ugonjwa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Kibofu cha Nyongo

    Salaam Watalaam wa Tiba na wana-JF kwa ujumla. Bila kuwapotezea muda, ningependa msaada wenu kuhusu ugonjwa wa Kibofu cha Nyongo ambao unamsumbua sana mama yangu. Baada ya kwenda hospitali, mara kadhaa amekuwa akiimbiwa hilo ndo tatizo linalosumbua lakini bado hajapata tiba inayoeleweka. Kwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Prominent COVID conspiracy theorist dies of virus

    Mabibi na mabwana yamesemwa mengi na hata yamerushwa matusi mengi. Uzuri ni kuwa wapigania haki za watu kuishi hawana tuzo wala utambulisho wanaotaka kibinafsi hapa duniani wala huko juu mbinguni. Hapa yupo mwingine alikuwa mshupavu kweri kweri: Wajameni haka kaugonjwa kana tabia mbaya ya...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea Afrika

    Watafiti leo Alhamisi wametoa ripoti kuhusu ushahidi wa kwanza wa kidaktari kwamba mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea barani Afrika. Wataalamu wa dawa wamekuwa na wasiwasi kwa muda mrefu kuhusu kuibuka kwa tatozo la usugu dhidi...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Wadau huu ni ugonjwa gani wa Kuku na unatibiwaje?

    Wadau vifaranga wangu wanaumwa midomo na macho! Inaanza kwa kutokea manundu manundu hadi yanaziba macho kama muonavyo! Naomba kujuzwa huo ni ugonjwa gani? Dawa za kuutibu ni zipi!
  5. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Tumeudharau ugonjwa wa Corona kwa kukosa Maarifa na itakuwa inaondoa mmoja mmoja?

    Amani iwe kwenu wapendwa katika bwana. Wakati tukiendelea kuomboleza msiba wa Jemedari wetu Dkt Magufuli, tuna kila sababu ya kutafakari sana kama taifa. Haiwezekani tupoteze watu maarufu na wakubwa hapa nchini kwa kipindi kimoja, sababu ya kupoteza hawa viongozi zinatajwa kuwa ni chronic...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hofu/Woga ni adui mkubwa kuliko ugonjwa wowote duniani

    Kwanza nitoe pole kwetu sote wakati huu wa majonzi ya kumuaga mpendwa wetu. MUNGU amrehemu. Kwa uzezo wangu mdogo wa kutafakari mambo nimegundua Viongozi walitukosea sisi wanainchi sana. Siku chache kabla ya msiba huu, mitandaoni kulikuwa na taharuki ya kiwando cha juu sana juu ya afya ya Rais...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Shoo aomba waliokamatwa kwa kumsingizia ugonjwa Dkt. Magufuli waachiwe ili tuomboleze nao pamoja

    Hii ndio Taarifa yake mpya aliyoielekeza kwenye mamlaka za nchi kuwaombea msamaha watu kadhaa waliokamatwa kwa kuzusha uongo mitandaoni kwamba Rais Magufuli ni mgonjwa. Baba Askofu amewaombea msamaha wahalifu hao ili pamoja na mambo mengine tushiriki nao kuomboleza msiba huu mkubwa wa Kitaifa.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wito: Tunapoomboleza tukumbuke Corona ingalipo duniani

    Mabibi na mabwana tuko msibani. Tusisahau kuwa pamoja na msiba, pana gonjwa linalotunyemelea. Gonjwa hili linataka barakoa na kuepuka mikusanyiko. Tunapoomboleza tukumbuke tuna ugonjwa ungalipo na kwa hakika hatutajilaumu kwa kuchukua tahadhari. Mikutano yote rasmi na isiyo rasmi pia...
  9. Slowly

    JamiiForums Tanzania Huu ugonjwa tusiuletee macheko

    Binafsi nilishangaa Sana kusikia Katibu Mkuu Kiongozi, na Makamu wa Rais Zanzibar wamefariki kwa changamoto ya upumuaji (Korona in advance) viongozi wa juu kabisa wa kiserikali. Nilishangaa pia jinsi misiba ilivyoendeshwa bila tahadhari yyte. Kwa uchungu nilihoji pia usalama wa Rais, kama walio...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Dalili za ugonjwa wa figo kwa mtu kwenye shinikizo la damu

    Iwapo shinikizo la damu liko juu sana(zaidi ya 200/120mm /Hg) Shinikizo la damu la juu sana hata baada ya matibabu kuzingatiwa Kushindwa kuona kwa sababu ya shinikizo la damu Kuwepo kwa protini kwenye mkojo Mgonjwa wa shinikizo la damu kuonesha dalili kama vile kuvimba, kukosa hamu ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kuna dawa ya kienyeji ya kutibu ugonjwa wa kisukari?

