Jamii za Ulaya na Amerika zimefanikiwa kuua/kuondoa nguvu ya asili ya mwanaume

Kijana LOGICS

Senior Member
Dec 16, 2023
140
525
Sasa hivi Europe na américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo.

Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke .

Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50.

Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya Mwanaume kiasili.

Kunusuru this generation mlee mtoto wako wa kike malezi yanayomfunza hawez Kua the same na Mwanaume
 
Sasa hivi Europe n'a américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo.

Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke .

Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50.

Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya Mwanaume kiasili.

Kunusuru this generation mlee mtoto wako WA kike malezi yanayomfunza hawez Kua the same na Mwanaume
Ukimlea mtoto wa kike kuwa hawezi kuwa the same na wanaume wakati wanaume wanaenda kuwa weak kijamii itakuwaje sasa ?
 
Nguvu za kiume ni hela! Kama huna hela alafu unasimamisha uume ni kosa na ni dhambi! Huna hela, "dushelele" lako linatakiwa kuwa limelala!
Elton John anayo pesa na ni punga , nguvu ya kiume sio pesa kwa sababu hata mapunga wanauwezo wa kuwa na pesa tena haraka kwa dunia ya sasa.
 
Sasa hivi Europe na américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo.

Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke .

Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50.

Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya Mwanaume kiasili.

Kunusuru this generation mlee mtoto wako wa kike malezi yanayomfunza hawez Kua the same na Mwanaume
Mbona huko amerika bado wanawake wanacheza Music wako Uchi na wanaume wamevaa suti?

Hadhi ya Mwanaume.iko pale pale hata kama hana hela.
 
Sasa hivi Europe na américa Mwanaume sio chochote île power ya Mwanaume aliyopewa n'a MUNGU ki asili haipo.

Mwanaume Amékua kiumbe dhaifu mbele ya mwanamke .

Mdogomdogo hiyo hali inaingia Africa kwa kivuli Cha 50/50.

Unfortunately this world Will never be the same until watakatambua nguvu ya Mwanaume kiasili.

Kunusuru this generation mlee mtoto wako wa kike malezi yanayomfunza hawez Kua the same na Mwanaume
Kuna kipindi hata mimi nilikuwa nadhani hivyo. Ila kiuhalisia, ukiishi sehemu kama Ulaya utagundua kuwa mwanamme atabaki kuwa mwanamme, na mwanamke atabaki kuwa mwanamke. Usawa unaoongelewa ni ule wa kutonyanyasa wanawake au kuwanyika baadhi ya haki lakini siyo kumfanya awe sawa na mwanamme.
 
Hii inaenda sambamba na promotion LGBTQ! Projection yao mbeleni kusiwe na vidume vya mbegu na lengo la limitation ya familia litakuwa limetimia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom