Kijana wa Kiyahudi afanya uchunguzi wa DNA na kugundua hana uhusiano wowote na Israel ya kale

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,505
51,107
Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.

Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na ibrahim.

Na wamekuwa wakitumia argument ya uyahudi wao wa kimapokeo kudai haki ya kumiliki hilo eneo.

Hata hivyo ukweli umeanza kujitokeza mdogomdogo!

Unaweza kimsikiliza huyu kijana hapa:

Tutashuhudia maigizo mengi sana wakati huu.
Then si kila muisrael ni myahudi.

Wapo, mfano mzuri ni wale Wayahudi waliotoka nchi za Yemen, Iraki, iran, Ethiopia etc

Pia wapo Wayahudi wa maeneo hayo walioconvert na kuwa Wakiristo na wengine kuwa Waislamu. Hao wana damu ya Yakobo nyingi zaidi kuliko wale Wayahudi feki ambao asili yao ni Khazaria.

Wapo watu ambao DNA yao inawalink na Israel ya kale,mfano hapa Afrika wapo watu wa kabila la Lemba etc
 
Watanzania tuacheni upuuzi kama huu hauna msaada yoyote kwetu. Nambie kabila la Tanzania ambao DNA yao inaonyesha ni Watanzania wa kale.
Wangoni, Wamakonde, Wahaya, wamasai n.k.
Mbona mnapenda kushadadiya ya watu wakati yenu yanawashinda?

Umewahi kusikia mtanzania akitumia Biblia kujustify kutwaa nyumba, ardhi na eneo la mtu mwingine ili akae yeye?
 
Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.

Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na ibrahim.

Na wamekuwa wakitumia argument ya uyahudi wao wa kimapokeo kudai haki ya kumiliki hilo eneo.

Hata hivyo ukweli umeanza kujitokeza mdogomdogo!

Unaweza kimsikiliza huyu kijana hapa:

View attachment 2877285
Una ushahidi gani kuwa huyo jamaa siyo mzushi tu anafanya propaganda ya kijinga hapo? Inawezekana anaongea uongo mtupu. Epuka kudandia mambo yasiyo na ushahidi.

Na je, hao wapalestina wakiwemo hamas, umethibitisha kwa DNA kuwa siyo wahamiaji?
 
Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.

Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na ibrahim.

Na wamekuwa wakitumia argument ya uyahudi wao wa kimapokeo kudai haki ya kumiliki hilo eneo.

Hata hivyo ukweli umeanza kujitokeza mdogomdogo!

Unaweza kimsikiliza huyu kijana hapa:

View attachment 2877285
Huyo watamuua sasahiv! Wayahudi wa kweli weusi, wilioko Ethiopia na maeneo mengine wale wa pale Tel Aviv ni matapeli uzao wa Bulan Khazar toka Khazar.
 
Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.

Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na ibrahim.

Na wamekuwa wakitumia argument ya uyahudi wao wa kimapokeo kudai haki ya kumiliki hilo eneo.

Hata hivyo ukweli umeanza kujitokeza mdogomdogo!

Unaweza kimsikiliza huyu kijana hapa:

View attachment 2877285
Ukute kuna mazingira fulani DNA hiyo hiyo unaikataa!
 
Wapo, mfano mzuri ni wale Wayahudi waliotoka nchi za Yemen, Iraki, iran, Ethiopia etc

Pia wapo Wayahudi wa maeneo hayo walioconvert na kuwa Wakiristo na wengine kuwa Waislamu. Hao wana damu ya Yakobo nyingi zaidi kuliko wale Wayahudi feki ambao asili yao ni Khazaria.

Wapo watu ambao DNA yao inawalink na Israel ya kale,mfano hapa Afrika wapo watu wa kabila la Lemba etc

Hukunielewa,nilimaanisha hiki.
 
Attachments

  • 20240120_155205.jpg
    20240120_155205.jpg
    296.8 KB · Views: 2
Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale.

Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na ibrahim.

Na wamekuwa wakitumia argument ya uyahudi wao wa kimapokeo kudai haki ya kumiliki hilo eneo.

Hata hivyo ukweli umeanza kujitokeza mdogomdogo!

Unaweza kimsikiliza huyu kijana hapa:

View attachment 2877285
Safi sana. Sasa tufanye sherehe.... Mpaka waizrael wote wagundue wao siyo original. Hii itatusaidia sana sisi. Uongo?
 
Kuwa muumini wa dini sio kuwa mcha Mungu, ili uwe muumini mzuri wa hizi dini lazima ukubali kuwa mjinga. No way.
 
Back
Top Bottom