Saudi Arabia yasema itaendelea na uhusiano mwema na Israel baada ya vita

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,430
Huku wavaa makobaz uswahilini wanatokwa mishipa kwenye makomwe kwa hasira walizo nazo kwa Israel, sasa Saudi imesema itaendelea freshi na Israel....

====

1705050099796.png

Saudi Arabia's ambassador to the UK says it is interested in normalising relations with Israel after the war in Gaza, but that any deal must lead to the creation of a Palestinian state.

Prince Khalid bin Bandar told the BBC a pact was "close" when the the kingdom paused US-brokered talks after Hamas's deadly attacks on Israel on 7 October.

Saudi Arabia still believed in establishing ties with Israel despite the "deplorable" casualty figures in Gaza, he said, but it would not "come at the cost of the Palestinian people".

The ambassador also warned that there was a "failure of humanity" over Gaza, with the international community not doing enough to end the fighting.

He also said he would like to see the UK "moderate it's position" and "treat Israel the same way it treats everyone else". "The blind spot towards Israel is a real problem because it provides a blind spot to peace," he added.

BBC News
 
Huo ushirikiano una masharti. Soma uelewe wacha sweeping statements za kijahili.
Wacha kuleta habari nusu nusu. Andika alichosema Prince Khalid bin Bandar sio unachotaka wewe tu.
 
Maneno tu hayo. Lkn kwa ukweli hakuna muislam anaejitambua anaipenda Isreal au kafiri yoyote yule
waislam wanatoka nchi jiran kwenda kutafuta Ugali Israel na kurud kwao salama , wewe muislam jina ndo unajitia mjuaji
 
Huku wavaa makobaz uswahilini wanatokwa mishipa kwenye makomwe kwa hasira walizo nazo kwa Israel, sasa Saudi imesema itaendelea freshi na Israel....

====

Saudi Arabia's ambassador to the UK says it is interested in normalising relations with Israel after the war in Gaza, but that any deal must lead to the creation of a Palestinian state.

Prince Khalid bin Bandar told the BBC a pact was "close" when the the kingdom paused US-brokered talks after Hamas's deadly attacks on Israel on 7 October.

Saudi Arabia still believed in establishing ties with Israel despite the "deplorable" casualty figures in Gaza, he said, but it would not "come at the cost of the Palestinian people".

The ambassador also warned that there was a "failure of humanity" over Gaza, with the international community not doing enough to end the fighting.

He also said he would like to see the UK "moderate it's position" and "treat Israel the same way it treats everyone else". "The blind spot towards Israel is a real problem because it provides a blind spot to peace," he added.

BBC News
Umeamua kua chawa wa Saudia
 
Maneno tu hayo. Lkn kwa ukweli hakuna muislam anaejitambua anaipenda Isreal au kafiri yoyote yule
Yaani uislamu uletewe na wa saudia ambao wamesema wanamahusiano mazuri na waisrael wewe muislamu wa kakonko unasema tuwachukie 🤣🤣🤣

Anyway: Kila siku humu tunahubiriwa kuwa dini ya uislamu ni Amani, UPENDO KWA WATU WOTE . kumbe ni uongo mtupu tizama wewe unayejiita muislamu unahamasisha chuki 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom