Mgeni rasmi kwenye soka ni wa kazi gani, Mbona Ulaya hawapo?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,778
218,404
Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar.

Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi.

Swali langu ni hili, hivi kazi yao hawa wanaoitwa Wageni rasmi ni ipi wana umuhimu gani kwenye soka. Kuna haja ya kuendelea na Wageni hawa. Mbona kwenye nchi za Ulaya mechi za soka hazina Wageni rasmi. Je, Wazungu ni Wajinga?
 
Acha kuwa brainwashed wewe sio kila kitu ufate wazungu..Nchi hii wanasiasa ndo wanaongoza kuipa uhai michezo tofauti na huko Ulaya..Lazima ufahamu bado tunajitafuta kwahiyo wanapoalikwa ni kama kurudisha shukran kwa mchango wao sawa?
Mwenyekiti wa ccm wa mkoa atawezesha nini ?
 
Hapo mgeni rasmi amepewa shukrani ipi au kuitwa uwanjani? Nyie ndo walewale.
Huwezi kuelewa mambo yanavyoenda hata siku moja..kwasababu wewe ni mtoto mdogo..Nikwambie tu kuna ofisi za timu.Kuna wanakamati wa timu,Kuna wanachama wakubwa kwa wadogo kwa hizi Timu..Hawa viongozi hasa wa Siasa unakuta wanatoa dau kubwakubwa kwenye Vikao vya uanachama huko ndani ambavyo wewe na mimi hatujui kinachoendelea ILA kaa ujue wanamchango mkubwa sanaa Timu sio vilaza kualika viongozi ovyo sawa?

Mfano nakupa za ndani kabisa kwasasa Mwanachama anaejitolea kiulaloulalo kwa (Kolo) ni Prof.Janabi..Kajitolea mambo ya physiotherapist na hata madaktari wengi wa Simba wanatokea Muhas..Kajitolea pesa..ila hakuna hata siku moja Kolo wanaweza post mambo anayofanya backscene..Badala yake watamkaribisha Kama Mgeni Rasmi kuonesha kwamba klabu inathamini mchango wake..

Davis Mosha hawa ni baadhi ya watu wenye mchango mkubwa sana kwa Uto backscene..Isingekuwa kukataa show-off ungemuona kaalikwa kama Mgeni rasmi..So kifupi lazima ujue hizi timu (mapacha wa kkoo)zinaishi kichawa umenifanya niandike maelezo marefuu
 
1.licha ya kuwa ulaya ndiyo waanzilishi wa mambo mengi lakini huwezi kuiga kila kitu.

2.huu ni utaratibu ambao tumejiwekea , kwa mfano tuna wasemaji wa vilabu na wahamasishaji, jambo ambalo ulaya ni Kocha anamaliza yote.

3.Najua unapenda kusikia watu wanaponda huu mtindo wa wageni rasmi kwenye mechi kulingana na mrengo wako wa kichadema.

NB; Mbowe kapokea mzigo toka kwa mama kwaajili ya ujenzi wa kanisa, vipi hili unalionaje Erythrocyte
 
..
Screenshot_2024-01-01-22-22-09-388_com.android.chrome.jpg
 
Ninaangalia game ya JKU ya Zanzibar VS Simba SC ya Tanganyika kwenye michuano ya Mapinduzi CUP kwenye Uwanja wa Amani huko Zanzibar.

Kwenye mechi hii kulikuwa na Aliyeitwa Mgeni rasmi, huyu ametajwa cheo chake kuwa ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Mjini Magharibi.

Swali langu ni hili, hivi kazi yao hawa wanaoitwa Wageni rasmi ni ipi wana umuhimu gani kwenye soka. Kuna haja ya kuendelea na Wageni hawa. Mbona kwenye nchi za Ulaya mechi za soka hazina Wageni rasmi. Je, Wazungu ni Wajinga?
Hata Ulaya wageni rasmi wapo katika baadhi ya mechi.
 
1.licha ya kuwa ulaya ndiyo waanzilishi wa mambo mengi lakini huwezi kuiga kila kitu.

2.huu ni utaratibu ambao tumejiwekea , kwa mfano tuna wasemaji wa vilabu na wahamasishaji, jambo ambalo ulaya ni Kocha anamaliza yote.

3.Najua unapenda kusikia watu wanaponda huu mtindo wa wageni rasmi kwenye mechi kulingana na mrengo wako wa kichadema.

NB; Mbowe kapokea mzigo toka kwa mama kwaajili ya ujenzi wa kanisa, vipi hili unalionaje Erythrocyte
Umeboronga ulipoingiza mambo ya Kanisa na michango yake
 
Yaani kitu mpaka afanye mzungu ndio kuwa confirmed kuwa ni kitu akfanya mbongo si kitu ni ushamba....COLONIALIZED MIND STILL IN OUR BRAINS.
 
Back
Top Bottom