Nyafwili
JF-Expert Member
- Nov 27, 2023
- 2,775
- 6,891
Habari WanaJamiiforums, Poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Imekuwa kawaida Wanawake kulalamika kwamba wanaume hawaangalii wala kutilia mkazo kikamilifu kuhusu shida zao. Lakini ukweli ni kwamba kuna mambo ambayo wanaume nao wanatamani wanawake wajue baadhi ya mambo:-
|-• Wanaume wengi wanatamani, wanawake wao waelewe umuhimu wa mawasiliano ya wazi na kuheshimiana, kuwa na kusudi/lengo la pamoja, kusaidiana katika kujenga maisha. Pia, kuwa na nafasi ya kujitambua kibinafsi na kudumisha uhuru ndani ya uhusiano.
||-• Na kama watafanya uhusiano wao au ndoa yao itakuwa bora na wanaume wao watawatendea vizuri zaidi, watafanya kazi kwa pamoja ili kuboresha mawasiliano, kuelewa mahitaji ya mwenza, na kushiriki katika hali ya furaha na changamoto kwa pamoja,
|||-• Wanaume toa Ushauri Kwa wanawake juu ya kitu chochote ungetamani wanawake wajue.