Picha: Hivi kuna uhusiano upi kati ya Mwalimu Nyerere na Maxence Melo?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Maake naona kama kuna mfanano kati ya picha ya ujana ya Mwalimu J.K Nyerere na Mwanzilishi wa mtandao wa JamiiForums, Ndugu Maxence Melo
images (1).jpeg
images.jpeg


Ni hayo tu. Karibuni tupooze makoo yetu hapa TipTop Bar
 
Back
Top Bottom