ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuwezi kuiga lockdown kama nchi za Ulaya

    Wana JF, Heshima kwenu wote Naona mitandaoni na baadhi ya wanasiasa wetu hapa bongo wakionekana kutamani nchi yetu iige kufanya lockdown kama walivyofanya Ulaya, Marekani na nchi nyingine tajiri zilizofanya hivyo. Ukweli ni kwamba hayo ni mawazo ya kipuuzi na ya kipunguani ambayo sijui mtu...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Afrika huu ndio wakati wa kuikuta Ulaya na Marekani Kiuchumi

    Afrika tuna bahati kuwa kasi ya kuenea na kufa kwa COVID-19 sio kubwa, tumshukuru kwa hili kwakweli. Sina uhakika kama hii inatokwna na uhodari wetu katika kuupiga vita ugonjwa. Hii ni tunu kutoka kwa MwenyeziMungu wetu. Lakini hatunabudi kuitumia bahati hii kwa kuchapa kazi kwa bidii wakati...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Vifo Vinavyotokana na Magonjwa ya Mafua vs Ugonjwa wa Corona Ulaya & Marekani

    Najua kuna watu wanafatilia sana na kushtuka na idadi ya watu wanaokufa huko Italy kutokana na ugonjwa wa korona. Vifo hivi vimeleta hofu kubwa kiasi kwamba watu kusitisha shughuli zote ili kuzuia maaambukizi. Kwa muktadha huo nimependa watu hasa wa dunia ya tatu kufahamu magonjwa ya mafua na...
  4. kidadari

    JamiiForums Tanzania Kosa No.1 kwa nchi za Ulaya ni kuondoa raia wao nchini Chini

    Baada ya mlipiko wa virus vya corona Covid-19 nchi za ulaya walijiona wako salama na hili janga haliwahusu....kebehi moja maarufu "Chinese virus" ilitamba kwenye anga a ulimwengu. Siku zikasonga masaa yakasogea....China akaelemewa...akapambana kiume. Hali ikawa tete nchi za ulaya wakafanya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Njia pekee ya kuzuia CORONA Tanzania Ni kuzuia watu kuingia na kutoka nchini

    Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia. Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya. Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
  6. simplemind

    JamiiForums Tanzania Corona inazidi kutikisa -Marekani imezuia usafiri kutoka bara la ulaya.

    Coronavirus Live Updates: Trump’s Travel Restrictions, Italy in Lockdown and N.B.A. Suspension Italy biashara zote zimefungwa isipokua famasi na maduka ya vyakula. NBA imesitishwa.
  7. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Marekani yazuia Ndege kutoka Ulaya kutua Marekani isipokuwa Uingereza tu ndo imeruhusiwa ndege zake kutua Marekani

    Tukiwaambia Corona saa hz ni tishio Angalia Jana Ufaransa imezuia mashabiki wa PSG kwenda Uwanjani Uingereza imetoa €30 billion kuzuia athari za kiuchumi Angela Mekel amesema ugonjwa huu unaweza kuambukiza 75% ya watu usipozuiriwa China itatoa $40 billioni kufidia athari za kiuchumi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Marekani kuzuia ndege zote kutoka Ulaya isipokuwa Uingereza, kwa siku 30

    Rais Trump amesema hatua hiyo ni katika kujikinga na kusambaa kwa virusi vya corona. Pia amewashauri Wamarekani mwenye umri mkubwa kuepuka kusafiri ikiwezekana Zuio hilo la Wasafiri kutoka Ulaya litakaloanza Kesho Ijumaa Machi 13, 2020 na kudumu kwa siku 30 halitawahusu Wasafiri kutoka...
  9. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anadhani Nchi kama chumba chake cha kulala huko ulaya, Wazungu walishakupuuza haujistukii tu wala kujiongeza

    IMF wameshampongeza mzee Magufuli kwa kazi nzuri anayofanya unapoeleza ujinga wako wanakuona mwehu. World Bank tayari wametembelea miradi mbalimbali ya ujenzi unaoendelea Tanzania wa Reli ya kisasa na bwawa la mwalimu Nyerere. Ukija huku Tanzania utaiona mpya tuna mfugale Flyover, Ubungo...
  10. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Samatta atokea front page ya Daily Mail Sports, gazeti linaloheshimika Uingereza

    Mzuqa, Kijana wetu mpendwa Mbwana Ally Samatta, mshambuliaji hatari haijawahi kutokea tangu mbingu na nchi ziumbwe leo katika ukurasa wa mbele front page katika gazeti linaloheshimika Uingereza -- Dailymail -- wameleta history yake. Wamemuelezea jinsi ni tegemeo Aston Villa na anavyotarajia...
  11. beth

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya (EU) waridhia kuipa Tanzania msaada wa Bilioni 132 uliokuwa umezuiwa

    Umoja wa Ulaya (EU) umekubali kuruhusu kutoa Sh132 bilioni kwa ajili ya kuchangia bajeti ya maendeleo ulizokuwa umezizuia. Uamuzi huo ulitangazwa jana baada ya Rais John Magufuli kufanya mazungumzo na balozi wa EU nchini, Manfred Fanti Ikuku jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na...
  12. Miki123

    JamiiForums Tanzania Kujiondoa kwa UK umoja wa ulaya leo(1.31.2020) kutaleta unafuu kwa wabeba box?