    Ndugu zangu wapendwa nawasalimu wote! Niliamua kwenda kwenye moja ya hospitali zetu hapa jijini kwa ajili ya kuangalia afya! Nilitaka kujuwa afya yangu kwa ujumla kuanzia pressure,sukari,ukimwi na n.k. Baada ya kufanyiwa vipimo ikaoneka sukari yangu iko juu kuliko matarajio hivyo nikaambiwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kirung'u/kichui ni ugonjwa wa aina gani, ugonjwa huu ni common maeneo ya Moshi, Arusha!

    Kwa kichaga (cha kwetu) Rung'u maana yake ni chui, kwa hiyo sijajua kwa lugha nyingine unaitwaje na unaweza kua na majina mengine maeneo mengine kwa hiyo hilo sio jina rasmi nje ya kwetu Uko kama pumu/sio, pumu/tb/ sio tb yaani kifua kinabana mwanzo mwisho na kukohoa sana( kwangu haikua kikavu)...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unapogundua mwenza wako si muaminifu na amekumbukiza ugonjwa hatua gani utachukua?

    Wanawake kutokana na maswala ya uzazi tunapata bahati ya kupitia vipimo vingi sana. Mara nyingi hapa ndipo unagundua una magonjwa. Hapa tayari una ujauzito na unafahamu ulikua muaminfu kwa mwenza wako. Kwa wanaume hali kadhalika, hujawahi kumfumania mke wako lakini unajikuta unapata maumivu...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Nchi karibu zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. teyari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua nchini mwao kwa GULF air majuzi. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona Pia shirika...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Je, unajua kuwa njaa ndio janga kubwa Duniani kuliko ugonjwa wowote ule?

    Karibu watu milioni 10 hufa kwa njaa kila mwaka duniani. Fedha kiasi cha US Dollar billion 11 kingeweza kuondoa kabisa njaa duniani. Cha ajabu Corona inayoua watu milioni moja kwa mwaka inapewa tension kubwa na dunia iko tayari kutumia US dollar zaidi ya billion 35 kukifuta kirusi hiki. Je...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Huyu kuku anaumwa ugonjwa gani?

    Anatoa mapovu machoni, dawa yake nini ipi? Pia kuna kuku wanatagia sehemu moja unawatenganisha vipi ili kila kuku atagie sehemu yake. NB: Wanaishi banda moja
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel atoa ufafanuzi kuhusu "Matatizo ya Kushindwa Kupumua"

    Kama hujaelewa hapa basi utakuwa na Chuki binafsi ====== Akihojiwa na Mwananchi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel ameeleza haya: Kwanza hamna taharuki kubwa kwa huu mwaka kama ilivyokuwa mwaka 2020. Mwaka wa 2020 tatizo hilo lilivyotekea taharuki haikuingia tu Tanzania, ilikuwa dunia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mguu wa kulia unavia maji. Ugonjwa gani huu?

    Wadau Mwanangu anasumbuliwa na ugonjwa mguu wa kulia unavia maji inatengeneza kitu kama kidonda pembeni ya mguu, hakiumi ukitumbua hutoa majimaji kama usaha. Hospital walinipa tube nipake nadhani za fungus Ila hakuna suluhu.
  19. Intelligence Justice

    JamiiForums Tanzania Je, Ugonjwa wa Virusi vya Korona vimelea vyake vilitengenezwa au vilitokea tu?

    Wakuu wenye bongo bobevu, Hili bandiko limekusudiwa kuuliza wataalamu wabobezi kwamba, mosi, 1. Je, vimelea vya virusi vya Korona vilitokea tu kutokana na nguvu ya asili na mabadiliko ya hali hewa ikiwa na chanzo cha viumbe hai ama mimea au vimetengenezwa na binadamu kupitia utafiti wa utukutu...
  20. Tanganyika Law Society

    JamiiForums Tanzania Tamko la Tanganyika Law Society(TLS), Juu ya Wimbi la Pili la Mlipuko wa Ugonjwa wa Korona nchini

    TAARIFA KWA UMMA Ndugu Watanzania, TAMKO LA TLS JUU YA KUWEPO KWA WIMBI LA PILI LA UGONJWA WA KORONA NCHINI Mnamo tarehe 13 Februari 2021 Baraza la Uongozi la TLS lilikutana kutekeleza majukumu yake na moja ya ajenda ya kikao hicho ilikuwa ni umuhimu wa TLS kuitaka Serikali kutoa tamko...
Back
Top Bottom