Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 2,556
- 2,996
Akili ni nywele kila mtu anazake ila wingi wa nywele haimaanishi kuwa unaakili nyingi au kubwa dhidi ya wenzako,mimi Muhafidhina nimeona nyuzi zenye hoja nyingi zisizo mashiko kwa baadhi ya member wa humu kuishutumu serikali yao ya CCM kuwa haijafanya lolote na hata napojaribu kuangalia mitandao ya kijamii hasa mijadala ya bungeni wabunge wa upinzani wakitoa hoja mbovu na kufanya ulinganifu usiosahihi kwa serikali ya CCM.
HOJA HUJIBIWA KWA HOJA ILA HOJA YA DEMOKRASIA NI HOJA YA KIJOGRAFIA
Nawaona baadhi ya member wakisema kuwa bado nchi ya Tanzania haijapiga hatua kwenye demokrasia huku wakijaribu kuishutumu serikali kuwa na misingi isiyo ya wazi katika uendeshaji wake ila wanasahau kuwa demokrasia hotofautiana kulingana na eneo hebu angalia nchi ya marekani katika eneo lilipo unaweza kulinganisha na demokrasia ya middle east au estern europe? jibu ni kwamba demokrasia huathiriwa na tamaduni hivyo ni ngumu sana kuwa na total indication or principle of demokrasi.
HOJA YA MUDA NA WAKATI INAWEZA KUISUBIRISHA CCM KUFANYA MCHAKATO WA KATIBA PENDEKEZWA
Wapo baadhi ya member wanaikosoa serikali kuhusu mchakato wa mwaka 2014 kukwama,ila tukiangalia vizuri muda au wakati wa kufanya maboresho au reform ya katiba ni bado sana,tusipende kulinganisha katiba ya nchi za wazungu ambao wametutawala kwa takribani karne tukajifananisha nao,marekani katengeneza nchi miaka mingi toka apate uhuru na mpaka alipofika bado kuna baadhi ya vifungu vya katiba ni ngumu kubadilisha wewe na nchi yako ya miaka 60 unataka maendeleo ya haraka kwa muda mfupi..who are you by the way siasa zisitudanganye kuwa wakiingia wasemaji kuwa kutabadilika labda hujiulizi umesoma mambo mengi na ulivosoma umeshindwa kutekeleza baadhi ya mambo?
ACHENI SERIKALI ITENDE MAENDELEO NI MCHAKATO,WAPO WALIOGAIWA DEMOKRASIA WAKAWA NI WENYE FUJO NA VURUGU,RUSHWA NA WENGINE UBAGUZI,AFRIKA KWA MFUMO WA KIDUNIA TUNAHITAJI MIAKA 300 ILI KUBADILIKA CHINI YA SERIKALI MOJA ILA TUKILETAMULTI GOVERNMENT TUTAKESHA BARABARANI TU.