Kazi ya Wasemaji wa Vilabu vya soka vya Tanzania ni ipi , Mbona vilabu vya Ulaya hakuna cheo hicho ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,429
Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .

Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire hawa wameletwa kufanya nini ? kwanza mpira wenyewe hawajui !
 
Ni utaratibu wa Tanzania
Mashabiki wa mpira Tanzania wanahitaji kuhamasishwa sana la sivyo hawaendi uwanjani hata kama kiiingilio ni bure
 
Africa kuna upumbavu mwingi na huwa hatuna aibu kufanya mambo kuhalalisha upumbavu wetu.

We jiulize Naibu Waziri Mkuu ana kazi gani ikiwa tayari kuna waziri mkuu au wakuu wa wilaya na mikoa wana umuhimu gani.

Huu ujinga unaanzia juu kabisa.
 
Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .

Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire hawa wameletwa kufanya nini ? kwanza mpira wenyewe hawajui !
Yaan ushasema WASEMAJI na bado unauliza kazi yao ambayo umeshaitaja bro uko timamu kweli
 
Africa kuna upumbavu mwingi na huwa hatuna aibu kufanya mambo kuhalalisha upumbavu wetu.

We jiulize Naibu Waziri Mkuu ana kazi gani ikiwa tayari kuna waziri mkuu au wakuu wa wilaya na mikoa wana umuhimu gani.

Huu ujinga unaanzia juu kabisa.
Kwanza hata wakuu wa Wilaya sijui wana kazi gani wakati tayari kuna wabunge 😂😂😂
 
Kwa mfano kwa Uingereza wasemaji wa mambo yote ya club zao za soka ni Mameneja , hawa ndio wanaofanya mikutano yote na Waandishi wa Habari kuhusu timu zao , Masuala yote ya mechi ikiwemo Ufundi na mengine yote ya uwanjani na wachezaji .

Sasa hawa akina Ally Kamwe na wengine kama Masau Bwire hawa wameletwa kufanya nini ? kwanza mpira wenyewe hawajui !
Ushawahi kusikia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Republican or Democratic ?

ushawahi kusikia Republican wana Chipukizi na umoja wa vijana sijui wa Wanawake ?

Ushawahi kusikia Mwenyekiti wa Wazee wa Jiji la Washington?

Tanzania ni Nchi ya Kipekee sana

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
mheshimiwa pohamba naona unakinanga chama chako ama kweli yametufika wote
 
Ushawahi kusikia Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Republican or Democratic ?

ushawahi kusikia Republican wana Chipukizi na umoja wa vijana sijui wa Wanawake ?

Ushawahi kusikia Mwenyekiti wa Wazee wa Jiji la Washington?

Tanzania ni Nchi ya Kipekee sana

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
Duuuuh !
 
Najua point ya mleta mada

Ni baada ya kuona Ally Kamwe anawaambia mashabiki wa Yanga wavae misuli na wao wana tii.
sio jamaa aliye waambia wamuombe msamaha ayoub wakatiii, mechi iliyo fuata ayoub kayatimba tena.
 
Back
Top Bottom