    Leo ule mchakato wa uingereza kujitoa umoja wa ulaya unakamilika rasmi na hivyo rasmi uingereza haitokuwa mwanachama wa ulaya ifikapo saa nane usiku kwa saa afrika ya mashariki. BBC inaripoti kuwa wananchi wanasherekea na kukusanyika kwenye jengo la bunge la uingereza wakifurahia kuwa huru...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na ujumbe wake watua Ulaya, shughuli imeanza rasmi

    Tayari Mh Zitto Kabwe na ujumbe wake wameanza kazi iliyowapeleka Ulaya , wameishakutana na Makundi kadhaa ya watetezi wa haki za binadamu kwa lengo la kunusuru demokrasia ya Tanzania . Sisi wapenda haki na demokrasia ambao ni Wazalendo wa kutupwa tuko tayari kuunga mkono juhudi zozote...
  14. M.Rutabo

    JamiiForums Tanzania CAF awards 2019: tuacheni utani hata Ulaya awawezi kuifikia Egypt

    Direct to the point Leo ndio tuzo zile kubwa za kuwatunuku wanasoka Bora wa Africa. Ndani ya nyumba namuona mnyama kutoka Tanzania kipande Cha Madale Diamond himself ambaye Leo atatumbuiza kwenye tuzo hizo. Mbali na Diamond namuona pia aliyekuwa kocha wa arsenal mzee baba Wenger, pia Sedio...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni madhara gani huwapata viongozi wa Kiafrika wanaopigwa marufuku kusafiri kwenda nchi za Ulaya?

    Imesikika mara kadhaa kwamba viongozi (Wengi wa Kiafrika) wanaovunja haki za binadamu nchini mwao, au wale wanaorudisha utawala wa kitumwa kwenye nchi zao, ambao umeambatana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, utesaji na mauaji ya wanaowapinga ikiwa ni pamoja na usiginaji mkubwa wa katiba...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Pompeo afuta ziara yake barani Ulaya na Asia kushughulikia kadhia ya Iraq

    Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Mike Pompeo ameahirisha ziara yake nchini Ukraine na mataifa mengine barani Asia kufuatia shambulizi kwenye ubalozi wa Marekani mjini Baghdad lililofanywa na watu wenye silaha wanaoungwa mkono na Iran. Pompeo alitarajiwa kuwasili Ukraine siku ya Ijumaa...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Njia haramu za kuingia Ulaya zaongezeka

    Takwimu mpya zinaonesha idadi ya wakimbizi wanaoingia katika mataifa ya Umoja wa Ulaya kwa njia haramu mwaka huu zimeongezeka kwa asilimia 46 ikilinganishwa na mwaka uliopita. Hayo yameibuliwa katika ripoti ya Halmashauri ya Umoja wa Ulaya. Njia nyingi haramu ziliundwa kwa kuingilia Ugiriki na...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Modi na Abe waahirishwa kutokana na machafuko India

    Mkutano wa kilele uliotarajiwa kuwakutanisha Waziri Mkuu wa India Narendra Modi na mwenzake wa Japan Shinzo Abe umeahirishwa. Kulingana na wizara ya mambo ya kigeni ya India hatua hiyo inatokea wakati kukiwa na maandamano yaliyosababisha machafuko kwenye eneo lililoandaliwa kwa ajili ya...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Ulaya wakubaliana mkakati wa mabadiliko ya tabia ya nchi

    Hatimaye viongozi wa nchi za Umoja wa Ulaya wamekubaliana hii leo kuwa na dhamira ya kufikia kiwango kinachokubalika cha kutosababisha gesi inazochafua mazingira ifikapo mwaka 2025 baada ya majadiliano ya muda mrefu mjini Brussels. Rais wa Baraza la Ulaya Charles Michel amesema ilikuwa ni...
  20. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania EURO 2020: Kundi la kifo, Kundi F kuzikutanisha Ufaransa, Ujerumani na Ureno

    Habari! Tayari baadhi ya timu zimekwisha kupangwa katika makundi kwa ajili ya mashindano ya 'UEFA EURO 2020', droo iliyofanyika mjini Bucharest nchini Romania ingawa bado haijakamilika huku Kundi 'F' likitajwa kama "Kundi la Kifo" litakaloyakutanisha mataifa matatu 'vigogo' wa soka barani Ulaya...
Back
Top Bottom