Ansarullah: Msimu wa baridi kali umekaribia Ulaya; tukichokozwa tutapiga visima na meli za mafuta na gesi

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,646
3,936


Mmoja wa viongozi waandamizi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amezionya nchi mbili za Kiarabu kwamba zisithubutu kuingia kwenye muungano wa Bahari Nyekundu wa Marekani na imetangaza wazi kwamba, kama Yemen itashambuliwa, basi harakati hiyo itajibu kwa kupinga visima na meli za maafuta na gesi na haitojali kwamba msimu wa baridi kali umekaribia barani Ulaya.
Gazeti la Rai al Yaum limeripoti habari hiyo leo Jumatano na kumnukuu Mohammed al Bukhaiti Mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Ansarullah ya Yemen akisisitiza kwamba kama nchi mbili za Kiarabu za Saudia na Imarati zitajiunga na muungano huo wa Bahari Nyekundu wa Marekani, Ansarullah inatangaza wazi kuwa, itapiga visima vya mafuta na gesi na itazamisha meli zote za mafuta kwenye Bahari ya Sham tena wakati huu ambapo msimu wa baridi kali umewadia huko Ulaya na Marekani.
Kabla ya hapo pia, al Bukhaiti alikuwa ameiambia televisheni ya Al Jazeera ya Qatar kwamba, Yemen itapambana vilivyo na muungano wa Marekani wa Bahari ya Sham. Alifichua pia kwamba Wamarekani wameiomba Ansarullah iache kushambulia meli zinazoenda kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa madai kuwa kushambulia meli hiyo kunahatarisha makubaliano ya usitishaji vita baina ya Yemen na muungano vamizi wa nchi za Kiarabu uliokuwa unaongozwa na Saudi Arabia. Lakini amesema, Yemen imepinga vikali pendekezo hilo la Marekani.

Amesema, hadi hivi sasa mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yanaendelea baina ya Yemen na nchi za Magharibi ikiwemo Marekani ya kuitaka Yemen isitishe au angalau ipunguze operesheni zake dhidi ya meli za Israel kwenye Bahari ya Sham (Bahari Nyekundu).

Kwa upande wake, televisheni ya Bloomberg ya nchini Marekani imeripoti kuwa, siasa za Sauidia hivi sasa ni kutoingia kwenye mzozo na harakati ya Ansarullah ya Yemen kwani ina wasiwasi kwamba mashambulizi yoyote dhidi ya Yemen yatahatarisha usalama na uchumi wa Saudi Arabia kabla ya nchi nyingine yoyote.
 
Wapige tu hamna namna
wapenda haki ndio watu wanao onekana kwamba ndio watu wabaya plus kupewa majina yote mabaya
nyie watu weusi ni ng'ombeee , waulizen waislam wenzenu wa Somalia wanavyotekwaga na hao wayemen , wanauzwa kama watumwa iwapo ndugu zao wasipolipa ela
 
nyie watu weusi ni ng'ombeee , waulizen waislam wenzenu wa Somalia wanavyotekwaga na hao wayemen , wanauzwa kama watumwa iwapo ndugu zao wasipolipa ela
Acha huko Djibout,na Mali wanaendaga kuoa watoto wa kiume,tena hao vijana wanachezwa kitchen party kabisa.
Hao waYemen wakija anachukua yule anakata mauno vizuri.
Kichekesho naye Myemeni akionana na Mwarabu wa Dubai nae anakata viuno kugombea basha na wenzie.
Sasa kuna wapiganaji hapo.
Hao wanaharass watu tu.
Wanaweza kupigwa usiku mmoja tu wakaomba ukimbizi tena huko huko marekani au Dubai.
 
Hem nipe hii ya Malaysia MKUU
Saudia wakipata akili tutawaunga mkono ila kwasasa saudia nawenyewe niwashenzi kama washenzi wengine tuuuuu
Washazipiga pini meli zinazomilikiwa na makampuni ya israeli kuingia katika bandari zake.
Screenshot_20231224_111608_X.jpg
 
Back
Top Bottom