ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya haupaswi kukubali madai ya Marekani kuhusu sekta ya nishati safi ya China

    Marekani inajaribu kudai kuwa sekta ya nishati safi ya China ni tishio la pamoja kwa wenza wake wa Ulaya, lakini hata hivyo, kujaribu kuiaminisha Ulaya kuunga mkono shinikizo la kiuchumi la Marekani kwa China kunaweza kuwa kikwazo kwa mkakati wa uhuru wa bara hilo la Ulaya. Vitendo vya kujilinda...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Wabongo siku hizi wameamka, ndinga za Ulaya kama zote

    Ukikatisha mitaa ya Dar es salaam na Arusha naona vyuma kama BMW, Porsche Cayenne, VW, Audi za kutosha. Haya magari japo ni expensive kuyamaintain kwenye vipuri ila ulaji wake wa mafuta ni wa wastani kabisa kiasi kwamba kama wewe ni mtu wa safari na unajali muda na usalama, hizi ndo ndinga za...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Umoja wa Ulaya yasema Chat GPT bado haifikii viwango vya usahihi wa Taarifa

    Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
  4. agathaM

    JamiiForums Tanzania Nilinunua dish la Azam kwa ajili ya mechi za Tanzania na ulaya. Nimeumia sana

    Lengo langu ni kuona mechi za Tanzania na ulaya. Leo tulikiwa tukiangalia fa ulaya nasikitika Amzam hawakuwa na time na FA cup final kati ya man u na man City. Nakwenda kung'oa anyltena dish la Azam Asanteni
  5. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kuelewa ila anafutwa na icc ni marekani na sio netanyau na huenda huu ukawa mtego wa putin. Kuisambaratusha nato

    Kama mnavyoona wale walianzisha mahakama ya icc wameanza wenyewe kwa wenyewe kuhusu swala la netanyau kukamatwa na hawa wote ni Nato. Ziko nchi tayali wameshaweka Msimamo wao juu ya netanyau kumkamata kwa warrant ya icc kama norway,german,spain,france etc. Lakini kwa jicho. Mbali ukiangalia...
  6. Wakilimkuu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kwenda ulaya

    Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba mwenye connection aniunganishe N.B sihitaji kejeli,mzaha,utani 🙏
  7. Mr Beast

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

    === Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu na mashaka Watanzania kwani Serikali yao ya awamu sita chini ya Dkt Samia Suluhu Hassan ina nia na dhamira njema dhidi yao. Kafulila akihojiwa Katika kipindi Cha Television amesema si kosa nchi kukopa kwaajili ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Xi Jinping barani Ulaya inaonesha kuwa nguvu ya kidiplomasia ya China inazidi kuimarika

    Mwanzoni mwa mwezi Mei 2024 Rais Xi Jinping wa China amefanya ziara ya kiserikali katika nchi tatu za Ulaya, ziara iliyomfikisha Ufaransa, Serbia na Hungary. Kimsingi ziara za Rais Xi katika nchi hizi tatu zililenga mahusiano kati China na nchi hizo, hata hivyo kilichoonekana kwenye ziara hiyo...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Ulaya kwenye masuala ya hali ya hewa utainufaisha zaidi Afrika

    Zikiwa pande mbili kubwa zenye nguvu ambazo ziko tayari kuongoza muundo na mageuzi ya utawala wa hali ya hewa duniani, China na Umoja wa Ulaya zimedumisha mazungumzo juu ya mabadiliko ya hali ya hewa na bioanuwai pamoja na masuala mengine ya kiuchumi na kisiasa. Ili kuimairisha ushirikiano huu...
  10. Exile

    JamiiForums Tanzania Ulaya kuzuri; Maimamu 13 waliotumwa kwa ajili ya Ramadhani watokomea

    Maimamu ambao waliondoka nchini Morocco ili kuendesha ibada kwa Wamorocco wanaoishi Ulaya katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, wametokomea kusikojulikana na hawajarejea nyumbani hadi leo. Taarifa kutoka Morocco zinasema Maimamu 13 waliotumwa na Wizara ya inayojihusisha na mambo Kidini...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano mzuri kati ya China na Umoja wa Ulaya unaendana na maslahi ya Afrika

    Rais Xi Jinping wa China anaendelea na ziara yake barani Ulaya, ambako amesisitiza mara nyingi kwamba kama nguvu mbili muhimu duniani, China na Ulaya zinapaswa kuimarisha uratibu na kukuza kwa pamoja ujenzi wa dunia yenye ncha nyingi. Edward Kusewa, mwalimu wa uchumi katika Chuo Kikuu cha St...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ulaya na Marekani wanapata wapi vibali vya kuwakemea wengine?

