ugonjwa

  1. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kusakata rhumba (kudance) ulioua watu huko Germany

    Miaka zaidi ya 643 iliyopita, katika mji wa Aachen huko Ujerumani watu walianza kumiminika mitaani kutoka kwenye majumba yao na kuanza kusaka rhumba kwa kila aina ya staili. Wengine walicheza kiduku, wengine mapanga, wengine shaku shaku, wangine walishake, wengine wakacheza ngororo, ili mradi...
  2. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Ugonjwa wa 'K Syndrome' uliozushwa ili kuwaokoa Waisraeli dhidi ya maafisa katili wa Utawala wa Nazi

    Safe haven: Fatebenefratelli Hospital, Tiber Island, Rome, 2019. Hospitali ya Fatebenefratelli Hospital, iliyopo katika Kisiwa cha Tiber huko Roma, nchini Italia ilikuwa na Wodi maalumu iliyojawa Wagonjwa ambao ilielezwa kuwa wanasumbuliwa na ugonjwa mbaya wa Koch Syndrome ambao ni sawa na...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa 'Wabobezi' wa Siasa na Uongozi huu 'Ugonjwa' na kumshuhudia na kumfuatilia Mpinzani wako unaitwaje?

    Unajijua kabisa kuwa unamchukia 'Mtemi' mpya 'anayesimikwa' leo huko 'Omba Omba Land' na pengine tokea 'akuangushe' kwa Kiwango cha 84.4 katika Mpambano wake na Yeye umemtishia mno kumuharibia na mpaka kumshtakia kwa 'Wazungu' ambao nao leo hii 'wanaibiana' Kura huko Michigan, Georgia, Wisconsin...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa uliomfanya Garry Turner kuvunja rekodi

    Garry Turner ni muingereza anayeshikilia rekodi ya dunia ya Guinness ya kuivuta ngozi ya mwili wake. Oktoba 29, 1999 alivunja rekodi kwa kuvuta ngozi yake kwa urefu wa inchi 6.25. Tangu avunje rekodi hiyo Garry Turner amekuwa akifanya maonyesho kwa kutumia ngozi yake na kujiingizia kipato...
  5. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Minamata Japan na athari zilizodumu zaidi ya nusu karne baada ya kugundulika

    MINAMATA DISEASE Ugonjwa uliogundulika kwa mara ya kwanza sehemu iliyoitwa Minamata kwenye mji wa Kumamoto huko Japan mwaka 1956. Nini chanzo za ugonjwa wa Minamata? Tarehe 21 april mwaka 1956, Mtoto wa kike wa umri wa miaka 5 alichunguzwa katika hospitali ya shirika moja la Chisso huko...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa hatari usiofahamika kwa wengi watikisa Muhimbili

    *Husababisha maradhi mengine *Muhimbili watibu watano kila wiki *Madaktari bingwa wataja chanzo *Matibabu yahusisha kukata utumbo KUTOKWA haja kubwa bila kujijua ni ugonjwa unaosababishwa na kukosa seli kwenye utumbo mkubwa zinazosaidia kusukuma haja kubwa kuitoa ndani ya utumbo. Wataalamu wa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani?

    Habarini za usiku ndugu na rafiki zangu? Bila kusita niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Mimi ni kijana mwenye umri miaka 26 nina mchumba wangu anasumbuliwa na tatizo, maumivu ya mara kwa mara chini na pembeni ya kitovu na maumivu hayo huvuta mpaka shingoni na mwili mzima, maumivu...
  8. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani na unasababishwa na nini?

    Habari Wana Jf, Samahani ni kwa wiki mbili sasa nmekua nikiwashwa kuanzia maeneo ya kiunon mpk miguuni hali hyo inanifanya nijikune kila wakati Mbaya zaidi uume pia unawasha sana hvo nalazimika kujikuna k2 kinachopelekea kichwa cha uume wang kupata mabaka. Nilienda pharmacy nikaambiwa ni...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    Baadhi ya maswali yaliyoulizwa na wadau kuhusu ugonjwa huu Wataalamu poleni na majukumu ya kuhudumia afya zetu, Mimi nina tatizo la ugonjwa wa Vitiligo, lips ya chini imebadilika colour na nyekundu kama nakunywa pombe kali, na kichwani nimetokewa alama nyeupe kama kishilingi, na shingoni nina...
  10. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Tatizo la gonjwa la sukari Tanzania

    Kwa tatizo hili la ugonjwa wa kisukari hapa nzchini kwanini wanasiasa wanaotengeneza ilani ya vyama vyao asiwepo mmoja akaliona hili tatizo na kuja na sera ya matibabu yake yawe bure Kama magonjwa ya TB na Homa ya ini, hasa chanjo. Kwani kwa Sasa swala la chanjo ya Homa ya ini ni tatizo kuipata...
  11. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ile hela tuma kwenye namba hii, ugonjwa usiokoma!

