Tanzania inaibiwa maliasili,fedha na kupelekwa Ulaya.

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
Hivi ndivyo mkoloni alivyofanya,aliiba maliasili za Tanzania na kuzipeleka kwao Ulaya,sasa hivi Watanzania tunafanya wenyewe,tunaiibia Tanzania tunapeleka Ulaya,mambo kidigitally mzungu katulia tu Ulaya,wabongo wanaaiibia nchi yao wanapeleka Ulaya,kwa ufupi Tanzania inaibiwa 70% ya mtaji wake,maliasili na fedha zinapelekwa Ulaya,Asia na Uarabuni.
 
Kumbe kwa sasa inaibiwa na watanzania wenyewe, basi watanzania ndio wenye shida
 
Kwa huu Wizi bado hatujaruhusu Uraia pacha. Kwa tabia zetu siku tukiruhusu Uraia Pacha tutakwisha tutaiba mpaka vumbi.
 
Hivi ndivyo mkoloni alivyofanya,aliiba maliasili za Tanzania na kuzipeleka kwao Ulaya,sasa hivi Watanzania tunafanya wenyewe,tunaiibia Tanzania tunapeleka Ulaya,mambo kidigitally mzungu katulia tu Ulaya,wabongo wanaaiibia nchi yao wanapeleka Ulaya,kwa ufupi Tanzania inaibiwa 70% ya mtaji wake,maliasili na fedha zinapelekwa Ulaya,Asia na Uarabuni.
Ukiiamisha ile federal reserve ya marekani ndani ya miezi 9 kutakuwa na uhaba wa dollar. Kichaka cha kuongeza export kitakuwa hakipo tena .naunga mkono hoja
 
Wanahifadhi fedha na mali nje ya nchi lakini 90% ya maisha yao wapo Bongo.
 
Back
Top Bottom