ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 397
- 1,394
Taifa la Israel ndiyo msingi wa kanisa. Ukiangalia emblem ya Israel ni kinara cha TAA Saba kama kinavyoonekana hapo
Kwa wale wanaoelewa maandiko, Kanisa LA Mungu limeundwa juu ya msingi wa makanisa Saba.
Makanisa hayo ni efeso, smyrna, pergarmo, thytira, sardi, Philadelphia na leodecea. Hayo makanisa Saba ni ukamilifu wa majira saba ya kanisa.
Kule mbinguni kwenye kiti cha enzi cha Mungu kuna TAA Saba ambazo ni roho Saba za Mungu.
Kwa hiyo hizo TAA Saba kwenye nembo ya taifa LA Israel ni msingi wa makanisa Saba, yaani majira Saba ya kanisa.
Kwa hiyo kanisa na taifa LA Israel ni vitu Pacha. Huwezi tenganisha Kati ya kanisa na taifa LA Israel.
Ndiyo maana wakati wote kanisa linasimama na Israel. Kuhusu kwamba wa Israel sio wakristo Hilo bado lisikupe shida. Ni Mambo ya ndani, huwezi elewa.
Kuhusu nilichoandika hapa wengi hamtaelewa maana ni Mambo ya ndani sana