Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 7,186
- 10,922
Mataifa kadhaa ya Ulaya miezi minne tangu vita vianze bila Israel kupata ushindi ilioutarajia yameunga mkono kuundwa kwa taifa la Palestina.
Baadhi ya mataifa hayo ambayo yamekuwa yakpeleka wajumbe wao mataifa ya mashariki ya kati ni pamoja na Uiengereza,Ufaransa,Italy na Spain.
Kuundwa kwa taifa hilo lenye mamlaka kamili ikiwemo uwanja wake wa ndege,fedha na kudhibiti mipaka imeonekana ndio itazuia vita vinavyozidi kuenea eneo hilo.
Kikwazo cha kwanza cha juhudi hizo imekuwa ni waziri mkuu wa sasa wa Israel pamoja na chama chake ambao wamekuwa na tamaa za fisi za ushindi kupatikana karibuni.
Kwa upande mwengine Hamas wenyewe wana shaka sana na juhudi hizo kwamba hazina ukweli na huenda zikawazunguka na mamlaka kukabidhiwa vibaraka wa nchi hizo pamoja na Israel.
Kwa vyovyote vile mpaka kufikia hatua hiyo ni kuwa somo la Hamas kutaka kujikomboa limeleta matokea chanya.