Vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani vikiripoti matukio

Mhaya

JF-Expert Member
Aug 20, 2023
1,658
4,866
1. Mwanaume mmoja aitwaye Johnson Powell amewachoma visu wanafunzi wanne na kuwaua huku wengine akiwapiga risasi. Tukio hilo lilitokea jioni ya leo. Mtuhumiwa huyo yupo kituo cha polisi.

2. Muhuni mmoja mweusi amewachoma visu wanafunzi wanne na wengine kuwaua kwa risasi katika chuo kimoja huko Florida. Polisi wamemkamata na kukuweka ndani.

3. Mwanaume mmoja ajulikanaye kwa jina la Mohammad Al Ahmad amewachoma visu wanafunzi wanne na kuwapiga risasi wengine. Gaidi huyo amekamatwa na kufungwa selo kabla ya kupelekwa Guantanamo.
.
.
.
Mzungu muuaji wa kawaida.
Mtu mweusi muhuni.
Mwarabu ni gaidi.
😂😂😂😂😂

Wazungu bhana!!!!
 
Back
Top Bottom