    Marekani wakitumia nguvu kuzima maandamo ya wanafunzi wa kupinga nchi yao kuwasaidia Isreal. Kwanini sasa Marekani wanapofanya nchi nyengine wanakuwa wakali sana? Sababu wanazotoa Marekani kuzima maandamnao haya ni nyepesi kuliko nchi nyingine wanaotoa sababu za kuzuia maandamano kama haya.
  13. Fund man

    JamiiForums Tanzania Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Poleni Kwa majukumu wadau Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi? Nawasilisha
  14. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kundi la Islamic State lachapisha vitisho dhidi ya mechi za Klabu bingwa Ulaya leo

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Usalama utaimarishwa katika mechi za Ligi ya Mabingwa wiki hii baada ya chombo cha habari kinachounga mkono kundi la Islamic State kuchapisha vitisho dhidi ya viwanja vitakavyotumika. Kituo cha vyombo vya habari kinachounga mkono IS kimechapisha mabango...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Aina ya Bangi inayovutwa Tanzania imeachwa kuvutwa Marekani na ulaya tangu miaka ya 1970, watanzania wanaendelea kuvuta na kuyasifia makapi

    Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa miaka ya 1970, yani mpaka leo hawajastuka tu. Makapi haya yanasifiwa kwa majina kama "Cha Arusha", "Tarime one", "Cha malawi", "Skanka ya Moro" n.k, kwa kujidanganya ni kiwango sawa na bangi za Marekani, ni...
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ulaya haina majengo marefu kama ilivyo Asia Na America?

    Kama kiuchumi wako vizuri na wana historia kubwa kwenye mifumo ya maendeleo ya ulimwengu ila ukija kwenye upande wa majengo marefu (skyscrapers) mazuri inapigwa chini na nchi za Asia Shida nini je, ni utamaduni Wao tu au kuna nini yaani majengo 20 marefu zaidi Duniani hakuna hata moja kutoka...
  17. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Link ya kutazama Yanga Vs Mamelodi Sundowns hii hapa, unaweza pia kutazama mechi nyingine za ulaya

    Nimeona wadau wengi wakiulizia link ya kutazama mechi ya Yanga Vs Mamelodi Sundowns. Pia wengine huwa wanaulizia kutazama mechi nyinginezo za ulaya. Basi hii ndio suluhu ya kiu yako, mshtue na mwenzako! https://www.livesports088.com/
  18. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kakwenza Rukira aweka Makubaliano ya Siri na Umoja wa Ulaya kuhamasisha Ushoga Uganda

    Katika pitapita mitandaoni nimekutana na huyu chawa wa Mtoto wa Rais Museveni, Kainerugaba Muhoozi akimtuhumu Kakwenza Rukira kuingia makubaliano ya siri na umoja wa Ulaya nchini Uganda katika kuhamasisha ushoga nchini humo. Nakumbuka Uganda imezuia mahusiano ya jinsia moja na Rais Museveni...
  19. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania M23 ni private mercenaries wa Marekani na Ulaya. Wazungu wako miaka 100 mbele

    Uzi huu upo kitechnologia zaidi kuliko M23 yenyewe! Wakati dunia inaamuka kuanza kutumia majeshi binafsi nchi za ulaya na USA ziko miaka 100 mbele yetu wakati huo Nchi za africa ziko karne mbili nyuma bado zinadanganywa na Western democracy, Human right, UN na rule of law,I CJ court. Kifupi...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) pamoja na Balozi wa Ujerumani nchini waitembelea JamiiForums

    Leo, Februari 28, 2024, JamiiForums imetembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Christine Grau, pamoja na Thomas Terstegen, ambaye ni Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Ujumbe wa Mabalozi hao umepata nafasi ya kukutana na Watendaji wa JF na...
Back
Top Bottom