefanya utafiti wangu kwa miaka mitano kuhusu nchi ya Urusi. Leo hii nitawaletea hali halisi ya nchi hii...
KWA JINA LA BABA, LA MWANA NA ROHO MTAKATIFU - AMEN.
NImekuwa nikifanya utafiti wangu binafsi kuhusu masuala ya Technolojia hapa Duniani, nimegundua kuwa dunia yote sasa imetupia macho yake huko china.
Kwa mujibu wa takwimu zilizotoliewa na theglobaleconomy.com za mwaka 2021 zinaeleza kuwa...
TUMSIFU YESU KRISTU.
Kumekuwa na watu wengi kubeza, kuzomea na kubwatuka maneno ya hapa na pale kuhusu china. Lakini leo nimeamua kuwapitisha katika miji na majiji yaliyopo china huku tukilinganisha na miji iliyopo Ulaya na Marekani.
China kwa sasa inajenga majiji yake na miji yake kisasa...
wakati watanzania wakifurumushwa ngorongoro kwenye ardhi yao huku raisi wa tanzania akigawa mamilioni ya fedha za walipa kodi bure kwa timu za mpira badala ya kutumia fedha kutatua matatizo ya watu huko kwingine afrika hali ni ile ile vijana wa kiafrika waislamu, wakristo waarabu na machotara na...
Kwa ambao hamjawahi kwenda Ulaya Au hata SA mjiandae na socket hizi za matobo ya duara unlike zile four angle zetu tuzozizoea; na siyo Ulaya tu Yaani nchi zote zilizokuwa colonized na Europeans wengine ambao sio Uingereza ni duara tu iwe Rwanda, Mozambique au nini sijui Yaani UK ndo wametupa...
Baada ya makampuni ya uchina kuteka soko la magari ya umeme duniani kwa sasa.
Umoja wa ulaya kupitia kauli iliyo tolewa na Rais wa umoja huo sasa kuja na kampeni maalumu ya kudhibiti utitiri wa ndinga za EV toka China.
Bi Ursula Von de Leyen anasema
"Global markets are now flooded with...
Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali.
Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya...
Kama Rwanda yenye size ya Mkoa wa Mtwara inaweza kutangaza Utalii wake kwenye kwa kufunga mikataba ya Utalii na Klabu kubwa kama Arsenal na sasa Buyern Munich, hivi Tanzania inashindwa wapi?
Halafu unawasikia wale wanaojiita Viongozi wa Wizara eti wakisema Tanzania itafikisha watalii mil.5...
Kupitia ripoti yao, Waangalizi kutoka Ujumbe wa Umoja wa Ulaya (EU EOM) wamesema Uchaguzi huo ulikuwa na Uminyaji wa Haki, Ukosefu wa Fursa Sawa na Mazingira Magumu kwa Wapiga Kura.
EU EOM imeongeza kuwa kulikuwa na ukamataji wa kutumia nguvu wa Waangalizi 39 wa Mashirika ya Kiraia ambao...
Nikiwa narudi zangu ghetto imebidi nipite shortcut bahati mbaya nimekosea njia nakujikuta napita njia ya kwenda uhani kwa mtu sio mzuri kwenye vichochoro vya mjini sasa wahusika wakaanza kuwa na mashaka na mimi.
Wakaniweka mtu kati nakuanza kuniuliza maswali with confidence nikawaelezea kuwa...
Mchanganuo wa Nyaraka za zinazohitajika kwa anayetafuta Pasipoti ya Kusafiria Kwa Safari ya Ulaya na Kuweka Mipango ya Maisha.
Kabla ya kuanza safari yako ya Ulaya na kuanza hatua mpya ya maisha yako, unahitaji kuwa na nyaraka sahihi zinazohitajika wakati wa kuomba pasipoti ya kusafiria. Hizi...
Dirisha la usajili Ligi Kuu kubwa Ulaya linatarajiwa kufungwa Saa 5:59 Usiku wa Septemba 1, 2023, kuna taarifa nyingi kuhusu usajili, hizi ni baadhi
Chelsea ina nafasi kubwa ya kumsajili kiungo wa Brighton, Moises Caicedo (21) kwa Pauni Milioni 115 (Tsh. Bilioni 364) ambaye pia anawaniwa na...
Ndugu zangu naomba mnisaidie majina ya vyuo ulaya au US vyenye ada nafuu kwa kozi za muda mfupi. Viwe kwenye European Union kwa ulaya kama Scandinavia etc.
Nataka nipambane nikasome majuu.
Ni kipindi nakumbuka Mwamba aliibatiza jina nchi kuwa donor country (nchi inayotoa misaada) na kuna usemi kwamba Tanzania tulijihudumia bila misaada ya wazungu tulijibana bana tule kwa urefu wa kamba ndio maana hata vyuma ilibidi vikazwe.
Palikuwa pana ukweli?
Wachambuzi wa mambo wamejikita katika upatikanaji Uranium huko nchini Niger kwa kusema France atalazimika kuingiza jeshi kusuport ECOWAS kuipiga NIGER kama jeshi la nchi hiyo halitomrejesha Rais aliyepinduliwa.
Licha yakuwa Niger ni mzalishaji mkubwa mmojawapo wa Uranium dunian ila bado Ulaya...
Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja wa Ulaya.
Kamishna wa Ndani Thierry Breton, amesema hayo wakati akijibu mahojiano ya redio ya...
Mchezaji wa timu ya taifa ya Gabon Guélor Kanga Kaku atakutana na kamati ya nidhamu ya CAF kueleza kwa nini mama yake alifariki mwaka 1986 lakini yeye alizaliwa 1990. [emoji20]
Umoja wa kimataifa, UN imepitisha azimio lililopigwa na nchi za Marekani na Umoja wa ulaya la kuzuia uchochezi na ubaguzi wa kidini hasa uchomaji wa Quran.
Azimio hilo limekuja baada ya mwezi uliopita raia wa Iraq kuchoma Quran nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm Sweden na kuchomea...
Benki ya CRDB kwa mara nyingine imetunukiwa tuzo ya kimataifa ya ubora na Taasisi ya Umoja wa Ulaya ijulikanayo kama ESQR (European Society for Quality Research). Tuzo hiyo imetolewa Jumapili, t Julai 9, 2023 jijini Brussels Ubeligiji, yalipo makao makuu ya Umoja wa Ulaya ambao hivi karibuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.