Kuna uhusiano gani kati ya ngono na akili?

Salaaam!!!

Hivi ni kweli kwa mtu anaefanya mapenzi sana na kwa mda mrefu anaweza kuwa na reasoning kuliko yule asiyependa kufanya mapenzi??

naombeni majibu uhusiano wa mapenzi na akili.
Hapana sio kweli kabisa.. Mabazazi wengi ni full kuwaza ngono ngono tuu, akili yao inakuwa imeshatekwa huko ndio maana hawaitwi ma genius bali majanaba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngono inaondoa uwezo wa kufikiri

Wavumbuzi wote wa kisayansi walijiweka mbali na ngono

Angalia viongozi wa kiafrika wengi wamewekeza kwenye ngono ndio maana hata nchi za africa zimedumaa
Mwanadamu huwezi kujiweka mbali na kufanya mapenzi Ni tendo la kibaiolojia kwa kila mwanaume na mwanamke aliyekamilika kiakili na kimwili.
 
angaza.jpg
 
Kuna njia moja tu ya kujizuia kufanya mapenzi nayo ni Kufunga mchana kutwa (kujizuia Kula na kunywa) ili kuweza kuuchosha mwilina kupunguza hali ya matamanio.Kinyume na hapo ukishakula ubwabwa na maharage yako na kushiba ndindindiiii kinachokuata ni kujamiiana tu ili kupunguza nyege na shahawa zilizotengenezwa mwilini.
 
Ngono haina athari kwa akili, ila inaweza kuathiri utendaji kazi wa ubongo.

Ngono inahitaji nishati nyingi sana. Wakati huo huo ubongo hutumia about 20% ya nishati inayozalishwa na mwili wako.. so kama unatumia nishati yako nyingi kwenye ngono, natumai unaweza kuona athari yake kwa ubongo.
 
Kwa mujibu wa Dk.KENGE..

Ngono na Akili ni pete na kidole..bila Hisia ambazo zinatoka kwenye Akili hakuna ngono..Ngono ni matokeo ya CNS mfumo wa fahamu yani Neva

Dopamine ni hormone inayoupa mwili furaha..hivyo unapofikiria na kufanya Matusi hormone hii ya dopamine inazalishwa kwa wingiii mpaka ikifikia mwisho wa uzalishaji ndio wewe unasikia rahaa utamu wa bao.So itachukua tena dakika kadhaa ili dopamine ianze kuzalishwa upyaa na hapo ndio utaanza kupata hisia tena

Kwahiyo Ngono ni Akili na Akili ni ngono.Unashauriwa ufanye ngono kadri uwezavyo ni kwasababu ya kutoa hormone hiyo ambayo ndio inapunguza stress na depression hivyo kufanya ubongo kuwa uwezo zaidi wa kufikiri
 
Salaaam!!!

Hivi ni kweli kwa mtu anaefanya mapenzi sana na kwa mda mrefu anaweza kuwa na reasoning kuliko yule asiyependa kufanya mapenzi??

naombeni majibu uhusiano wa mapenzi na akili.
Kwa kuitumia Tanzania na vijana wake kama reference, sikubaliani na hiyo kauli.
 
Kwa mujibu wa Dk.KENGE..

Ngono na Akili ni pete na kidole..bila Hisia ambazo zinatoka kwenye Akili hakuna ngono..Ngono ni matokeo ya CNS mfumo wa fahamu yani Neva

Dopamine ni hormone inayoupa mwili furaha..hivyo unapofikiria na kufanya Matusi hormone hii ya dopamine inazalishwa kwa wingiii mpaka ikifikia mwisho wa uzalishaji ndio wewe unasikia rahaa utamu wa bao.So itachukua tena dakika kadhaa ili dopamine ianze kuzalishwa upyaa na hapo ndio utaanza kupata hisia tena

Kwahiyo Ngono ni Akili na Akili ni ngono.Unashauriwa ufanye ngono kadri uwezavyo ni kwasababu ya kutoa hormone hiyo ambayo ndio inapunguza stress na depression hivyo kufanya ubongo kuwa uwezo zaidi wa kufikiri
sawa dokta
 
Epuka ngono zembe ni upotezaji wa muda, rasilimali, kudhoofika afya ya akili na stress za mara kwa mara... kataa mapenzi kataa kutumika.

Mapenzi ni scam.
 
Acheni uzushi. Reasoning capacity ya mtu huwa inajengwa kati ya umri wa 0-5 baada ya hapo kama hana uwezo huo ndio basi tena labda awe na Autism.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom