ISRAEL siku zote wanaichukia UNRWA. Haina uhusiano wowote na Hamas, wanaona ni kikwazo kwao kuwafadhili Palestina

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,996
32,433
Wanaukumbi.

Msikilize Craig Mokhiber, afisa wa zamani wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa, Mkurugenzi wa NY Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR) na mwanasheria wa Kimataifa wa haki za binadamu.

Wafuatao ๐ฌ๐ž๐ฏ๐ž๐ง ๐œ๐จ๐ฎ๐ง๐ญ๐ซ๐ข๐ž๐ฌ wamesitisha ufadhili wa Unrwa kulingana na madai ya Israeli kwamba wafanyikazi 12 kati ya 30,000 wa shirika hilo walishiriki katika Hamas:

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ US
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Kanada
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Uingereza
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฎ Ufini
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italia
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Uholanzi

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Norway na ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช Ireland walisema hawatafuata mfano huo. Uswizi ilisema hakuna uamuzi hadi tuhuma zifafanuliwe.

๐”๐ง๐ซ๐ฐ๐š ๐Ÿ๐š๐œ๐ญ๐ฌ:
โ€ข Ina wafanyikazi 30,000, 13,000 kati yao wako Gaza.

โ€ข Wengi wao ni wakimbizi wa Kipalestina na idadi ndogo ya wafanyakazi wa kimataifa.

โ€ข Huko Gaza, inaendesha shule 183, vituo vya afya 22 na vituo saba vya wanawake, miongoni mwa vituo vingine kadhaa.

โ€ข Shule zake zinahudhuriwa na wanafunzi 286,645 huko Gaza, wakati vituo vyake vya matibabu vina wastani wa ziara milioni 3.4 kwa mwaka, kulingana na data ya Umoja wa Mataifa.

View: https://x.com/kahlissee/status/1751416114490339399?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Israel ilipowaua wafanyakazi 152 wa UNRWA, hakukuwa na lawama za Magharibi.

Baada ya uamuzi wa ICJ, serikali za Magharibi ziliacha kufadhili UNRWA, ambayo inawalisha watoto wa Gaza waliokuwa na njaa. Walirejelea madai yaliyotolewa na serikali ya mauaji ya halaiki kuhusu wafanyikazi 12.
 
Hivi ndivyo walivyotaka kudhoofisha uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa wa kuleta msaada wa haraka.
Je, wataacha kuunga mkono UN kwa sababu baadhi ya wafanyakazi wake walikuwa wabaya?
Ukweli ni kwamba viongozi hao wa kisiasa wanashirikiana kuwanyonga wananchi wa Palestina. Wao ni washirika wa moja kwa moja katika mauaji ya kimbari.
 
Ningependa kuona nchi kama Quatar,Saudi Arabia, United Arabu Emirates, wanafadhili hizo taasisi zao.
Nchi wafadhili wote wanaitwa makafir, licha ya kuwasaidia miaka yote.
Nchi zenye utajiri wa mafuta kwanini wasiwe na ushawishi kwenye ukanda huo?
Hamas magaidi, hao UNRWA wajitetee sio kuomba huruma. Kama waliisaidia HAMAS nao ni magaidi tu wasiishie kunyimwa ufadhili wachapwe tu.
 
Bila kumshusha marekani hii vita Hakuna mtu anayeweza kuisimamisha.
Hakuna tamko la kuzuia israel iache vita
Drama zote marekani anazofanya sijui two state Halafu Netanyahu anawavimbia na Hakuna wanachomfanya zaidi ya kuendeleza drama zao tu. Nipo hapa kama marekani ni super power Hakuna siku itatokea two state na Palestine wataendelea kuhujumiwa na wadhalimu
 
Nilikua nasubiria reaction ya nchi za magharibi baada ya uamuzi wa ICJ ,naona wameamua kupindua meza. Hata kama baadhi ya workers wa UNRWA walishiriki mashambulizi ya Hamas je inahusiana nini na kazi za UNRWA? Hawana hasira na mauaji ya watu zaidi ya 25000 iliyofanya Israel ndani ya miezi mitatu?
 
Ningependa kuona nchi kama Quatar,Saudi Arabia, United Arabu Emirates, wanafadhili hizo taasisi zao.
Nchi wafadhili wote wanaitwa makafir, licha ya kuwasaidia miaka yote.
Nchi zenye utajiri wa mafuta kwanini wasiwe na ushawishi kwenye ukanda huo?
Hamas magaidi, hao UNRWA wajitetee sio kuomba huruma. Kama waliisaidia HAMAS nao ni magaidi tu wasiishie kunyimwa ufadhili wachapwe tu.
Mbona wanachangia UNRWAโ€ฆ
Kukata ufadhili kwa UNRWA, Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada na Kazi kwa Wakimbizi wa Kipalestina.