    Nimeamka asubuhi tu nakutana na sms yao ati nitumie hela kwenye namba hii..! Haya majamaa sijui huwa yanafikiria hela ni kama pua tu kila mtu anayo!!.. wangejua hii weekend imekaa kikomamanga hata wasingetuma li sms lao..! Mtu huna hata ya kununulia soda ya jero licha ya soda tusiende mbali hata...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Disorder of Sex Development (DSD) ugonjwa unasababisha mtoto kutokuwa na jinsia

    Kulingana na daktari wa afya ya uzazi wa wanawake nchini Tanzania Dkt Berno Mwambe, hali hii kwa Kiingereza hufahamika kama Disorder of Sex Development (DSD). Hii ni hali ya viungo vya uzazi kukosa kukomaa. Anasema kuna aina nyingine ya ugonjwa unaojulikana kama Mayer-Rokitansky-Kuster-Hauser...
  13. Education Mentor

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Fahamu Ugonjwa wa Bipolar Disorder (Kanye West)

    Habari wasomaji wangu, wa makala za jifunze saikolojia. Basi leo nimeleta somo kuhusu ugonjwa wa saikolojia unaofahamika kama Bipolar Disorder. Pengine wengi wetu neno ili au msamiati huu ni mpya kabisa kuusikia au wengi waliousikia lakini hawakuweza ingia kujifunza kuelewa Bipolar ndio ukoje...
  14. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anaumwa Magufuliphobia, tangu mwaka 2015 amelitaja jina la Magufuli mara 10,000. Ugonjwa unaongezeka anapoona maendeleo ya kasi

    Magufuliphobia ni ugonjwa unaomtesa tundu Lisu unamsumbua sana, dalili za ugonjwa huu ni kuchanganyikiwa unapoona miradi mikubwa ya maji na barabara. Magufuliphobia imemfanya Tundu Lissu alitaje jina la Magufuli mara nyingi zaidi kwa siku Mgonjwa huyu anayeugua Magufuliphobia anaweweseka...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Daktari: Wapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine

    DAKTARI bingwa wa magonjwa ya pua, koo na mdomo kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila, Perfect Godfrey, ameishauri jamii kuwapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine. Dk. Godfrey alisema zipo jamii zinazoamini kuwa kukoroma...
  16. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Iweje watu wa Singida,Wamasai,Wakurya na Wamanyara wawe na wembamba wenye Afya,waepuke ugonjwa wa sukari,na tusiwe sisi?

    Watu hao juu huwa na wembamba mzuri na kukwepa magonjwa ya moyo,pressure na sukari,kwani hufanyeje fanyeje hadi kulinda miili yao?ili na sisi tuwe nayo.
  17. Etwege

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru: Tundu Lissu anaumwa 'Ugonjwa wa Deko'

    Katibu mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally akiwa ziarani Morogoro ametaja ugonjwa unaomsumbua Tundu Lisu kuwa ni deko . Dalili za ugonjwa wa deko ni zarau ,majivuno ,kuota kuwa rais wa Tanzania ,kulialia, na kujikomba kwa wazungu. Sababu ya ugonjwa wa deko ni malezi mabaya ya utotoni na inaonekana...
  18. anonymousafrica

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kucheka, Pseudobulbar Affect, / PBA kwa walioitazama na wasioitazama movie ya Joker tujuzane hili

    Joker au jokeri, wacheza karata wanampenda na wanamwogopa, akikulalia huyu unahesabiwa una 50, kwenye adhabu unamlambisha mtu 5. Tuachane na huyu Joker anayejulikana kwa jina la Arthur Fleck (jina halisi Joaquin Phoenix) kupitia movie ya JOKER 2019 na movie zingine nyingi zinazomuonyesha kuwa...
  19. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa vitanga/sunzua unavyosababisha kansa

    Kwa jina lingine hujulikana kama GENITAL WARTS. SUNZUA ni ugonjwa wa ngozi unao sababishwa na virusi vya aina ya HUMAN PAPILOMA {{ HPV }} ambapo huota kama vipele au vinyama ambapo mara nying unapo kitumbua ndo huongeza vingine, ila ukitumbua na kupaka dawa hukauka. SUNZUA mara nyingi huota...
  20. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Je, tofauti na homa ya Maleria ni kweli mbu anaweza kukuambukiza Ugonjwa wa Busha na Matende?

    Wakuu naomba mnijuze maana mimi mimi ndo nimeskia leo! Nilikuwa sina habari, Na Mbu huyo anakuwa Amemuuma mtu mwenye hayo magonjwa hapo juu, Kisha akikuuma na wewe pia lazima uugue, pia naomba kujua dalili zake na pia tiba au chanjo.
Back
Top Bottom