Lakini endelea kuipatia Israeli pesa, msaada na silaha ili kufanya mauaji ya halaiki hawa siyo Magaiidi?

Fungua akili yako siyo kushikiwa akili.
 
Nilikua nasubiria reaction ya nchi za magharibi baada ya uamuzi wa ICJ ,naona wameamua kupindua meza. Hata kama baadhi ya workers wa UNRWA walishiriki mashambulizi ya Hamas je inahusiana nini na kazi za UNRWA? Hawana hasira na mauaji ya watu zaidi ya 25000 iliyofanya Israel ndani ya miezi mitatu?
Joe Biden's decision to stop funding UNRWA means the US is now officially complicit in the starvation of 2 million people.
 
Nimeshangaa kuona wchangiaji wakubwa wa UNRWA ni nchi za magharibi mnazozipiga vita. Mnashangilia meli zao zinapopigwa makomboea na wanamgambo wa Yemen.
Kwanini nchi za kiarabu zinaweza kufadhili ugaidi tu lakini si mambo mazuri kama haya?
Nilitegemea nchi kama Saudi Arabia ingekuwa ndiyo mfadhili mkubwa wa UNRWA ila ndiyo hivyo tena....waarubu wenyewe kwa wenyewe wanatosana
 
Joe Biden's decision to stop funding UNRWA means the US is now officially complicit in the starvation of 2 million people.
Saudi arabia si anaweza kuwalisha wote hao na asitetereke....mnasubiri hela za mnaowaita mashoga?
 
Joe Biden's decision to stop funding UNRWA means the US is now officially complicit in the starvation of 2 million people.
The west has dug themselves into a hole which means death of their western values. Hawana haki ya kuikosoa nchi yoyote kama inafanya mauaji au ukatili dhidi ya raia, nakumbuka Libya walivyowahi ku-impose no fly zote ili kulinda raia wasiuawe kumbe ni ushenzi tu.
 
Wafuatao ๐ฌ๐ž๐ฏ๐ž๐ง ๐œ๐จ๐ฎ๐ง๐ญ๐ซ๐ข๐ž๐ฌ wamesitisha ufadhili wa Unrwa kulingana na madai ya Israeli kwamba wafanyikazi 12 kati ya 30,000 wa shirika hilo walishiriki katika Hamas:

๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ US
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Kanada
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Uingereza
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฎ Ufini
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Italia
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฑ Uholanzi
Mfadhili mkubwa zaidi wa UNRWA ni USA, akifuatiwa na hao wengine, wote makafiri.

Hilo shirika la umoja wa mataifa lipo miaka mingi tangu 1949, likitoa misaada ya chakula, afya, elimu, nk, kwa hao Waarabu wa Gaza, kutokana na misaada ya Marekani na washirika wake.

Swali la msingi hapa ni kuwa, kwanini nchi za Kiarabu zenye utajiri mkubwa wa mafuta hawafanyi huo ufadhili wametelekeza hilo jukumu kwa makafiri ?!!!

Ukweli usemwe tu, Waarabu ni wanafiki sana
 
Joe Biden's decision to stop funding UNRWA means the US is now officially complicit in the starvation of 2 million people.
Mnsubiri huruma ya mzungu? ghafla amekuwa mtamu baada ya kuchomoa hela zake?
Ni waarabu wenye wanasababisha hao 2M wakumbwe na baa la njaa....
 
Mnsubiri huruma ya mzungu? ghafla amekuwa mtamu baada ya kuchomoa hela zake?
Ni waarabu wenye wanasababisha hao 2M wakumbwe na baa la njaa....
Wewe wala hujui chochote huu uzi umekuzidi umri nenda jukwaa lako la mipasho watu wanapiga kusema kuwa UNRWA ni magaidi walihusika na mashambulizo Oct 7
 
Israel ilipowaua wafanyakazi 152 wa UNRWA, hakukuwa na lawama za Magharibi.

Baada ya uamuzi wa ICJ, serikali za Magharibi ziliacha kufadhili UNRWA, ambayo inawalisha watoto wa Gaza waliokuwa na njaa. Walirejelea madai yaliyotolewa na serikali ya mauaji ya halaiki kuhusu wafanyikazi 12.
Waambie Saudi ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ, ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท, ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡พ, etc etc wachangie gharama za hao uliowataja, why mabeberu wachangie?,kuna vita syria, wanakimbilia Germany, why wasikimbilie iran?
 
Back
Top Bottom